Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
KWA HILI LA BISWALO, CHADEMA TUJITAFAKARI KWA KINA!
Na, Julian Chacha – RORYA
Hivi karibuni kumeibuka utaratibu mpya wa kuitumia CHADEMA kama daraja la kupitisha hoja zenye maslahi binafsi kwa baadhi ya watu. Sisi wanachadema tuanelewa kwanini chama chetu kipo kilipo, hawa wanaojaribu kununua...
Itakumbukwa kwamba tarehe 11.05.2021 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitangaza uteuzi wa nafasi za Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mahakama Kuu ya Tanzania uliofanywa na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan.
Kutokana na unyeti wa nafasi hizo katika kusimamia haki nchini tumeona ni muhimu kusema...
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi.
Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi
Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye...
Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe.
Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi.
Hii dunia kuna binadamu makatili jamani.
Eid Mubarak!
Ndugu zangu,
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba aliyelalamikia madhaifu ya tume ya uchaguzi. Mbowe na CHADEMA walirukaruka kama ndama wakifurahia Serikali mpya...
Hii ina mantiki kubwa. Ukatili ulio mwingi walifanyiwa wafuasi wa Chadema, ni vema CHADEMA ikaratibu ukusanyaji wa ushahidi dhidi ya Sabaya ili haki itendeke. Waandae waathirika waweze kutoa ushahidi wa kweli na si vinginevyo. Walindwe dhidi ya vitisho vya Sabaya na genge lake etc........
Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana.
Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu..
Eid Mubarak!
Kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhingwe huko Mkoani Kigoma, wapiga Kampeni wa vyama vinavyoshiriki kwenye uchaguzi huo, ni LAZIMA kila siku waitaje CHADEMA.
Kuishambulia huko CHADEMA kunatokana na nini wakati CHADEMA haina Mgombea (Ninavyojua mimi) kwenye jimbo hilo?
CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini.
Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
Muda ni sasa, kesho ipo karibu sana na tutashtukia tayari 2025 hiyo. Hatuna Tume Huru wala Katiba mpya.
Kama tuna pesa za Mwenge wa Uhuru tunakosa vipi pesa ya kumalizia Katiba ambayo ipo tayari kwa 90%?
Kama tuna pesa za kufanya SENSA ya watu na makazi mwaka 2022 tunakosaje pesa ya kumalizia...
TATIZO NI MDEE AU NI KUTOTII DEMOKRASIA?
Na. Philipo Mwakibinga
0758910403
Kwa muda sasa nimekua nikifuatilia minyukano inayoendelea ndani na nje ya Bunge kuhusu Wabunge 19 wa Viti maalumu wanaokataliwa na CHADEMA. Lakini kwa upande wangu naliona suala hili kwanamna hii;
CHADEMA wanapaswa...
Hakika sasa ni dhahiri watanzania wamejua kwanini hayati magufuli na viongozi wa Mihimili walijiwekea kinga ya kutoshtakiwa.
Nilikuwa najiuliza kwanini wanajiwekea kinga wanataka kufanya kitu gani kibaya kwa watanzania?
Sababu za kujiwekea kinga zimeanza kujulika kupitia spika wa bunge kukiuka...
Kitendo cha akina mama wa Chama cha demokrasia na maendeleo kuwa katika mstari wa mbele kupigania haki na utawala bora unaozingatia sheria na kayiba za nchi kimefikirisha wasomi, wanasiasa na wataalam wa maswala ya siasa nchini.
Tangu zamani inaaminika kuwa Ukimwelimisha mwanamke basi...
Wabunge zaidi ya 80% wa CCM hawakupatikana kwa njia halali. Kwanini nguvu msiiweke kuwandoa hao wana ccm waliopatikana kwa mtutu.
Hayo hamfatilii mnapambana na wabunge 19 tena waliokuwa makamanda wenu. Nani aijui kazi ya mdee, matiko na bulaya. Hivi na wewe Mwalimu (naibu Zanzibar) unataka...
Baada ya kelele za kuwakumbusha kuwa hatuko tena awamu ya tano, kwa aibu na fedheha kubwa kama kuku aliyenyeshewa mvua Polisi wamekubali mkutano wa ndani wa Chadema ufanyike.
Fedheha nyingine Polisi mnazitaka wenyewe, sasa mmebadilisha kile mlichokua mnakiamini. Mkajua mko awamu ya kusifiwa na...
Baada ya jiji kuajiri wanamgambo wa kupiga wamachinga na Mama Ntilie ifikapo tarehe 18/5, angalau jiji la Dar litaanza kuonekana sasa maana moshi wa mamantilie wanaopikia kuni pembeni ya barabara ndo ulikua unaonekana.
Yaani hata Nairobi au Kigali tu walikua wanaonekana wametuacha mbali kisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.