ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. H

    Tetesi: Ansbert Ngurumo: Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa CCM

    Kinana, Makamba wajivua uanachama CCM Ansbert Ngurumo8th February 20200 Comments MAKATIBU wakuu wastaafu wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa chama hicho. Habari zilizoifikia SAUTI KUBWA zinasema Kinana na Makamba walijiondoa rasmi...
  2. CCM wajipamga kumzuia Maalim seif kugombea Zanzibar

    CCM Ni hatari Sana Sasa kupeleka mswada Baraza la wawakilishi kumzuia Maalim seif kugombea URAIS Zanzibar. Hi ni hatari tunawaomba CCM asilia wajitokeze kukemea Tweet Zitto MwamiRuyagwa Kabwe @zittokabwe Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa @ACTwazalendo kugombea...
  3. Viongozi wa CCM na serikali waziwazodoe na kuwasema mabeberu. CCM ikishinda tena uchaguzi wa 2020 ifanye mambo yake kimyakimya.

    Zile kauli za kwamba "wameichezea sana hii nchi", au "wametunyonya sana" au ziwe ni historia. Mabeberu wote wana tabia kubwa moja, nongwa. Ukisema kitu kimoja hadharani wao wanakirekodi na kukiweka ili kije kuwa ni kumbukumbu juu yako wewe mwenyewe. Hivyo jitihada zote za serikali ya awamu...
  4. Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

    Wakati Membe akitamba kuwa alienda mbele ya kamati ya maadili ya CCM kuwafunda na kuwaelimisha kuhusu mambo mbalimbali, Kinana amegoma kufika mbele ya kamati hiyo. Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Kinana ameona ni kama kudharauliwa kwa kuitwa kuhojiwa mambo ambayo kimsingi ni malalamiko...
  5. Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

    Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali...
  6. GE2020 Kuelekea uchanguzi mkuu: ccm kushinda kwa asilimia99.9

    Wasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha wembe ule uliotumika ktk uchaguzi WA serikali za mitaa ndio utatumika ktk uchaguzi mkuu wa rais, wabunge...
  7. S

    CCM mnafikia hatua ya kuwafikisha Kinana, Makamba kamati ya Nidhamu? Hakika huko mnakoenda mwisho wake sio mzuri

    Nimeangalia sana mwenendo wa CCM ya leo na viongozi ambao wana historia nzito sana katika CCM na Tanzania kwa ujumla, na kufikia muafaka kwamba safari ya CCM kwenda huko wanakojua wenyewe mwisho wake sio mzuri. Tangu uongozi wa CCM ya sasa uingie madarakani umekorofishana na karibu viongozi...
  8. CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote wa halali mahali popote nchini Tanzania

    Wakuu Kwa sasa nimeamini kabisa kwamba Hakika ccm maji yamefika shingoni , hata kama ni Dodoma ambako inasemekana ni ngome yake , hiki chama hakiwezi kushinda uchaguzi wowote ule unaoshirikisha vyama vingi na unaowapa uhuru wananchi kuchagua baada ya kusikiliza kampeni za wagombea wote kwa haki...
  9. Bernard Membe ahojiwa na Kamati ndogo ya maadili CCM. Asema kafurahishwa kwakuwa amepata nafasi ya kutoa maoni na kujieleza yote waliyotaka kuyajua

    Nimeshawasili eneo la tukio. Matayarisho yasiyo na dalili ya dalili ya ahirisho yamefanyika na kukamilika. Hapa Dodoma, wahusika wameshafika. Wamejipanga na kupangika. Makada waandamizi wa chama wanapishana na makabrasha yasiyo na bashasha kuhusu suala la akina Membe, Makamba na Kinana hapa...
  10. J

    Lema: Wabunge wa CCM kumbukeni kuwa mambo yakiharibika tutazama wote bila kujali itikadi ya mtu

    Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi. Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi...
  11. Mwaka 2021 Tanzania tutaadhimisha miaka 60 ya ujinga, maradhi na umasikini chini ya CCM

    Mwaka ujao, 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya uhuru toka Waingereza walipoamua kutupatia Uhuru wetu wenyewe. Mwaka 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya umasikini, ujinga na maradhi, kwa miaka yote hizo Tanzania ikiongozwa na chama cha mapinduzi. Ni ukweli ulio wazi kua hata ccm...
  12. J

    Happy Birthday CCM, Tunawashukuru kwa mema yote mliyolitendea taifa ikiwemo kuukubali mfumo wa vyama vingi!

    Namtakia kila la kheri mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli Nawatakia kila la kheri makamu mwenyekiti mzee Mangula, Katibu mkuu Dr Bashiru na sekretarieti yote Namtakia kila la kheri kada mkongwe na asiyechoka Mzee Mgaya Nawatakia kila la kheri wanaccm wote Mwisho lakini siyo kwa umuhimu nawatakia...
  13. B

    Kuzaliwa kwa CCM February 5 na kifo cha ASP

    4 Feb 2020 Zanzibar ilivyopoteza kwa kuiuwa ASP Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali kwenye serikali ya Zanzibar, Juma Duni Haji, anasema ingawa CCM Zanzibar wanaadhimisha miaka 43 ya kuundwa chama hicho, lakini wanapaswa kukumbuka kuwa kuzaliwa kwa CCM hapo mwaka 1977...
  14. GE2020 Uoga: 2020 Mwaka wa uchaguzi umefika lakini CCM yaendelea kuzuia Mikutano ya hadhara, Msajili wa Vyama aufyata

    Ili kuhalalisha uvunjifu wa Katiba ya nchi, Mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli alinukuliwa akitoa marufuku ya shughuli za kisiasa kwa kisingizio dhaifu cha kuleta maendeleo na kwamba wenye hamu ya kufanya siasa wasubiri mwaka wa uchaguzi 2020, Polisi wakadaka amri hiyo haramu kama kifanyavyo...
  15. Kati ya CCM na Wapinzani Nani muuaji

    CCM, mnajua hatari mnayohubiri kwenye kuua binadamu? SIASA ya nchi yetu imechukua sura mpya sana katika awamu hii ya tano. Tumerejea hatua nyingi nyuma katika kuheshimu misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, utawala bora na Uhuru binafsi. Hatuna tofauti na tawala za KIBABE za nyakati za...
  16. CCM, mnajua hatari mnayohubiri kwenye KUUA binadamu?

    SIASA ya nchi yetu imechukua sura mpya sana katika awamu hii ya tano. Tumerejea hatua nyingi nyuma katika kuheshimu misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, utawala bora na Uhuru binafsi. Hatuna tofauti na tawala za KIBABE za nyakati za kitambo huko Marekani ya kusini. Tupo sehemu mbaya...
  17. J

    Dr Bashiru aonya kauli tata za makada wa CCM, ni zile za kuwatisha wapinzani!

    Katinu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally amewaonya makada wa CCM kuacha kutoa kauli tata kwenye hadhara na mitandaoni zinazoihusisha CCM na vitisho dhidi ya wapinzani. ===== Wakati wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wakikemea kauli za baadhi ya viongozi wa kisiasa zinazotishia maisha ya...
  18. K

    Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

    Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM) Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI...
  19. S

    Kabla CCM hawajaanuka kutoka madarakani, mtarajie mambo haya

    Kwa kifupi,CCM sasa hawana tofauti na mfa maji ambae ni lazima atapetape kabla ya kufa,hivyo na CCM kupitia baadhi ya wanasiasa wao ni lazima watapetape kwa kufanya haya kabla ya kuanguka kutoka madarakani: 1.Watatoa kauli za ajabu na za kushangaza sana(Bhulembo na Kheri James kaui zao ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…