ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo lijalo la CCM hawana vijana mahiri kama wa Chadema

    Hivi ukiangalia CCM chama kimajaa wazee wakina Kikwete, Samia. Vijana wengi hawana uwezo Chadema angalia viongozi wao ni vijana
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Diwani Likotiko achukua fomu kutetea nafasi Gangilonga kupitia CCM

    Diwani wa Kata ya Gangilonga, Mheshimiwa Likotiko Kenyata, leo amechukua rasmi fomu ya kugombea tena nafasi ya udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kushinda na kupitishwa na chama hicho katika mchakato wa kura za maoni uliohitimishwa hivi karibuni. Akizungumza mara baada ya...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM waandama Ulanga kwa kutoridhia uamuzi wa jina la mgombea nafasi ya Udiwani

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) zaidi ya 50 kutoka kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro wameandamana katika Ofisi ya Mkoa ya Chama hicho, kwa madai ya kutoridhia uamzi wa jina la mgombea wa nafasi ya udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni kutorudishwa, wakishinikiza kurudisha...
  4. econonist

    JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM. CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dkt. Stergomena Tax akabidhi Ukumbi wa CCM Magu kwa uongozi wa Chama Wilaya baada ya ukarabati

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Agosti 2025, ameukabidhi Uongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Magu Mkoa Mwanza, Ukumbi wa CCM baada ya kukamilisha maboresho na ukarabati mkubwa. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Warudisha kadi za CCM wadai hawatashiriki uchaguzi

    Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naona kuna hujuma ya kumtoa Mpina ili ionekane Uchaguzi ni kama wa Upande mmoja, CCM iwe makini

    Fikiria kama huyo Luhaga Mpina akiondolewa kugombea Urais Uchaguzi huu, katika kubalance mambo mbalimbali na utamaduni wetu vitaonekanaje? Nahisi hawa hawa ACT wazalendo kuna kamchezo wanafanya kuiumiza CCM Haiwezekani wao kama chama walikubaliana na kumpokea Mpina na kumpa uanachama na...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA imeaminisha watu kuwa Act-Wazalendo ni CCM 'B'

    Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa. Chanzo...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Hatima ya wabunge CCM kubainika agosti 21 & 23

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vyake vya kitaifa vitakavyofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Hameed Jongo: Walioichangia CCM wamechangia Amani na Maendeleo

    Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

    Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho. Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena. Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia. Huu ni ujumbe mzito kwa...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM nisaidieni kutegua hiki kitendawili

    Kuna jambo limekuwa kama kitendawili kwangu, na sielewi tafsiri yake ni nini! Kwenye maisha ya kawaida ya watanzania na huku kwenye mitandao ya kijamii, watu hupata wasiwasi na hatima ya mtu anayeikosoa CCM kuliko anayeikosoa CHADEMA. Imekuwa ni kawaida mtu kuonywa ama watu kuandika maneno...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM tuambieni ,mlitoa wapi ujasiri wa kuchukua pesa ya kununua treni na mabehewa mapya,mkatuletea mtumba?

    Salaam! Mlichukua pesa cash toka mkopo mliotukopea kwa ahadi kuwa mtaleta Treni na mabbehewa mapya, Cha ajabu, Mkaleta treni na mabehewa Chakavu kinyume na Sheria za manunuzi zinazotaka sirikali kununua vitu brand new. Cha ajabu,kiongozi Mkuu naye akitoka na KUKIRI kuwa ni kweli ni Chakavu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM: Taarifa kwa Umma Juu ya Uteuzi wa Wagombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni Taarifa kwa Umma kutoka kwa chama kiongozi Barani Afrika yaani CCM,chama chenye kubeba matumaini ya watanzania na chenye uchungu na Maisha ya watanzania. Chama chenye kujali maisha ya watu, chama chenye kuguswa na shida za watu ,chama chenye ajenda na sera...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Leo nimemsikia raia wa nchi Jirani akisema kwa uchungu laiti wangaliongozwa na Chama kama CCM basi changamoto ya vita na ukabila ingalikoma kabisa

    Huyu Mzee wa Makamo wa nchi Jirani nimemuona kwenye mwendokasi huko kimara akiongea kwa hisia kubwa. Anasema hapa kwetu tumekuwa na bahati kubwa kuepuka changamoto walizonazo.huko kwao. Ukweli nilimuonea huruma sana na sikuwa na namna zaidi ya kumfariji pamoja na abiria wengine
  16. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tusipende kubeza kila kitu, Kwani kuna mtu alijua Daudi angeliweza kuliua jitu kama GORIATH?

    Kiburi wakati mwingine hakisaidii.2015 CCM iliponea chupuchupu kuangua kwa sababu chadema ilitumia wahuni na wanamitandao kutoka CCM . angalia hapa :Tarehe 29 Oktoba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kura ya rais, akifuatwa na Lowassa wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

    Declaration of Interest. Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Dk Malisa dhidi ya CCM yasogezwa hadi Agosti 19

    Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na aliyekuwa kada wa CCM, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa iliyokuwa isikilizwe Agosti 14, sasa imesogezwa hadi Agosti 19, 2025. Katika shauri hilo linalosikilizwa na jopo la mawakili watatu, Dkt Malisa anaiomba mahakama kutoa tafasri na uamuzi wa usahihi katika...
  19. Michael Dudicoff

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uhalisia ndani ya harambee ya CCM

    Habari za muda huu. Niende kwenye mada Moja kwa moja. Chama Cha Mapinduzi hakijakosa hela kiasi cha kuandaa harambee ya watu kukichangia pesa za kuendesha shughuli za uchaguzi. Miaka yote chama kimekuwa kikishiriki uchaguzi pasi na kuhitaji watu kukichangia. Lengo kuu la harambee ile ilikuwa...
  20. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaishitaki YANGA kwa barua kwenda FIFA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa na Yanga kwa chama cha siasa (CCM) katika hafla ya Gala Dinner iliyofanyika Mlimani...
Back
Top Bottom