chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuzindua Mikutano ya Hadhara Januari 21, 2023

    Siku tatu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, Kamati Kuu ya Chadema imeazimia kuzindua rasmi mikutano hiyo. Rais Samia alitangaza uamuzi huo, Januari 3, 2023 alipokutana na viongozi wa vyama vya siasa na alisema: “Uwepo wangu mbele...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Safu ya Uongozi wa juu wa CHADEMA haiaminiki kwa Watanzania kuweza kuungwa mkono

    Ndugu zangu watanzania, Ili chama Cha siasa kipate uungwaji mkono kutoka kwa watu ,Taasisi,Jumuiya,Rika mbalimbali,Makabila yote,Kanda zote na Dini zote Ni lazima Safu ya uongozi wa Juu wa chama husika iwe na viongozi wanao aminika na kuheshimika,wanao kubalika, wenye maadili na misimamo,wenye...
  3. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CHADEMA, comrade Tundu Lissu mbona upo kimya kwenye maridhiano?

    Wanaukumbi. SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu. Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani. Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu. Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma? Kikwete hakuwaita wapinzani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu

    Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio. Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo. Msikilizeni Dr hapa chini.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natamani vijana wa CHADEMA wajifunze kwa Zitto

    Nikiangalia fact anazoongea Zitto Kabwe natamani vijana wa CHADEMA wangejifunza kwa Zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele." Zitto...
  6. JamiiForums Tanzania The features of the opposition including CHADEMA

    A journalist reporting for Yahoo News summed up the features of the opposition parties in the world. Are you in agreement with him? Most of the opposition agenda world over is mostly to defund, disrupt and dismantle government, not to participate in it. They have grown more skilled at...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Chadema mwisho wenu ulikuwa ni pale mlipoanza kuugeuza ushetani kuwa umalaika

    Sina. Shaka na uwezo wa kujenga hoja kwa bwana lissu kwangu ni mmoja wa wanasiasa bora wa chache wa dunia ninaowakubali na kuwaheshimu mbowe akiwa mmoja wapo. Wanachadema mlianza kupoteza ladha pale mlipoanza kuugeuza ushetani wa kipindi chote mlichokuwa mnaupinga lakini ghafra sana ule...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

    Nimependa akili ambazo Rais Samia amezitumia kuiua CHADEMA kiakili vile aisee chadema ndugu yaani nyie hapo hamna kitu yaani hapo nyie ni mwendo wa kuwaaga taratibu. Amewaita ikulu amewapa posho, Kashata na alkasus then akawaambia tufanye maridhiano then akawaruhusu kuendelea kufanya siasa then...
  9. JamiiForums Tanzania John Mnyika na John Heche turufu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM. Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana, Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kupata gwanda (sare) ya CHADEMA

    Baada ya zuio kuondolewa naomba mtu mmoja anisaidie kupata gwanda la chadema suruali +shati+ kofia, Ama hata kimojawapo Karibu PM tuyajenge Kwa aliye tayari
  11. JamiiForums Tanzania Hata saa 24 hazijapita CHADEMA tayari waanza mbwembwe

    Hali ilivyo mida hii moja ya tawi la Chadema nchini. Swali : Je watapata kibali?.
  12. JamiiForums Tanzania Nani alimwambia Rais Samia asikutane na CHADEMA?

    RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano. Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao waliomwambia Rais Samia asikutane na Chadema ili tujue malengo yao yalikuwa ni nini.
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

    Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi na mtu aliyemchapa. DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya...
  14. JamiiForums Tanzania Sugu: TRA siyo CHADEMA, acheni janja janja lipeni kodi

    Kudos wanajamvi. Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi. Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwani TRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi ni Uzalendo. Asante Sana Sugu kwa kuonesha...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA kulikoni?

    Mwaka 2022 umeisha, tulitegemea utoa Salam za Mwaka Mpya kwa wapenzi na mashabiki wako. Ila umekuwa kimya kama haupo kwenye sayari yetu. Nakuombea kwa Mungu upate nauli urudi Tanzania ushikamane na Mama Yetu kujenga Nchi. Mwenyekiti wako ameshaona siasa za harakati ni kupoteza muda kawaachia ma...
  16. JamiiForums Tanzania Agenda 5 za Mbowe kwa mwaka 2023

    Hatutapoa 2023, hivi ndivyo unaweza kuelezea msimamo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia kwa Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe kutangaza mambo matano ambayo kitayadai mwaka 2023. Akizungumza na wanahabari baada idaba ya shukrani ya kuhamia katika nyumba yake mpya jana...
  17. JamiiForums Tanzania Hai: Freeman Mbowe aaga mwaka 2022 na wanakijiji wenzake, Askofu Dkt. Shoo wa KKKT ahudhuria

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba huko Mkoani Kilimanjaro , Jimbo la Hai kwenye Kijiji ambacho anatokea Mh Mbowe , leo kumefanyika hafla ndogo ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023 , ambako Freeman Mbowe na Wanakijiji wenzake wamekutana na kufanya Tathmini ya yaliyotokea kwa mwaka huu ...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA siwaelewi. Bado siku 2 mwezi uishe lakini Kamati Kuu haijakutana. Why?

    Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi. Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tuna dhamira ya kushika dola 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ili kufikia dhamira ya kuiondoa CCM madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. “Tuna dhamira ya kushika dola mwaka 2025, kutokana na...
  20. JamiiForums Tanzania Wale Makomando waliokuwa wanamlinda Freeman Mbowe wako wapi?

    Sina mengi yakusema, ila siwaoni siku hizi popote pale maana walikuja kwa mbwembwe. NB: Sina chama ila siipendi CCM na serikali ya Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…