ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jumaa Aweso aibuka kidedea kura za Maoni ubunge Jimbo la Pangani

    Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura. Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM

    Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM. CCM sio nchi ni brand na Chama. Ushauri Popepole huwezi kufanikiwa kwasababu mawazo yako ni kupigania chombo ambacho sio cha kidemokrasia. Huwezi kupingana na wana CCM ambao chama chenyewe ni chama cha kifalme...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Huyu nae inasemekana alikuwa anataka ubunge , akakatwa juu kwa juu

    Kwahiyo huyu na yeye alikuwa anataka kuingia Bungeni ?.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fursa za uchaguzi wa CCM toka asubuhi nimeuza Kangala mpaka nimechoka.

    Wajumbe ni watu wema sana. Leo wamekula mitungi acha kabisa tangu saa moja asubuhi. Wamenipigia kangala mixer na kitoko, ambiance, Kigogo na kila kilichopita mbele yao. Sasa hivi wapo hoi wanasubiri majibu. Kesho ndio nitaenda kufundisha vijana wenu.
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

    ==== Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi -...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Mawakala wadai Katibu wa CCM Siha anataka kuvuruga Uchaguzi wa Kura za Maoni

    Mchakato wa Upigaji Kura Jimbo la Siha umeanza kuingia doa baada ya kudaiwa kuwa upigaji Kura umekamilika lakini imetokea hali ya kutoelewana kati ya Wasimamizi wa Mchakato na baadhi Mawakala. Inadaiwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ametoa maelekezo kuwa msafara wa kubeba Kura uondoke bila kufuatwa...
  7. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

    Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini. 1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77 2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38 3. Dkt. Ahmad Sovu: 32 4. Baruan Muhuza: 20 5...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Kimenuka Segerea, Ngumi zimepigwa, Wana-CCM wadaiwa kutaka kutoana Roho

    Wakuu! Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Kisesa kumenoga! Wananchi wajikusanya kupinga Mpina kutoteuliwa nafasi ya Ubunge ya CCM

    Wakuu, Hawa wananchi wamejikusanya kupinga kitendo cha CCM kumkata jina aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kisesa kukatwa na chama hicho kwenyew mchakato wa Ubunge. Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka

    Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka. Mmekataa demokrasia na haki, sasa mnategemea nini, ni mwehu pekee anaye amini kukataa demokrasia na haki alafu aje kupata haki. Ni wakati sasa wa mabadiliko sisi wote ni watanzania kwanini tuwe vilaza kiasa hiki haya...
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

    Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu. Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
  13. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM na Wassira, Hayo Maridhiano na CHADEMA ni ya Namna Gani?

    1. Maridhiano ya kweli au maigizo ya kisiasa? Tumekuwa tukisikia kauli za “maridhiano” kati ya CCM na CHADEMA, lakini ukitazama Kwa makini vitendo vinavyoendelea, ni vigumu kuona dhamira safi ya hizo kauli za maridhiano. Serikali hii hii inayosema inaleta amani na maridhiano, ndiyo hiyo hiyo...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

    Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Usiku huu kijani na njano wamejikusanya hapa ulongoni b ofisi mpya za ccm kata ya luguluni

    Video hii inakuonyesha makumi ya kina mama wakiwa wameacha watoto na waume zao wako kwenye foleni ya mgao wa rushwa angalia video hii sungura anamla sungura !!
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

    Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole.... https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Mtu au kikundi kinachofanya utekaji kinaharibu taswira ya CCM

    Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa anawaya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi, ni hasara kwa Taifa. === SAHIHISHO Emmanuel Nchimbi alizungumza haya Septemba 13, 2024...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Wanafunzi tena waliovaa sare wanatafuta nini Ofisi za CCM – Wilaya ya Wanging'ombe Jumapili hii?

    Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe. Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini wanasiasa wa CCM huimiza kujiajiri wakati wao hawataki kujiari?

    Bila ya kujali Elimu zao au umri wao, wanasiasa wa CCM wamejazana huko kwenye kugombea nafasi za udiwani na ubunge. Hawahawa wakichaguliwa ama wasipochaguliwa na kupewa madaraka mengine ya kisiasa, utawasikia wakihimiza vijana kujiajiri. Imekuwaje wao wanajazana kwenye siasa wakiwa na watoto...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ajipatia Tsh 370,000/= kwa kujifanya mjumbe wa CCM .

    Mkazi mmoja wa Bwina Chato ndugu Majumbi amaejipatia Tsh laki tatu na sabini baada ya kushona shati la kijani, suruali nyeusi na kofia ya kijani iliyoandikwa SSH 2025 Hii ndio inaitwa akili mkichwa.
Back
Top Bottom