Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Mkwedu kata ya Mkwedu wilayani Newala mkoa wa Mtwara wamerudisha kazi za chama haicho, baiskeli na pikipiki kwa sababu ya kuenguliwa kwa majina ya wagombea udiwani. Hayo yamejiri 31 July 2025
Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
Familia ya Samia
Familia ya Kikwete
Familia ya Mwinyi
Marafiki na familia sindikizaji
Familia ya Pinda
Familia ya Lowassa
Familia ya Magufuli
Familia zilizoachwa za
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere...
Ndugu wana JF,
Haya mambo ya wajumbe CCM naona itakuja kuleta shida huko tuendako. Wajumbe wanataka rushwa na wanaweza kuleta mtu ambaye wanachama hawamtaki.
Pia kumekuwepo na chuki miongoni mwa wajumbe. So mimi naona bora wanachama wote waruhusiwe kupiga kura za maoni.
Wasalaam
Poleni wazee mliotia nia hivi karibuni...
Nafikiri mnakumbuka niliwatahadharisha ila uzoefu mmeupata. CCM ina wenyewe. Tukazane kufanya kazi tutunze familia zetu mambo ya uongozi inji hii tusubiri siku nyingine labda Hali ibadilike.....
Usiku mwema
Wakuu
Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe.
Kupitia video...
Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea.
Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...
Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
CCM Ina wenyewe kwa kweli.
Mtu mmoja, kateuliwa:
1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini
2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro
3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake.
Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka.
Uliza ana umri Gani na watoto wako...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa agizo kwa makatibu wa mikoa wote nchini kuhakikisha wagombea wote wa nafasi za udiwani waliokuwa kwenye orodha ya awali wanarejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Taarifa hiyo imetolewa siku ya Ijumaa na CPA Amos...
Kama kichwa cha habari kisemavyo, hata kama wewe una IQ ndogo utajiuliza. CCM ndio chama tawala tangu uhuru, bila shaka kwa namna wanavyowapiga rungu wapinzani, ni wazi kuwa wabunge walioteuliwa na watawala ndio watarudi bungeni kwa wingi. Moja ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuihoji...
Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili uchaguliwe ni lazima uwe unajuana na mtu au uwe mtoto wa waziri ndipo uchaguliwe
Pia amehusia baadhi...
No Reforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni CHADEMA.
Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mchakato wao kurudiwa na Uchaguzi Mkuu kusogezwa mbele, hivyo lengo la No...
UCHAGUZI UWT MKOA WA LINDI
Tarehe 30-Julai-2025, Umoja wa Wanawake Tanzania- Chama Cha Mapinduzi- UWT Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kuchagua Wabunge wa Viti Maalum- kuwakilisha Mkoa wa Lindi- katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jumla ya Kura zilizopigwa- 1192
Kura...
Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya CCM, labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri CCM hii ni CCM malifedha, wale wenzangu na miye wa CCM itikati hakika inatutatiza kweli kweli.
Namaanisha siye tuliyecheza kwata, kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati...
Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry...
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,
Rejea mada tajwa .
Mh aliekua Mbunge wa bunge la JMT ,tulipenda sana tumia jina la mh Bwege, kuna kipindi ndani ya Bunge aliwambia wabunge wa ccm na serikali kwamba tunaanza upyaaa.
Sasa msemo huu leo nawambia pia ccm kwamba tunaanza upya ,drama zao...
Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi.
Baada ya kukatwa
Anarudishwa Kwa kutumia mlango Wa nyuma Kwa Kuhonga kisa eti yeye anajinasibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.