chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Zanzibar-ASP

    Zifahamu sera za kudumu za CHADEMA za mambo ya nchi za nje zinazowagusa Diaspora

    Kwa uchache hapa nitaweka baadhi ya sera za kudumu za CHADEMA ambazo zinawagusa Diaspora moja kwa moja. Sera hizi zimekuwepo wakati wote toka CHADEMA ishike kasi hapa Tanzania na zilikuwa sehemu ya ilani ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2005, 2010, 2015 na 2020. 1. URAIA PACHA Chadema itaruhusu...
  2. Analogia Malenga

    CHADEMA: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wapewe ajira za kudumu

    CHADEMA wametaka wajumbe wanaoteuliwa kuwa katika Tume ya Uchaguzi waangaliwe historia yao ili kujua weledi wao kabla ya kuteuliwa kuwa wajumbe. Kama ilivyo kwa majaji wa Mahakama Kuu ambao hawawezi kuondolewa muda wowote kabla ya kipindi chao kuisha, wametaka wajumbe wa Tume ya Uchaguzi nao...
  3. Analogia Malenga

    CHADEMA: Wateule wa Rais wapitishwe bungeni

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wametoa wito kuwa katika Katiba Mpya ambayo wanaidai iwe na kipengele kinachotaka wateule wa Rais wapitishwe Bungeni kisha wandelee na kazi zao Hayo yataepusha kuwa na watumishi ambao hawana weledi na watumishi ambao wanarekodi ya matukio ya uhalifu...
  4. J

    Kwanini mwana-CHADEMA anapohamia CCM ni lazima aombe uteuzi hadharani? Kwani UVCCM haiandai viongozi tena?

    Naomba ufafanuzi kutoka kwa mwenezi wa CCM komredi Shaka ambaye ametokea UVCCM hivi pale Vijana hamuandai viongozi watarajiwa tena. Maana safu za uongozi wanajazana machadema watupu vijana wetu wa UVCCM hatuwaoni kabisa. Bananga anasema mkewe ni mnyamwezi hivyo anaomba apewe kazi CCM kana...
  5. vnn

    Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

    Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais, mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu, wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema, yani Chilema msafara wake...
  6. Mzalendo Uchwara

    Chonde chonde CHADEMA, wasameheni wabunge wenu 19 wa viti maalumu kwa maslahi ya chama na taifa

    Wakati wa utawala wa dola ya Rumi, adhabu ya kusulubiwa msalabani ilikuwa ni adhabu kwa ajili ya wahalifu sugu, watu kama wauaji, majambazi na wahaini. Ilikuwa adhabu ya kudhalilisha, ya kikatili na iliyo hakikisha mateso makuu kabla ya kifo. Mtu aliye tundikwa msalabani alikuwa anaomba afe...
  7. K

    Funzo tulilopata kwa viongozi wa CHADEMA

    Viongozi mbalimbali wa Chadema wametupa uwazi na kioo cha kuangalia jamii yetu ya Tanzania ilivyo, ilipo na inapokwenda. Chadema tumeona viongozi wasomi, wavumilivu, watukutu, wabishi, wasiojielewa, majasiri, masikini na matajiri. Hii yote imekuwa kama sampuli ambayo ipo kwenye wanasiasa wetu...
  8. Mpekuzi Tanzania

    Tabora: Katibu wa CHADEMA Igunga aunga mkono juhudi na kuhamia na CCM

    MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM ATUA IGUNGA, AONGEA NA WANACHAMA NA KUKAGUA UJENZI WA WODI YA MAMA NA MTOTO "Katibu wa CHADEMA Jimbo la Igunga, aunga mkono juhudu za Mama Samia na kuhamia CCM" Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Tabora Ndg. Afadhal Taibu...
  9. MSAGA SUMU

    Inaweza kufika miaka 22 ya kuondoka JPM bila Chadema kuiona ikulu

    Ilikuwa kama utani vile mwaka wa kwanza toka aondoke Nyerere tukadhani 2000 lazima Chadema waingie ikulu lakini wapi. 2005 wakaja na helikoptaa lakini mipango ikagoma, 2010 ngoma ikakataa, 2015 gwiji la siasa za urais Lowassa lakini wapi. 2020 tukajaribu gwiji la siasa za Brussels likakutana na...
  10. J

    Halima Mdee ameondoka na Bawacha, Katambi aliondoka na Bavicha na sasa Chadema inasuasua!

    Kiukweli udhaifu wa CHADEMA ulianzia pale Balozi Wilbroad Slaa alipoamua kuachana na siasa za majukwaani. Baadae Patrobas Katambi akaidhoofisha Bavicha kwa kuhamia chama dume CCM. Halima James Mdee akapigilia msumari wa mwisho kwa kusepa na kijiji kizima cha Bawacha. Mungu ibariki CHADEMA!
  11. S

    Wakati watu wanatafuta uzima wa milele, wao wanaitafuta CHADEMA

    Kwa mtazamo wangu, kuchoma ofisi za CHADEMA, lengo ni kuwa-prove CHADEMA wapandwe na hasira walipize kisasi wapate sababu ya kuishughulikia CHADEMA. Nasema hivi kwasababu, ikitokea ofisi za chama fulani zimechomwa moto, baai CHADEMA watashukiwa kama mwewe na wale walio kimya wakati ofisi za...
  12. Erythrocyte

    Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Tunduma yapigwa kiberiti na watu Wasiojulikana, nyaraka zateketea

    Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa. Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma...
  13. Analogia Malenga

    CHADEMA watangaza kutoshiriki majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa na polisi

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, atakapoachwa huru bila masharti yoyote. Sharti hilo limetajwa leo...
  14. Erythrocyte

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Taarifa yao iliyosambazwa hii hapa ============================================= "Ili [CHADEMA] tuweze kushiriki kikao chochote cha Msajili [wa Vyama vya Siasa] lazima zuio la vyama kufanya mikutano ya hadhara liondolewe, ili tukienda kwenye vikao, twende kama vyama huru, tusiende kama...
  15. B

    CHADEMA: Tanzania itakombolewa na wenye Moyo

    Siyo siri kuwa hii nchi ni ngumu sana. Uwekezaji uliopo dhidi ya haki na usawa ni mkubwa sana. Kwa makusudi demokrasia na uhuru wa watu vimeminywa vilivyo ili kufanikisha hayo. Hali hii haitaondoka yenyewe bila ya makabiliano. Ni muhimu kufahamu watesi wetu hujipanga upya kwa kila hatua...
  16. J

    Kwanini chaguzi ndogo hazina mvuto? Au kwa sababu Chadema wamesusa?

    Nakumbuka chaguzi ndogo kuanzia Dr Lamwai enzi zile za Manzese hadi Dr Augustino Lyatonga Mrema nyakati za akina Cisco kule Temeke. Lakini siku hizi chaguzi ndogo zimedorora sana, mfano jana. Kwanini!....... Why?..........Ndauli?!! Nawatakia Dominica yenye baraka!
  17. BALAGASHIA

    Huu utofauti wa vijana wa CCM na Chadema unatokana na nini?

    Katika misingi ya kujenga hoja naona kama vijana wa Chadema wako vizuri sana. Kwani vijana wa CCM hawasomi shule hizihizi wanazosoma vijana wa Chadema? Kuna nini CCM mi sielewi, ni kweli chama kimekubali kuwa na mtazamo wa vijana wa kusifia tu. Kila nikiwaangalia vijana wa CCM nahisi kuna...
  18. technically

    CHADEMA acheni kujiingiza kwenye siasa za chuki kuelekea uchaguzi 2025

    Unamsema vipi mtu ambaye hawezi kujitetea Kama Hayati Magufuli, Mkapa au Nyerere? Mimi binafsi Hawa watu siwadai Kama Mungu kashafanya hukumu yake waachwe wapumzike!! Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo. 1: Acheni...
  19. Cathelin

    CCM tukubali kuwa Chadema wako mbele Sana kidigitali

    Wakuu chama chetu Cha CCM ndo kulikuwa chama Cha kwanza kuzindua Mambo ya CCM digital. Walikuja na App ya CCM kwenye play store, ili wanachama wajisajiri kidigitali. Ukweli CCM hatujafanya vizuri kwenye hili. Hata mitandaoni Mfano Tweeter, JF ni kama Chadema wameiweka hiyo Mitandao mfukoni...
  20. M

    Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

    Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui " "Hakuna kama Samia " Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa...
Back
Top Bottom