chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Anayekataa Chadema sio Chama Kikubwa cha upinzani huyo naye kichwa chake kitakuwa kina shida

    Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

    Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa. Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo.. Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  4. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Je 2030 CCM itaingia tena kwenye uchaguzi bila Chadema???

    Uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi ambao binafsi sitokuja niusahau. Kwani ni uchaguzi ambao CCM walipata pigo, na aibu ya Karne. Kwa miaka mingi CCM wamekuwa wakiiba kura za wapinzani, kitendo Cha Strong opposition party kushiriki uchaguzi kilikuwa ni faida Kwa CCM, kwani turnover ya wapiga kura...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika Tarehe 28 & 29 April 2026

  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya CHADEMA ya "Win the crowd, and fate will kneel before you" ipo 70% kuelekea kuiangusha CCM

    Mbinu ya CHADEMA YA "Win the crowd, and fate will kneel before you" IPO ASILIMIA 70% KUELEKEA KUIANGUSHA CCM. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Katika Falsafs za siasa. Zipo mbinu nyingi Sana za kuishinda serikali iliyopo madarakani. 2. Elewa, Serikali inaweza kutawala nchi, lakini...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Sisi CHADEMA tunapaswa kuweka njia ya Muafaka wa kitaifa wa kweli kwa kutangaza Upendo na Msamaha

    Kwanza ninachokiona Kabisa mama Hajui Chochote kuhusu nchi. Nimefatilia kiundani sana unaona waliompinga ndani walikuwa sawa ila Wengi sasa wanamsapoti kwa kuyapenda maisha yao sababu waliompinga sasa hawapo. Je, kunanini nyuma ya pazia. Ata Ulaya matajili wachache wanafanya shinikizo la kila...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati muafaka wa walimu Tanzania kuinga mkono CHADEMA kuliko kupoteza michango yetu CWT

    Natoa wito kwa walimu Tanzania nzima kujiunga na Chadema na kuchukua kadi na kuichangia Chadema kwa gharama yoyote. Haina maana walimu kuwa tunakatwa pesa nyingi kuichangia CWT wakati ni kibaraka cha mafisadi wa CCM Najua kwa uweza wa Mungu mtanisikiliza na kuanzia Jumatatu mtaanza kujiunga...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Chadema la jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vya juu CHASO 2026

    02 May 2026 KONGAMANO KUBWA LA VIJANA WA CHADEMA CHASO 2026, UKUMBI WAFURIKA https://m.youtube.com/watch?v=O9I_Z6gJWfA CHADEMA Students Organization (CHASO) Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu na vya kati Mkoa wa Dar es Salaam na vyuo jirani watakutana katika kongamano la 2026 kujadili hali...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti wa Jaji Chande Mei

    CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, alipokuwa akifanya Mkutano na Waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kamati Kuu uliofanyika Aprili 28...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kesho Mei 2 ataongea na Watanzania Makao Makuu ya chama

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kesho Mei 2 ataongea na Watanzania Makao Makuu ya chama saa sita kamili mchana! Kaa tayari kusikia atachokisema
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafungue kesi mahakama za kimataifa serikali ipewe amri kufanya kazi kwa mujibu wa sheria. Tusipokuwa makini tutakuja kusikia Lissu amekufa

    Natoa angalizo. Haya yanayoendelea ni dalili mbaya sana. Public figure internationally kama Tundu Lissu analetwa mahakamani kimya kimya! Ifunguliwe kesi Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu. Maana hizi sio dalili nzuli.
  13. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kemeeni tabia za wafuasi wenu za kutukana viongozi wetu kupitia namba za simu

    Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja. Hii tabia za kuwatukana viongozi wetu IKOME! Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwapate wachacche kama sample tu ili...
  14. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watamkumbukaje Bi. Anna Komu?

    Moja ya Taarifa za kusikitisha leo ni kifo cha Bi Anna Komu, kada wa CHADEMA kwa zaidi ya miongo 3. Anna Komu alishika nyazifa mbalimbali za ngazi za juu kabisa ikiwemo ujumbe wa bodi ya udhamini ndani ya CHADEMA kwa nyakati tofauti. Hata hivyo mwaka jana kwa kushirikia na Said Issa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naisubiri kwa hamu Siku CHADEMA ikiingia Madarakani then CCM wawe wanaikosoa Kwa nguvu zote nione hali itakavyokuwa

    Hamjambo wakuu! 1. Sio mbali wala Siku sip nyingi nchi hii itaongozwa na Upinzani kabla ya 2040. 2. Tuombe uzima. Hapa ninachojaribu kufanya projection hali itakavyokuwa. 3. CCM sasa imegeuka kambi rasmi ya upinzani. Hapa kuna mambo kadhaa yatatokea; a) Viti vya ubunge bungeni kutakuwa na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Siwezi kupingana na uhalisia ikitokea CHADEMA ikawa namba 2 CCM ikiongoza

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026,
  17. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na kujichanganya kwao kama watu wasiojielewa

    Nimemsikia msemaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa miongoni mwa agenda za kamati kuu wanayokutana ni pamoja na kujadili ripoti ya tume ya Jaji Mstaafu Chande, nimeshangaa sana kwa hoja zifuatazo 1. CDM mpaka leo hawatambui kama kuna uchaguzi ulifanyika Tanzania 2. CDM...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakosea sana kufanya ushirikiano na Act Wazalendo chama ambacho ni kibaraka wa CCM. Naanza kuwa na mashaka na John Heche

    Watanzania wengi wamesikitika sana kuona kuwa eti Act Wazalendo inaungana na Chadema kupinga ripoti ya kada wa CCM Chande Othman. Act Wazalendo ilikuwa pamoja na CCM mtandao. Chama cha mafisadi kwenye uchaguzi feki wa Oktoba 29, 2025 mwaka 2025. Ambao umeshuhudia watu wakipigwa risasi wakiwa...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mkakati kamambe uanzishwe kuandikisha wanachama wa CHADEMA. Ziundwe timu maalumu kupita nyumba hadi nyumba. Gen Z wawe kipaumbele

    Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili. Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi. Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo maandamano ya kuipinga serikali ambayo haikuchaguliwa na wanannchi yaandaliwe.
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Heche na Golugwa wapiga mamilion CHADEMA yashituka dakika za jioni

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la machapisho mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa Heche na Golugwa wamejihusisha na ubadhirifu wa fedha ndani ya Chadema. Chapisho hilo, ambalo limesambazwa katika vikundi na kurasa mbalimbali za...
Back
Top Bottom