Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa.
Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga...