ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM na Watanzania Kuweni Macho; Jamaa Anajiandaa Kuwatoka

    Huu ni uchambuzi mdogo. Msingi wa uchambuzi huu ni matukio yenye shaka katika utawala na siasa za Tanzania kuanzia 2016. Kuna muda, ndani ya kipindi hicho, wakongwe ndani ya CCM, wakiwemo Pius Msekwa na Benjamin William Mkapa, wamewahi kuonya. Kwamba haifai kwa mtu mmoja ndani ya CCM...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio watakuwa wasimamizi wa uchaguzi 2020

    Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu? How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika? Tusikilize majibu #ChangeTanzania
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi inakuwaje kuanza kwa kampeni kwa CCM kuwa ruksa na kwa wapinzani kuwe haramu?

    Jeshi la Polisi nchini linatekeleza majukumu yake kwa "double standards" Lile linaloonekana haramu, likitendwa na CCM linaonekana halali kwao na likitendwa na vyama vya upinzani linaonekana haramu na linachukuliwa hatua Mara moja! Mfano halisi ni hivi majuzi tu wakati kiongozi wa chama cha ACT...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge aliyehukumiwa kwa uhujumu uchumi na kulipa faini ashangiliwa na wanaccm kwa kutekeldza vizuri Ilani ya CCM!

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM. Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa zamani Lijuakali Aliyemwaga chozi bungeni akabidhiwa rasmi kadi ya CCM kwenye mkutano wa hadhara

    Huku viongozi wa upinzani nchini Tanzania wakikamatwa kwenye mikutano ya ndani , Msaliti Njaa Peter Lijuakali leo amekabidhiwa kadi ya chama chakavu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Kidatu wilayani Kilombero
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar 2020: CCM itayaepuka makosa haya manne ya kimkakati?

    Oktoba mwaka huu wa 2020 Zanzibar inaingia katika Uchaguzi Mkuu wa Wawakilishi, Wabunge na Rais. Vyama viwili vinatarajiwa kuwa na nguvu kubwa katika uchaguzi huu, kwa maana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na chama cha ACT Wazalendo. Katika kila chaguzi Jumuiya ya Kimataifa imekuwa ikiinyoshea...
  7. JamiiForums Tanzania Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

    Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona...
  8. JamiiForums Tanzania Namba 30: Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya CCM kuwania Urais wa Zanzibar

    Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Jumbe amekuwa mgombea wa 30 katika mbio hizo za Urais. Vile vile Mussa ni Mkurugenzi katika Idara ya Maendeleo ya Uvuvi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wagombea ubunge wa CHADEMA wale kiapo cha kutohama chama ndani ya miaka 5 vinginevyo ni bora wachaguliwe CCM

    Natoa angalizo na nina imani Mbowe na Mnyika mnanisikia popote mlipo. Ni kwamba kulikoni kutuletea sintofahamu katikati ya muhula ni bora hawa wagombea wenu wa Ubunge mkawalisha yamini au kiapo ili wasituache kwenye mataa katikati ya muhula na kukimbilia CCM. Tumechoka na habari ya kumchagua...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Yatakayoendelea kutoka sasa hadi Oktoba mwaka huu si mazuri kwa CCM

    Kwa haya yanayojiri katika kipindi cha miezi mitatu hivi hadi Watanzania waingie kwenye vyumba vya kupiga kura sio mambo mazuri kwa CCM na uongzi uliopo. Vitendo vingi sana vya unyanyasaji wa wana siasa vinaendelea wakati huu. Mnaojua ukweli ni kwamba vitendo hivi vitazidi kuongezeka hasa...
  11. JamiiForums Tanzania Miradi ya maendeleo China -Uganda inagusa wananchi moja kwa moja

    Wakati serikali ya CCM inatuamisha kuwa China ni rafiki zetu na kuwa tuna historia ya miaka mingi na nchi hiyo. Miradi ya maendeleo ya serikali ya watu wa China nchini Uganda inagusa maisha ya watu moja kwa moja. Mfano wa miradi hiyo ni Naguru Hospital yenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa wa nje...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano Mkuu wa CCM kukutana Julai 11 na 12 kumpitisha Mgombea Urais Dkt. Magufuli na kupitisha Ilani

    Katibu wa siasa na sekretarieti wa CCM kanali Lubinga amesema mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya CCM utakutana July 11 na 12 kupitisha jina la mgombea Urais wa JMT Dkt. Magufuli na mgombea Urais wa Zanzibar. Kadhalika mkutano huo utajadili na kupitisha Ilani ya uchaguzi ya CCM. Pia kanali...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Joachim Marunda Kimaryo (maarufu kama Master J) atangaza nia ya kugombea ubunge Rombo

    Muandaji muziki maarufu Joachim Marunda Kimaryo (Master J) ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Rombo akiwa kwenye mahojiano katika redio ya Clouds FM kwenye kipindi cha XXL. Master J amenukuliwa akisema "Mimi nipo CCM tangu zamani, natangaza nia, uchaguzi wa mwaka huu, Chama kikinipa...
  14. JamiiForums Tanzania Namba 29: Shaame Simai Mcha achukua fomu kuwania kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM

    Shaame Simai Mcha ambaye ni Mwandishi wa Habari, ameingia katika mbio za Urais wa Zanzibar kwa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.
  15. JamiiForums Tanzania Manyara: Mwenyekiti na Katibu wa CCM Mbaroni kwa Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Manyara inawashikilia mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi tawi la Maisaka Katoi tawi la Babati Bakari Katibu na Katibu wa Tawi hilo Juma Swalehe kwa makossa ya kuomba na rushwa ya Shilingi laki mbili(200,000). Kinyume na Kifungu cha 15 cha Sheria ya...
  16. JamiiForums Tanzania Namba 28: Idd Hamad Idd achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Kada wa CCM, Idd hamad Idd amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombe Urais wa Zanzibar kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 - Idd Hamad anakuwa mwanachama wa 28 wa chama hicho kuchukua fomu hiyo ambapo tayari Wanawake 3 na Wanaume 24 wameshachukua
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuna demokrasia pana wagombea 29 wachukua fomu kugombea Urais wa Zanzibar hadi sasa, CHADEMA ni 3

    Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM. Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1 CCM ni baba wa demokrasia Maendeleo hayana vyama!
  18. I

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: CCM ya sasa haiheshimu Katiba

    Mheshimiwa Lazaro Nyalandu yupo mubashara Wasafi FM. Anasema CCM aliyoiacha si ile ya Mwalimu Nyerere. CCM ya sasa haiheshimu Katiba ya Jamhuri wala katiba ya chama chao. Anasema akiwa Rais wa Jamhuri, pamoja na mambo mengine mazuri, atahakikisha nchi inapata Katiba mpya. Anasema atahakikisha...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, utabiri wa Mwalimu Nyerere kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM kuanza kutokea katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM. Kutokana na kujitokeza kwa mwanasiasa, Bernard Membe kudai kuwa amepania kuchukua fomu ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli CCM wanaiba kura?

    Watanzania naomba tuzungumze ukweli kuhusu suala la wizi wa kura , Je, nikweli CCM wanaiba kura? Tujikite kwenye hoja maana kati ya sifa mbaya zinazitumika kuichafua ccm mojawapo niwizi wa kura je ? Cccm wanaiba kweli kura?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…