ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Wanachama wa CCM maji yamewafika shingoni

    Katika historia ya nchi hii, hakijawahi tokea kipindi cha majaribu ya aina hii, ambayo wanaccm wanapitia hivi sasa Huu uchaguzi wa serikali za mitaa, umewavua nguo na hivi sasa mpo uchi wa mnyama Kitendo cha hao wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM kukata majina ya wagombea wa...
  2. Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  3. Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

    Wadau. Leo Novemba 12,2019 Mzee Wetu na Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Benjamin Mkapa Anatimiza Miaka 81 ya Kuzaliwa. Tukio Hilo linaambatana na sherehe Mubashara muda Huu wa Uzinduzi wa Kitabu Chake Cha "My Life, My Purpose" Hongera Sana Mzee Wetu. ---- Benjamin William Mkapa is a...
  4. S

    Magufuli ndio Rais wa mwisho kutawala kupitia CCM

    Nyakati za CCM kuendelea kutawala nchi hii zimefika mwisho na yote haya mnayoyashuhudia leo hii ni viashiria tu vya anguko la CCM katika siku zijazo. Kelele za wana-CCM majukwaani, mitandaoni, Bungeni na kwingineko, ni sawa tu na mateke ya farasi anaekata roho hivyo hayaepukiki na watarusha...
  5. Diwani wa Kata ya Gwarama (CHADEMA) na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kwenye uchaguzi mdogo jimbo la Buyungu aachana na CHADEMA na kujiunga CCM

    Diwani wa Kata ya Gwarama wilayani Kakonko na MwanaJF Ndugu Elia F Michael aliyekuwa mgombea wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo mwaka 2018 jimbo la Buyungu ameamua kuachana na Chadema na kujiunga na CCM. Pia soma...
  6. K

    Wanamikakati wa CCM Mjifunze kilichotokea Zanzibar, Mtambue mabadiliko hayazuiliki na Bara sio Unguja

    Huo ujumbe uende moja kwa moja kwa wana mikakati wa CCM na washauri wa chama na Serikali. Mtakosea sana kufanya mbinu zenu za kuzorotesha Upinzani kwa kutumia mbinu za Zanzibnar huku Bara. Kwa hulka Wazanzibari ni wapole sana lakini ni wamejaaliwa uelewa wa kisiasa. CCM imetumia njia nyingi...
  7. S

    Hivi bado Watanzania tunajidanganya mfumo wa siasa uliopo utadumisha amani na umoja wa kitaifa?

    Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
  8. N

    MAONI BINAFSI: CCM waitishe maandamano ya amani kupinga kuporwa ushindi wao

    Turejee uchaguzi wa serikali za mitaa. Mpaka jana, CCM walikuwa na ushindi mnono wa asilimia 90. Ushindi huu ulikuwa kwenye ngome za wapinzani, mfano Kilimanjaro, Dar es Salaam, Mara, Manyara, Kigoma, Mbeya na kwengineko. Ilichokuwa imebakisha CCM ni kwenye ngome zake ambako ushindi wa...
  9. S

    Wapinzani msikubali kurejea kwenye uchaguzi mpaka CCM wakubali mkae mezani

    Bila ya CCM kukubali kukaa nanyi mezani na kukubaliana kuunda taratibu mpya na namna bora ya kuendesha uchaguzi, wapinzani kamwe msikubali kurejea kwenye uchaguzi. Mkisha kaa mezani tarehe mpya ya uchaguzi itangazwe ili kutoa muda wa kutosha kwa vyama vya upinzani kurejesha kuweka mipango sawa...
  10. Ushahidi namna wakurugenzi na CCM wanavyoshirikiana kuiba kura kwenye chaguzi

    Habari wanabodi, Haya yanayotokea hayatokei kwa bahati mbaya. Ni mipango ya makusudi ikiongozwa na kuratibiwa na vyombo vya ulinzi. Mwaka Jana nilikuwa kwenye jimbo moja la uchaguzi. Pale kulikuwa na madiwani wawili toka upinzani.Kati yao mmoja anatoka CUF na mwingine CDM.Ulikuwa msimu wa...
  11. Kwanini wapinzani wa CCM wanasema CCM imejichimbia kaburi?

    Nimesoma maandiko mengi ya wadau wa vyama vya siasa na wafuasi wao bada ya CHADEMA NA ACT Wazalendo kujiondoa kwenye uchaguzi unaofanyika tr 24 ya mwezi huu. Hoja nyingi nilizosoma wengi wameandika CCM imejichimbia kaburi. Nimesoma Twitter ya Jussa pia nimeona amenukuu hivyo hivyo kuwa CCM...
  12. Jinsi Utawala wa Rais Magufuli unavyoua ushawishi wa vijana ndani CCM

    Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu...
  13. Ajali: Watu watatu wafariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari jijini Arusha

    Kuna ajali imetokea hapo jijini Arusha maeneo ya Mount Meru hotel karibu naofisi za Zola, taarifa isiyo rasmi watu zaidi ya 4 wanasadikiwa kugongwa na kupoteza maisha. Waliopata ajali inasemekana ni kina mama wafanya biashara pembeni mwa barabara ambapo gari aina ya saloon ndiyo iliyosababisha...
  14. Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    Wanabodi, Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika kitaifa mjini Bariadi Mkoani Simiyu na kufuatiwa na Wiki ya Azaki...
  15. Kwa nini Point Tatu za Mezani Zinawaumiza CCM?

    Kujito kwa vyama Pinzani katika Uchaguzi ujao wa Wenyeviti wa serikali za Mitaa na Wajumbe wake ni sawa na CCM kupewa point 3 za Mezani kwa Timu Pinzani kutokufika Uwanjani. Nilitegemea hili liifurahishe CCM kwa kujichukulia Ushindi wa Point 3 mapema tena bila jasho lakini hali anaonekana...
  16. Baada ya wapinzani kujitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Serikali yamwagiza Jafo kukutana na Wapinzani na kurudisha majina yote

    Kumekucha habari za ndani ya kapeti ni kwamba msimamo wa vyama vya upinzani kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, umewatia kiwewe viongozi wakuu wa ccm na wanachama wao wote wakihofia, kutokukubalika kwa uchaguzi huo kimataifa, idadi ndogo ya watakao jitokeza, Kukosa pesa za kampeni...
  17. Bila mbeleko ya dola hakuna CCM

    CCM imechoka sasa kuliko wakati wote toka kuumbwa kwa dunia hii. Simba akizeeka hukimbilia kwenye vyanzo vya maji kuvizia wanyama wadogo wadogo, kutokana na kukosa nguvu ya kupambana katika mawindo yake. CCM inavizia kwenye kurudisha fomu, kupora fomu na kupitisha wanaCCM bila kupingwa kuwa...
  18. Mbunge wa Makambako (CCM), Deo Sanga aomba Rais Magufuli atawale milele

    Deo Sanga ama Jah People (aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa CCM, Dr Magufuli awe Rais wa milele.
  19. Obama: Huwezi kusema una Demokrasia ukashinda kwa 90% + huku upinzani umeufungia, uhuru wa habari hakuna

    Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali, hakunataasisi imara za check and balance ukasema kuna demokrasia. Unafanya uchaguzi kujidanganya...
  20. Kumbe hakuna chama kinaitwa CCM, CHADEMA, CUF, ACT Wazalendo wala NCCR Mageuzi?

    Malisa GJ Juzi TAMISEMI walitoa taarifa kuwa moja ya sababu za wagombea wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwa 98% na kubakia 2% tu ni pamoja na kujaza kimakosa fomu za kugombea. Moja ya makosa ambayo TAMISEMI waliyaainisha ni wagombea kujaza vifupisho vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…