chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitashiriki kuzuia maandamano ya CHADEMA Januari 24, 2024

    Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya yanayofanyika siku na saa za kazi. Chadema ilikutana na wananchi wanaolalamika wangapi lini na wapi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu ADC: Tulipanga kufanya maandamano kuunga mkono miswada ipitishwe kuwa sheria lakini CHADEMA wakatuwahi

    Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate. Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu...
  4. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdul Mluya: Sisi tulishapigwa, kama CHADEMA wanataka maandamano wajipange na familia zao mbele wapate ladha yake

    Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Leo nimemkumbuka Nape wa 2015. Alidai CHADEMA wanataka kupeleka marehemu Ikulu na kumuacha mzima

    Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa chama chake, John Magufuli. Nape alisema Chadema imeamua kufanya mabadiliko mengi ikiwemo kuacha...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kushirikiana na Jeshi Kufanya Usafi Tarehe 23 na tarehe 24 Ili kuwela mazingira Safi ya Maandamano

    CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI "Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024

    Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi kufanya usafi ili tukaandamane katika barabara na njia iliyosafi. John Mrema...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Uteuzi wa Nchimbi ulivyofifishwa na Taarifa za Maandamano ya CHADEMA

    Dkt Emmanuel Nchimbi ameteuliwa na chama chake kuwa Katibu Mkuu , kwa kadiri ya kumbukumbu zetu , kwa mtu yeyote kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM ni jambo kubwa linalopaswa kuzagaa midomoni mwa wananchi na vyombo vya Habari , hii ni kwa sababu Chama hicho ni kikongwe mno , ikizingatiwa pia...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama changu pendwa CCM ni kweli mnataka mdahalo na CHADEMA?

    Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali. Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi...
  11. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA msitishwe na RC Chalamila na maagizo yake kwa Jeshi la Polisi

    Baada ya CHADEMA kutangaza maandamano Jan 24, Mh RC Chalamila nae ametangaza kuwa siku ya tarehe 23 na 24 Januari kuwa siku za usafi utakaofanya na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mimi nasema hivyo ni vitisho tu, kanyagieni hapo hapo msinyanyue mguu tupo pamoja na ninyi, maana hata sisi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo: Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024 yaachwe ili lengo la Mbowe lisitimie

    Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo. Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa hapa nchini hivyo wanaamini wakifanya jambo litakalochochea vurugu na ikitumika nguvu kudhibiti...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Pendekezo mbadala kwa hoja ya CHADEMA kuhusu usimamizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wasalaamu wanaJF, Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take. Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au uratibu na usimamizi wa chaguzi zinazohusi viongozi ngazi ya Serikali za mitaa ujikite kwenye kupoka na...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Katavi yasema inaunga mkono kauli ya Mbowe ya kuandamana Januari 24

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi kimejipanga kutekeleza kufanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24, 2024. Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Roda Kunchela ameyasema hayo akiwa katika ofisi ya chama hicho mkoani humo ambapo amesema agiza la...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

    Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi na kutoa kauli potofu dhidi ya Maazimio ya...
  16. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii nchi ina shida nyingi sana, ajabu CHADEMA wanaaandama kisa sheria ya uchaguzi. Kwahiyo matatizo mengine hamyaoni?

    Mimi bwana sipendi sana kuandika mambo ya siasa hizi za Bongo siku hizi sio kwasababu sipendi ila sipendi tu kuandika kuhusu hizi siasa uchwara. Ok ni hivi, acha niandike kwa ufupi kuhusu tamko la Mbowe (CHADEMA) Nimefikira sana kuhusu kauli na kuendelea kujifunza kuhusu mambo mengi sana juu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hii hoja, CHADEMA na Mbowe wamenisikitisha sana

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi nilimwelewa) Kiukweli maandamano ya chadema ni maandamano ya ambayo sijayaelewa maana hayana kichwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CHADEMA haitashiriki Uchaguzi wowote kama Mazingira ya Siasa yatabaki kama yalivyo sasa

    ''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale yaliyotokea yanatupa hofu kwenda kushiriki Uchaguzi tena, lakini kama kuna mambo yatabadilika na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi

    CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23. Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi. Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu wanawachanganya wafuasi wao!

    Mbowe ametangaza maandamano mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 24 January 2024 huku Makamu Mwenyekiti wa akiwa nchini Ivory Coast kuipa hamasa Taifa Stars. Kwa mujibu wa Lissu atakuwa nchini Ivory Coast hadi January 24 amesema kuwa atatazama mechi zote za Taifa Stars! Huku ni kukingamana kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…