Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Nimeikuta hii video mahali ila ikanifikirisha Sana. Nikaiweka kwenye muktadha wa changuzi zinazofanyika Tanzania.
Kwanza mama kwenye hii "clip" ni mfumo wa kiuchaguzi Tanzania na mtoto ni CCM.
Kuna vyama hufurahia kushinda baadhi ya maeneo kwa kutumia mfumo wa uchaguzi uliopo, lakini CCM...
Sikilizeni hii wakuu,
Mtia nia nafasi ya ubunge Jimbo la Makambako kupitia chama cha mapinduzi jimbo la Makambako Deo Sanga akijibu swali la katibu wa mtaa wa bwawani umoja wa wanawake Grolia Nyaluke.
Akizungumza na waandishi wa habari kada wa CCM Salimu Nyomolelo, ameomba uchaguzi wa Wilaya ya Mufindi Kusini usifanyike usogezwe mbele ili uchunguzi ufanyike kwa mwenyekiti na Katibu, ikidaiwa mmoja wa Mgombea wa Jimbo la Mufindi Kusini alitoa Rushwa ya gari kwa Mwenyekiti na Katibu wa Chama...
Kila kona ya Tanzania yanasikika mayowe ya wana CCM kutuhumiana kudhulumiana huku wakirusha lawama kwa CHADEMA kwa nini hawashiriki uchaguzi na kusababisha dhuluma iwe kubwa ndani ya CCM.
Tulipowaambia NO REFORMS NO ELECTION mlitubeza. Hatutaingilia ugomvi wenu wa wanandugu!!
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo
Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
Wanachama wa CCM wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu ambao walikuwa watia nia ya udiwani kutoka Kata mbalimbali wamelalamikia kukatwa majina yao na kupuuzwa kwa maagizo ya CCM Taifa juu ya kurejeshwa kwa majina yao.
Jumuiya ya wazazi ya chama Cha Mapinduzi (CCM) imetangaza matokeo ya uchaguzi wa wabunge na wa wakilishi wa Jumuiya hiyo huku Catherine Joachim akijinyakulia ushindi kwa nafasi ya ubunge Tanzania Bara kwa kujizolea kura 597 akifuatiwa na mpinzani wake wa karibu Khadija Shabani aliyepata kura...
Wananchi wa Kata ya Shambalayi Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wameandana hadi ofisi ya chama cha mapinduzi (CCM) Kupinga uamuzi wa majina yaliyo rudi kuwa hawayahitaji na badala yake majina wanayo yahitaji hayajarudi.
Wananchi hao wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi anatuhumiwa kuhusika katika mipango ya kuiba kura za maoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Agosti 4, 2025, ili kumuwezesha Mbunge aliyepo madarakani, Jimbo la Mufindi Kusini Davidi Kihenzile, kuendelea...
Jana katibu wa Itikadi na uenezi CCM Amos Makala aliongea na vyombo vya habari na kusema kuwa majina ya wagombea udiwani kupitia CCM nchi nzima yarudishwe yote ili yakapigiwe kura na wanachama naona agizo hili kwenye ikoa niliyopita halijatekelezwa kulikoni?
Wadau huko kwenye mikoa yenu vipi...
Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama
Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
MAELEKEZO YA MWENYEKITI WA CCM (T) MHE. SAMIA SULUHU HASSAN YALETA MABADILIKO CHANYA KATIKA KUKUZA DEMOKRASIA YA KUWAPATA VIONGOZI WAWAKILISHI KUPITIA UVCCM
Tarehe 1 Agosti, 2025 itaendelea kukumbukwa kama siku ya mafanikio makubwa ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambapo...
Wakuu,
Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
Mwanzoni nilipewa taarifa na Diwani Mstaafu wa Chadema wiki iliyopita. Baadaye akaniambia waliokuwa madiwani wenzake wa Dsm karibu wote Dar na kwao Mbeya wameombwa kujiunga Chauma.
Leo nimepata taarifa ya Viongozi wa kata Fulani na wilaya Mojawapo nao wameombwa kujiunga na CHAUMMA.
Taarifa...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa 2025 wamemchagua Ng'wasi Kamani kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Vijana kutoka Tanzania Bara.
Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 02, 2025, Kamani ameibuka mshindi kwa kushika...
CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni...
Pamoja na watia nia wengine walioidhinisha na kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa, namshukuru sana Mungu kwa kibali, ndugu yenu Tlaatlaah ninaendelea na kampeni za kura za maoni vizuri sana kwasasa, licha ya kwamba sikufanikiwa kufanya hivyo katika baadhi ya kata siku ya kwanza ya kampeni...
Kutokana na wanaCHADEMA kuwa mstari wa mbele kupinga na kukosoa mambo mbalimbali yanayoendelea wakati huu wa uchaguzi ninashauri chama chetu CCM kiwape hawa ndugu zetu nafasi maalum ya kupendekeza wagombea wanaowataka. Imefika sehemu viongozi waandamizi wa CHADEMA wamejiunga na Polepole kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.