celebrities

Celebrity is a condition of fame and broad public recognition of an individual or group, or occasionally a character or animal, as a result of attention given them by mass media. A person may attain a celebrity status from having great wealth, their participation in sports or the entertainment industry, their position as a political figure, or even from their connection to another celebrity. 'Celebrity' usually implies a favorable public image, as opposed to the neutrals 'famous' or 'notable', or the negatives 'infamous' and 'notorious'.

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    Celebrities kemeeni Uovu, wote hatupo salama

    Fikiria MC Pilipili anauwawa kama kuku mchana peupe. Mlinyamaza Gen Z wakiuawa sasa ona yanayoendelea. Tukemee Uovu, tupone.
  2. M

    Tuache lawama kwa baadhi ya Celebrities kama kina Millard , Bila kuwa mwanaharakati huwezi vita dhidi ya system

    Wengi wetu tumeshuhudia jinsi baadhi ya celebrities hasa wasanii na wanamuziki walivyokuwa wakishiriki si tu kwa kuonyesha mapenzi yao ya kisiasa kwa upande flani, bali pia wakivuka mstari kudhalilisha na kukebehi wananchi walio upande wa upinzani. Hata hivyo, kuna kundi la celebrities ambao...
  3. Kipenzi Changu

    Celebrities wameanza kusema kweli, wanamuziki kemeeni

  4. Fateema

    Kama unafanana kimuonekano na celebrities wafuatao, fursa hiyo hapo chini.

    Maduskodusko Entertainment( Dar Es Salaam, Tanzania) ni kampuni inayo jihusisha na uzalishaji wa maudhui ya mtandaoni. Kampuni ina tayarisha documentary kuhusu kitabu kinacho itwa " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP" ambayo itaanza kurushwa kupitia You Tube kuanzia tarehe 16 June 2025...
  5. Area 56

    PreGE2025 Uzi Maalum wa Celebrities wanaotangaza nia ya kuwania ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini. Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini. Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
  6. Forgotten

    Modern Slavery: They’re Winning While You Watch!

    You’re not in chains. You’re not behind bars. But you’re not free either. Your attention is bought and sold. Your time is farmed. Your life is quietly slipping into someone else’s highlight reel. Here’s how entertainment, celebrity culture, and social media are the new plantation, and we’re...
  7. Mikopo Consultant

    Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

    Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high networth connections etc Na kila mmoja ukimtizama na harakati zake, unakuta kwamba sio za kitoto...
  8. M

    List ya Celebrities waonamuunga mkono Kamala Vs Trump Uchaguzi wa Marekani

    Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa kufanyika tarehe 5 November 2024. Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii...
  9. Gemini AI

    Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

    MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
  10. A

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
  11. G

    Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    1. Mzize - Mchezaji wa Yanga Ukristo kwenda uislam 2. P Funk - Producer Ukristo kwenda uislam 3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira Uislam kwenda Ukristo 4. Barnaba - Msanii wa Muziki Ukristo kwenda uislam 5. Mwijaku - journalist infuencer Ukristo kwenda uislam 6. Young killer -...
  12. 2 of Amerikaz most wanted

    The highest paid celebrities on Instagram

    10. 2 of Amerikaz most wanted $ 0.000.000
  13. Sky Eclat

    Legends gone too soon

    Teddy Pendergrass 59, Marvin Gaye 44, Luther Vandross 54, Barry White 58. Legends, Gone too soon.
  14. S

    What methods you use to understand you favorite celebrities net worth

    As for me I have this kind of a passion of going to a celebrity previous interview and do my analysis on how the celebrity is growing or maybe falling. I want to hear from you guys lets share ideas. Below, I share with you my reasons why you need to start going back to your favourite celebrity’s...
  15. Last Seen

    Mke wa zamani wa Bilionea Bill Gates kwenye mahusiano mapya

    Mke wa zamani wa Billionea wa Microsoft Bill Gates, Bibi Melinda Gates (58) ameangukia kwenye penzi jipya na Mwana habari Jon Du Pre. Wawili hao walionekana Kwenye mchezo wa Kikapu pamoja na muda mwingine kwenye Mapumziko Binafsi. Kwa mujibu wa TMZ kupitia vyanzo vyao vya kuaminika inaonesha...
  16. Blenderz Entertainment

    Malak Phainzzy/Blenderz Entertainment

    Let's look up on this talented artist"Veeboiski " Let's see what's he ghat In joining our record deal He dropped "slowly" in few days back, produced by blenderz
  17. Da'Vinci

    Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

    Hello 👋 Ingependa kujuzwa kwanini Celebrities wengi hasa actors wa hollywood wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri. Tatizo ni nini hasa maana kwa pesa na umaarufu wao wanaweza kupata mwanamke yoyote mzuri n young watakae. Btw. Mapenzi ni kupenda pale roho yako ilipopenda na inafurahi kua...
  18. Tz boy 4tino

    African celebrities with most Instagram followers

    MOST FOLLOWED AFRICANS ON INSTAGRAM 2021 1-DAVIDO🇳🇬 20M 2-YEMI ALADE🇳🇬 13.8M 3-DIAMOND PLANTINUNZ🇹🇿 12.2M 4-TIWA SAVAGE🇳🇬12.4M 5-WIZKID🇳🇬12.1M 6-DON JASSY🇳🇬???? 7-TECNO🇳🇬 8.6M 8-OLAMIDE8M 9-SHILOLE🇹🇿 7.6M 10VANESSA MDEE🇹🇿 7.2M...
  19. and 998 others

    Uwe maarufu au la, usijifanye una hela wakati huna! Utakuja umbuka msibani

    Unajirusha mitandaoni maisha bora, kubadilisha magari makali, unaishi apartment kali, Bata kwa Sana! Kumbe sirini maisha feki, mke elimu Hana Zaid ya kuuza sura. Siku ya msiba mnaumbuka Mbele ya makamera! ***Msibani watu wanalia kwa mengi (aibu/fedheha mixer huzuni).
  20. The Sheriff

    Thamani ya Kiswahili: Watu maarufu duniani wenye majina ya Kiswahili

    Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu katika Afrika na kote duniani. Ingawa Kiswahili kimeonekana kupanda chati na kuonekana kuzidi kushika kasi leo, lakini lugha hii ilshapata heshima tangu zamani. Wasanii na watu maarufu walitamani kuizungumza wakiwa na fikra kwamba Kiswahili...
Back
Top Bottom