chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo awakosoa CHADEMA juu ya kuwafukuza wabunge wa viti maalum

    Mbunge wa Ubungo Kitila Mkumbo amekosoa hatua ya CHADEMA ya kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalumu walioteuliwa kwa tiketi ya chama hiko. Amesema "Inaogopesha kuona njia pekee ya CHADEMA kutatua migogoro ya ndani ni kufukuzana. Duniani kote vyama vya upinzani vinaongoza kuwa na utamaduni wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, kuna kila dalili Mbowe anaisaliti CHADEMA

    Mikutano ya ikulu kimya kimya akienda peke yake. Ishu ya wabunge wa covid 19 alivyokuwa anawatafuta kimya kimya Kufanya negotiation wakati walishafukuzwa mpakaa kutaka kumuonga kazi Halima Mdee. Namna alivyokuwa anawafunga mdomo vijana wa Chadema wasipambane na CCM & Act kwenye hotuba yake...
  3. JamiiForums Tanzania Je, hili linawezakana vipi? Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali azitaka CHADEMA, CUF na ACT kuwasilisha taarifa za vyanzo vya fedha na namba za akaunti

    Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Michael J. Semindu ameviandikia barua Vyama Vya ACT Wazalendo, CUF na CHADEMA barua kuvitaka kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo. Barua hiyo ambayo nakala imeenda kwa Mkuu wa Wilaya inavitaka vyama hivyo kuwasilisha; Muundo wa Uongozi wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunayo mapungufu mengi sawa ila hili sina hakika

    Kila Chama cha siasa nchini kina mapungufu makubwa sana na mengi . Ntamshangaa Mtanzania anayedhani Chama anachounga mkono hakina mapungufu! Nakuja Kwa CHADEMA Chama changu amabcho naamini sana katika falsafa zake kina mapungufu Kama vyama vingine Ambayo sitayaweka hadharani ila Kuhusu Suala...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatutaingilia Mahakama kuhusu kesi ya Wabunge 19 kupinga kuvuliwa uanachama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kutoa tamko leo Mei 17, 2022, ambapo waandishi wa habari wamekaribishwa kuchukua taarifa ambayo inatarajiwa kuzungumza, lakini kubwa wengi wanaamini itakuwa inahusu sakata la kina Halima Mdee na wenzake 18. ==== "Wanaojaribu kufanya...
  6. JamiiForums Tanzania Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama na Ubunge wao....
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni mkwara mbuzi usiokuwa na tija. Mnataka kudanganya kulikuwa na maridhiano? Lissu nae maneno mengi hana lolote

    Mnataka kuleta uwongo kuwa kulikuwa na maridhiano? Acheni janja ya kishamba. Maridhiano gani sasa? Kwani Spika alikuwa na taarifa za uongo? Au ndio Mbowe aliingia makubariano ya kuacha harakati? 👇 Lissu anadai kutema cheche? 👇
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Akandunduma: Halima Mdee na wenzake wanapigania Ubunge au Uanachama wao CHADEMA?

    Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama. Suala la ubunge ni lingine kabisa tena ni...
  9. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe na Majizi ya Escrow

    Wakuu Habari! Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa. Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
  10. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Rais Samia atakugombanisha wewe na Wanachama, Wafuasi na viongozi wenzako wa CHADEMA

    Mwenyekiti Mbowe, kwa yanayoendelea nchi hii na kwa reaction ya wana-CHADEMA kufuatia maamuzi ya Spika kuwalinda Mdee na Wenzake, naiona hatari ya Rais Samia kukugombanisha na viongozi wenzako wa CHADEMA pamoja na wafuasi na mashabiki wa chama hiki. Hizi ni tweets za Martin Maranja Masese...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

    Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako. Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
  14. JamiiForums Tanzania CCM na Spika Ackson hili la hawa Wabunge 19 wa CHADEMA msipoangalia litawachafua na kufanya muonekane ni 'Majuha' wa Kutukuka

    Tayari wenye Chama chao CHADEMA wameshawafuta rasmi nyie CCM kupitia Spika Ackson mnafanya hila za Kipopoma ( Kipumbavu ) za Kisheria ili muwabakize Bungeni. Najua CCM na System mnahangaika na hili ili Kumfutia Aibu Spika Ackson ambaye kwa Kiherehere chake alilikoroga kwa Kukurupuka Kuwatetea...
  15. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaamini Serikali itawafukuza wabunge 19 na kuwaunga wao kugomea matokeo ya uchaguzi

    Mimi siwaelewi chadema kabisa na watanzania wanaoshabikia hili Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA walitangaza kutokubali matokeo na kuamua kususia kila kitu kilichotokana na uchaguzi huo kwa kufanya yafuatayo. 1. walitangaza kutomtambua raisi 2. Walimzuia mbunge wa nkasi kwenda bungeni 3...
  16. JamiiForums Tanzania Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii yetu ni...
  17. JamiiForums Tanzania Mbowe aache ubaguzi: Wanachama wengi wa CHADEMA ni jobless, kwanini asiwatafutie ajira hao, anatafutia wenye kazi?

    Nimeona tamko la Mbowe kumtafutia mbunge mmoja ajira ya mshahara wa milioni 34. Hiki chama asilimia kubwa hawana ajira, wanaganga njaa, kwanini hawatafutii ajira hawa? Vijana wa chadema, hata hili mmeshindwa kuhoji?
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA yampongeza Rais Samia kwa ongezeko la Mshahara

    Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara. My take: Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi. Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwani Wabunge wa ACT Wazalendo hawawezi kuongoza PAC na LAAC hadi wasubiriwe wa Chadema tu?

    ACT wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wakati Chadema na Cuf sana mbunge mmoja mmoja. Kwa sasa Chadema inaongoza PAC na kule LAAC ina makamu Wote kutoka Covid 19. Ina maana wabunge wa viti maalumu Chadema wana uwezo mkubwa kuliko vile vidume vya ACT wazalendo?!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…