Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Katika hotuba yake jana Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Mh John Heche amesema polisi wameona madhara ya kutokuwepo wabunge wa Upinzani bungeni.
Kwa maana hiyo polisi wamempa mh Heche hoja zao akazitetee.
Kama ni kweli maelezo haya ya mh Heche basi kuna tatizo mahali.
Heche hayuko katika...
Hiki chama aisee ni cha kipekee.
Tangu hapo zamani kikifanya mikutano na shughuli zingine za mikusanyiko huwa wanatoma kwa amani na furaha tele kwa wananchi. Mikutano yao isipoingiliwa na dola huwezi kusikia hata Mwananchi mmoja akilalamika kukanyagiwa fungu la nyanya wala dagaa.
Ngoja sasa...
Nashauri chama changu cha CHADEMA waje na mfumo wa Primaries, kwenye Uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama 2025. Tena mchakato uanze 2024. Kama wanavyofanya Marekani, hii itaongeza demokrasia kwenye chama na pia wagombea kujitangaza kwa uwazi.
Kura zitapigwa kimkoa au kikanda kulingana na...
Baada ya kuondolewa zuio haramu la mikutano ya kisiasa, alichokifanya Mbowe katika ufunguzi kwa kumsifia Rais Samia badala ya kujikita katika hoja za kushambulia ni mkakati wa kisiasa wa aina yake.
Ukitizama vizuri baada ya mkutano wa kwanza wa CHADEMA Mwanza, MATAGA ndilo kundi linaloonekana...
Ndugu zangu Watanzania
Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa hapa nchini tulishuhudia mbwembwe na vitisho vya hapa na pale kutoka kwa viongozi na wanachama wa chadema kuwa Wana kwenda kutikisa na kuipa shida CCM.
lakini Cha ajabu Baada ya ufunguzi wa mikutano Yao...
Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya...
Ukweli usiofichika mikutano ya CHADEMA imekosa mvuto. Watu walikuwa wachache sehemu zote walizofanya. Na ikageuka kuwa mikutano ya wanachadema. Haina tofauti na vikao vya ndani vya chama.
CHADEMA inapaswa kujua sababu ya yote hayo ni nini, sikubaliani na wanaosema eti mwenyekiti Mbowe ndio...
Kama JF ingekuwa YouTube channel mngepata posho nyie msiopenda meza moja japo mama kawaumbia.
Kuna watu humu JF kila muda mnajaribu kuoji kuhusu chadema ila madudu yenu muwezi kusema.
Basi tambua mnatangaza CHADEMA bila kujua yani mnatufurahisha CCM.
Kuanzia leo wanachadema tusipige Piee...
Pata Picha Dkt. Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakini leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni
Mungu wa mbinguni awabariki CHADEMA!
Freean Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa
BAADA ya zuio lisilokuwa la kikatiba wala kisheria, la mikutano ya hadhara kwa muda mrefu, sasa ni wazi kwamba, Chadema wamezindua mikutano yao ya hadhara wakiwa na lengo kubwa la kueleza wapi serikali “imekwama” kukomboa wananchi na janga la ufukara...
Nilitegemea kwenye mkutano wa hadhara Mwanza na Musoma Chadema wangekuja na orodha ndefu sana yenye kila aina ya ufisadi alioufanya hayati rais Magufuli kipindi yupo madarakani, kwa sababu wamekuwa wakihubiri mara kwa mara kwamba Magufuli amelifanyia ufisadi mkubwa sana taifa hili. Lakini hakuna...
Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.
Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa Magufuli aliyeujaza Uwanja wa Kirumba, Samora, Majimajii, Amani, Mkwakwani, Jamhuri na hata ule wa Mkapa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi hakutakuwepo na uchaguzi mkuu nchini.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma leo Jumapili, Januari 22, 2023, Naibu katibu mkuu wa Chadema bara, Benson Kigaila amesema msimamo huo...
Wamesikika chawa wa Mama wakijinasibu na tafsiri zao kuhusiana na alichosema Mbowe Mwanza.
Kwamba Mbowe kalazimika kusema kushughulika na CCM ni kama hivi:
Na bado chawa wa Mama wanakenua?
Wanaelewa uzito wa kauli kama hii ukizingatia Mbowe ni mtu mzima mwenye familia yake?
Si kuwa kauli...
Ni ushauri wa bure kwa CHADEMA, mmemtukana sana Hayati ridhikeni sasa tafteni kuungwa mkono na hao
Sukuma Gang.
Hamkuona wenzenu rufiji wakitaja jina la hayati watu wanalipuka kwa shangwe!?
CHADEMA inabidi muwe makini katika teuzi mbalimbali za viongozi wa mashina mpaka matawi ngazi za Serikali za mitaa mpaka kata. Ili chama kiwe IMARA ni lazima kuwepo viongozi makini na wanaojua wajibu wao na sio viongozi VIZA ambao katu wameteuliwa lakini hawajui wajibu wao.
Nimesema haya...
Na, Robert Heriel
Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo.
Hakukuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.