ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Inawezekana makamanda wa Chadema waliohamia CCM ni magarasa na turufu bado zimebaki Ufipa maana bado wanaonyesha Ufundi!

    Nimesikiliza kauli moja tu ya mtumishi wa Mungu Mchungaji Msigwa akikiri kuwa ana undugu na Rais Magufuli. Na zaidi Mchungaji Msigwa akasema kama wanafamilia "wao" wana namna wanavyoshughulikia mambo yao. Nilichojiuliza ni kwanini Mchungaji Msigwa hajawahi " Kujimwambafy" kwamba yeye ana...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wazo nzuri kuchangisha Tsh 350m kuwaokoa na kifungo viongozi CHADEMA ilikuwa pamoja na Mashinji. Itakuwa uungwana zaidi Tsh 30M kuirudisha CCM

    CHADEMA mlionesha uugwana mkubwa sana kwa kutuchangisha Tsh 350m kwa wahukumiwa wote hata aliyekuwa katibu Mkuu wenu aliyewakimbia. Hii iliwajengea heshima kubwaa kwa kuonesha kuwa mlithamini mchango wake na isitoshe kesi aliyohukumiwa ilitokana na kuwa kiongozi wa CHADEMA kipindi hicho...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
  4. JamiiForums Tanzania Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

    WASIFU WA AKWILINA AKWILINI Akwilina Akwilini alizaliwa tarehe 1 April, 1996 katika Kijiji cha Olele-Marangu, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, akiwa ni mtoto wa sita kati ya watoto nane wa familia ya mzee Akwilini Shirima. Akwilina alipata sakramenti mbalimbali katika kanisa Katoliki la...
  6. JamiiForums Tanzania CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

    Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam kimemlipia faini ya Shilingi Milioni 30 mwanachama mpya wa chama hicho Vincent Mashinji aliyekutwa na hatia kwenye makosa kadhaa kwenye Hukumu iliyotolewa jana ya kesi iliyokuwa ikimkabili pamoja na viongozi wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe katika...
  7. JamiiForums Tanzania Lucas Mwampiki, na Hussein Wasoha Madiwani wa Chadema Mkoa wa Mbeya wamehamia CCM

    Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Wana-CCM vileeni vyama vya upinzani visife

    Kuna watu bila kujali itikadi yao ya kisiasa ambao kazi yao ni siasa. Watu wa aina hii lazima wafanye siasa maana maisha yao yote yanategemea siasa. Kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa na mwanasiasa. Mwanasiasa anaweza kufukuzwa na wenzake kutoka ndani ya chama au anaweza kukihama chama...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

    Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana. Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka Mkuu wa mkoa wa Tabora mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji. Nao...
  11. JamiiForums Tanzania Nitajiunga CCM Simba akishinda leo

    Nitajiunga na CCM endapo Simba watashinda mechi ya leo bila kubebwa na marefa sioni beki za kuwazuia washambuliaji wa Yanga wasipate matokeo gemu ya leo.
  12. JamiiForums Tanzania Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

  13. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Nyakati: Mbatia, Prof Lipumba, Maalim Seif na Mrema watarejea CCM kabla ya Uchaguzi Mkuu. CHADEMA itabaki kwa mzee Mtei

    Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi. Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo? Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akifanya mahojiano na kituo cha utangazaji ITV amenena haya kuelekea uchaguzi Oktoba 2020. HOTUBA KWA UFUPI CCM imejiandaa kushinda kihalali, na ushindi wenyewe sio wa Oktoba, ulianza kutafutwa tangu 2015, hiyo ndio tiketi yetu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama: Jengo la ofisi za CCM mwenge lavunjwa kupisha ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala

    Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho. Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara...
  16. JamiiForums Tanzania Wapinzani msimkatae Membe kwa sababu ya Lowassa na Sumaye

    Mwl Nyerere alishaweka nadhili yake kwa kusema "Mpinzani atayeing'oa CCM atatoka CCM. Ahadi hii bado ipo mpaka leo ni maswala ya muda tu. Huenda mida imefika. Kwa vyovyote vile Mh. sio mwanasiasa wa uzito mdogo kwenye siasa za Tanzania. Kumfukuza na kumpokea kwenye chama Cha siasa kunaleta...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbunge wa CCM azomewa na Wananchi kwenye Mkutano wa Waziri wa Mifugo Luhaga Mpina

    Mbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza. Hayo yamejili Leo kwenye ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvivu Mheshimiwa Luhaga Mpina. Mpina aliwaambia wananchi wa Igunga...
  18. JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Mbatia akubali kufanya kazi ya CCM

    Hapa akizuga kukamatwa ili ionekane hakutumwa Hapa akifanya kazi halisi aliyotumwa kuitekeleza ya kupokea walioitwa wanachama wa Chadema , hakuna mwanaccm wala mwingine wa chama kingine . Swali ni hili , kazi hii aliyopewa na kulipwa ujira wake ataweza kuifanya au itamtokea puani ? ...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajutia kupokea waliokatwa CCM na kudai haitapokea tena katika uchaguzi mkuu

    Chadema yajutia kupokea waliokatwa majina CCM CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinajutia uamuzi kiliochukua wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kuchukua wale waliokatwa kutoka CCM ambao sasa wamerejea katika chama chao cha zamani. Akizungumza ofisi za Makao...
  20. JamiiForums Tanzania Ubunge Simanjiro waibua balaa CCM, Millya maji ya shingo

    Maandiko matakatifu yameeleza kwamba Laana ya usaliti ni kubwa mno , na kwamba inaweza kutafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika , hii maana yake ni kwamba Laana aliyoitenda Babu mnyororo wake unavikumba hadi vitukuu . Hii ndio hali iliyomkumba Mbunge wa Simanjiro James Millya . Ameandaliwa raia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…