Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Watanzania tunapaswa kutumia kampeni hizi kuuliza maswali ya msingi kwa viongozi wanaotaka kutuongoza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tunahitaji majibu ya kweli, siyo ahadi za maneno matupu.
Zifuatazo ni baadhi ya kero ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu, lakini viongozi waliopo madarakani...
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga, mkoani Mtwara wamekutana na kuazimia kumkataa diwani aliyeteuliwa katika uchaguzi wa kura za maoni. Hatua hiyo imefikiwa baada ya vikao vyao vilivyofanyika katika kijiji cha Nakalola, wilayani Masasi ambapo wameeleza hoja zao za kumkataa mteuliwa huyo.
Wakati sina shida kabisa na CCM kufanya fundraising, napata changamoto kuelewa Mamlaka za nchi zimefikiria nini kuruhusu hili kutokea.
Kwanini akaunti za Ikulu zitumike kwenye shughuli za kisiasa?
Hivi ni kwamba tumefika huku kweli?
Hii imekaaje au ina maana gani CCM inagawa baiskel, bodaboda vitenge kanga na zawadi nyengine kwa watanzania.
Ila cha kushangaza pia inaomba mchango wa hela za kampeni billion 100.
https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na...
Wasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
Wakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa
Wamajiwekea buget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
Hamjambo!
Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi.
Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy Mzungu ni vile hajawaona. Lakini nina uhakika wananamba Pale Cheka Tuu. Hasa Yericko namwona kama mtu...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kenani Laban Kihongosi leo Jumanne Agosti 12, 2025 amewaongoza wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kujitokeza kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...
Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori.
Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
Hello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee...
Katika haya mawili. Moja ni sahihi.
1. CCM haina au haitumii washauri wenye akili imeamua kuongozwa na wasio au wenye akili ndogo.
2. CCM imegundua watanzania wengi hawana either au hawatumii akili
JE, 2025 OCTOBER 2+2=5?
Kuna wakati huja katika kila ustaarabu unaokaribia kufa ambapo watu wanalazimishwa kupiga magoti mbele ya uongo.
Wanaambiwa waukariri, wauidhinishe, wauamini, si kwa sababu ni kweli, bali kwa sababu mamlaka yanataka hivyo.
Hapo ndipo Tanzania tulipo sasa.
Tunaishi...
Mimi niko na wewe ( at least kwa hili, ingawa wakati wa Magufuli hukuonesha uzalendo huu), sasa tunatokaje kwenye mkwamo huu?
My suggestions:
1. Weka page yako ya inbox ambapo unaweza kupata mawazo na mbinu za kwenda mbele....mbinu za vita haziwekwi hadharani
2. Tumia influence ya ubalozi wako...
Wakuu
Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, amefunguka kuhusu Luhaga Mpina, mgombea wa Urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, akisisitiza kuwa “Mpina hajatoka CCM amefukuzwa CCM”
,
Amani muswano mtanzania.
Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?.
Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM kiringeni.
Wote hawa ni sinema tu.
Siku Lissu alipovaa jacket la kuzuia risasi nikaelewa, siku...
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato...
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League for Democracy, Doyo Hassan Doyo Akizungumzia Moja ya Sababu Iliyomfanya Agombee Kiti Cha Urais na matarajio yake ni kuiondoa CCM madarakani
Soma Pia: Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha (NLD) Doyo amefika kuchukua fomu akiwa na Bajaj
HUKU vikao vya Chama ngazi ya Mkoa vikiendelea kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho kwa Wagombea Udiwani na Ubunge, siasa za Kisiwa cha Mafia zinatajwa kuwa moto.
Pamoja na ushindi wa Omar Kipanga katika kura za maoni bado kunaonekana kunafukuta chini kwa chini huku maamuzi ya mkoa yakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.