chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wakati huu ambapo Rais Samia anayasaka maridhiano na CHADEMA, Mdee na wenzake imekula kwao

    Samia hataki uhuni kwenye serikali yake. Anataka haki bin haki itendeke kwa watu, taasisi na vyama vya siasa. Sitegemei kuona sarakasi za kihuni za akina Mdee zikilelewa na kukumbatiwa na mahakama iliyojibebea umaarufu kwa kutenda haki ktk kesi ya aliyekuwa DC wa Hai Sabaya. Kwahiyo wale...
  2. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika

    Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo sasa Chadema na CCM wako juu ya Kamati ya Prof Mkanda?

    Nauliza tu kwa sababu sikuwepo hapa mjini kwa muda Jana Mbowe kasema kutakuwa na Kamati ya watu 20 kutoka Chadema na CCM itakayoratibu hali ya siasa nchini Naomba ufafanuzi!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Baada ya uamuzi wa jana CHADEMA na Halima wana mtihani mkubwa

    Hii sakata ya Halima na wenzake inatoa fursa kwa Chadema kujisahihisha. Kuna uwezekano mkubwa kuwa Halima aliamua kufanya alichofanya baada ya kuhisi kuwa kuna orodha mbadala ilitayarishwa tofauti na ile ambayo yeye na wenzake waliona kuwa ni ya haki. Wasiwasi huo usingekuwa bure kwa sababu...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnawaharibu vijana na uukuzi wao wa kitaaluma kwa kuwadanganya siasa ni taaluma

    Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
  6. Mag3

    JamiiForums Tanzania Asante sana Chadema kwa maamuzi yenu ya leo, nafarijika kuwa bado kipo chama makini chenye msingi imara, hakiyumbi wala hakiyumbishwi!

    Mimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa! Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni...
  7. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA pelekeni taarifa kwa Spika mubashara, mmeilinda vyema heshima ya chama chenu

    Mimi si mwanachama wa CHADEMA. Ni mwanachama wa CCM tangu miaka ya 80 nilipohitimu Chuo Kikuu. Tangu kumaliza utumishi wangu ndani ya Serikali na chama, nimebakia kuwa mwanachama mtiifu wa chama changu-nikishirikishwa mipango mbalimbali ya kichama na kiserikali katika kushauri na kuitekeleza...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nafikiri CHADEMA wana kila haki na ruzuku inayotokana na wabunge wao 19

    Wabunge wale wa viti maalumu hawajatokana na juhudi zao wenyewe. Wametokana na kura alizopata Tundu Lissu. Na kura hizo ni nguvu na jasho la CHADEMA. Haita ingia akilini kwa wabunge wale kufikiri kwamba wanaisaidia CDM ikipata ruzuku kupitia ubunge wao. Ruzuku hiyo ni haki halali ya CHADEMA...
  9. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Uzandiki wa Mbowe na Mustakabali wa CHADEMA

    Kwa habari zilizoko ni kwamba wale wabunge 19 wa Chadema wamevuliwa uanachama.KISA hawakupitishwa na CHAMA. Swali ambalo najiuliza JE Mbowe na Chadema wanataka kuteua wabunge wengine kwa nafasi hizo?Kama jibu ni Ndio basi Mbowe hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema na Chadema hakina hadhi ya kuwa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
  11. Rhz4567

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...
  12. Kasinja jr

    JamiiForums Tanzania Kagera: WanaCHADEMA 7 waliokuwa mahabusu kisa kesi za Uchaguzi waachiwa HURU

    Wanachama saba wa CHADEMA wameachiwa Huru baada ya kusota Rumande Kwa Muda mrefu nao ni Mutembei Mugyabuso Kalokora John Martin Katto Mujwahuzi Katabani Ngara Jimmy Lindo Kendrik Andrew Bukoba mjini Amatus Lweyemamu Asanteni
  13. econonist

    JamiiForums Tanzania Nimependa concept ya CHADEMA ya Bunge la Wananchi

    Katika hotuba yake Mwenyekiti wa Chadema amewatambulisha wabunge wa bunge la wananchi. Hi concept nimependa Sana. Hivyo inabidi chadema waifanyie kazi na kuanzisha hata vikao vyao. 1. Litakuwa na uwezo wa kujadili Mambo yanayo wagusa wananchi moja kwa moja. 2. Litakuwa na uwezo wa kukosoa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapenda Namba lakini hamjui Hesabu

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hizi namba zipo kamili kama hesabu za hela? CHADEMA mnapenda namba lakini hamjui hesabu.
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA?

    Nimejaribu kuangalia faster faster sijaiona sura yoyote ya Kijani. je CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA? Bado hawaamini kuwa Zama zinabadilika? Hawaamini kuwa Nanihiii hayupo? Pichani ni baadhi ya Wawakilishi wa vyama vya siasa
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima: Kuna Hujuma Baraza Kuu CHADEMA

    Mkutano wa baraza kuu la Chadema unatarajiwa kufanyika leo huku Gazeti la Tanzania Daima lililo karibu na uongozi wa Chadema limeripoti kuwa kuna hujuma. Ni hujuma zipi?
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

    Wanabodi. Utambulisho. Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, yaani freelance journalist, hatutumwi na mtu yoyote au media yoyote. Sisi waandishi tuko wa aina nyingi na tunafanya kazi za aina nyingi, wengine ni maripota, wengine watangazaji, wengine wahariri, na ndani ya makundi hayo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kaona hatari ya Sukuma gang na CHADEMA kuungana, anawatenganisha

    Simaanishi muungano rasmi wa vyama vya siasa, muungano wa ku share na kusambaza taarifa hasi dhidi ya serikali mtandaoni na mtaani Haya makundi mawili, Sukuma Gang na Chadema ni maadui wakubwa sana kisiasa, hasa ukizingatia utawala wa Magufuli ulivyofanya unyama mkubwa kwa Chadema Lakini hivi...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 wa CHADEMA- Matokeo ya kughushi uchaguzi wa 2020

    Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote. Hata CCM wanalijua hilo. Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni. Kuanzia tume ya uchaguzi, wasimamizi hadi kura za mabegi za kughushi...
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakitaka washinde yanayoendelea hawana budi kuwasamehe wabunge 19 Kwa masharti haya

    Siasa si uadui! Mdee kuwa bungeni si kosa kisheria ila njia alizotumia zaweza kuwa si sahihi, Kwakuwa Mamlaka ya Bunge imeonekana kuwatambua basi vema hata CHADEMA ikaachana nao ila Kwa Mashrt haya 1. Kutangazia Umma kwamba alikosea na sasa wanaomba msamaha wala si kushindana na CHADEMA...
Back
Top Bottom