ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe afurahishwa na uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM, awakaribisha ACT-Wazalendo wale waliokatwa

    Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye. Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee. Ameandika katika akaunti yake ya...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

    WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua. Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), uliopitisha majina ya wagombea hao, umefanyika leo Alhamisi, tarehe 20 Agosti 2020 chini ya...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mnachekesha, mliwatia woga wa bure wateule waliotaka kutia nia kuwania Ubunge. Vipi kuhusu hawa?

    Wakati wa mchakato wa kuwapata wagombea na hasa wa Ubunge, viongozi wa ngazi za juu kabisa za chama walijinadi kwamba wana CCM wote waliokua katika nafasi za kuteuliwa na Mkuu majina yao yatakatwa. Makatazo haya yalikua yakirudiwa mara kwa mara na hata kuwatia uoga baadhi ya wana CCM waliokua...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi watapitishwa na CCM Zanzibar pekee?

    Nimeona zoezi la kupitisha majina ya wagombea ujumbe wa baraza la wawakilishi kule Zanzibar limesogezwa mbele kwa sababu ratiba za NEC na ZEC ni tofauti. Swali: Je, hao wawakilishi watapitishwa na NEC ya Zanzibar pekee? Maendeleo hayana vyama!
  5. JamiiForums Tanzania Ombi: Serikali iwalipe mshahara watumishi waliotia nia Ubunge

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na M/KITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli; Kwa heshima kabisa, ninakuomba uwakumbuke kuwalipa mishahara watumishi wa Umma ambao walijitoa kwa moyo mmoja kukipigania Chama Chetu – CCM huko majimboni kwa kujitokeza...
  6. JamiiForums Tanzania Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Yaani GENTAMYCINE na Jopo langu la Watu wenye Roho Mbaya za Ukweli na wanaojua 'Ndumba' na 'Fitina' za kila namna 'tusiojulikana' ndani ya CCM tukuamulie Wewe 'Mpuuzi' Mmoja halafu upite kwa Kutushinda? Kama ni Kamati yangu hii hii iliweza Kufanya 'Kafara' Kubwa Segerea Siku Moja kabla ya Mechi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

    Dar es Salaam Jimbo la Kawe - Askofu Josephat Gwajima Jimbo la Temeke - Doris Kilave Tanga Jimbo la Muheza - Hamis Mwinjuma (Mwana FA) Mbeya Jimbo la Tunduma - David Silinde Manyara Jimbo la Babati Mjini - Pauline Gekul Kilimanjaro Jimbo la Vunjo - Charles Kimei Shinyanga Jimbo la...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kubwa sana kwa Wana CCM, usikubali

    Wapemba wanasema kaa chonjo saa mbaya. Ewe Mwana CCM upepo unaovuma ni kivumbi cha wananchi walio wengi tena wenye hasira ambao wameamua kupiga kura kwa kishindo kuondoa utawala na kusimika uongozi. Usikubali kutumika kuingilia au kutumwa kuvuruga mwendo kasi huo, watawala watakuja kukukana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lissu kama CCM itaendelea kutumia dini kisiasa basi wageuzie kibao uwakaange kwa mafuta yao wenyewe!

    Mwalimu Nyerere alionya sana tabia za kutumia dini na kabila kwenye kutafuta uongozi wa kisiasa. Mwalimu alisema, kwenye kipindi kama hiki cha uchaguzi kuna watu hukimbilia kwenye dini na makabila badala ya sera kwenye kusaka uongozi. Katika miaka mitano iliyopita kumekuwepo na ndoa haramu...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi. Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV Up dates; Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
  11. JamiiForums Tanzania CCM watangaza kuvunja amani, mwanachama ahubiri kuwacharaza "Mboko" wapinzani

    Kuna video clip inayosambaa ikimuonyesha mwanachama wa CCM akitangaza nia yake ya kuwapiga viboko viongozi wa upinzani huku akishangiliwa na wanachama wenzake. Kitendo hiki na matukio mengine kama ya kushambuliwa msafara wa Lissu inaonyesha dhamira ya CCM kwenye Uchaguzi huu. Swali...
  12. JamiiForums Tanzania Nawashauri CCM tukubali matokeo tusilazimishe. Tusiue Misingi ya Utaifa kwa tamaa zetu

    Ninawaambia CCM tujijenge kisaikolojia kua hii nchi ni ya vyama vingi, huu mfumo imeruhusiwa na upo kikatiba. Kwahiyo ni lazima tukubali kuna mahali ni lazima tugawane kura za Urais na wapinzani, ni lazima tugawane majimbo na wapinzani, ni lazima tugawane halmashauri na upinzani. Lazima ifike...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Ikiwa Dkt. Magufuli atafanikiwa kushinda, aachane na agenda za kuminya Upinzani

    Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania. Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani. Wapinzani waachwe na kuishi maisha yao na ku play...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

    Hebu tuwàsaidie hawa wenzetu kujibu swali hili japo naamini watumishi wote hawajaongezewa mishahara kwa miaka mitano mfululizo. Mimi sio mwajiriwa wa Government Ila hebu leo nivae viatu vyao. Imagine wewe ndio mwenyekiti wa chama cha siasa taifa unakuja kumuomba kura mwalimu ambae...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM na Serikali yake tulikosea. Kwa hili lazima Lissu atupige bao

    Kati ya makosa yaliyofanywa na Serikali yangu ya CCM ni kushindwa kutoa ajira kwa vijana na kuacha wazagae mitaani bila kazi. Ni kosa kubwa sana kwa sababu vijana hawa ni bomu tulojitegea wenyewe kutumaliza. Maelfu ya vijana wanaojitokeza kwa wingi kwenye hadhara za bw. Tundu Antipas Lissu ni...
  16. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Tarime Mjini: Ngicho ahamishia nguvu zake kwa Gerald Martin

    UBUNGE TARIME MJINI: NGICHO/WAITARA WAHAMISHIA NGUVU ZAO KWA GERALD MARTIN Kura za maoni Jimbo la Tarime Mjini zilifanyika tarehe 21 Julai 2020 na Jackson Kangoye akafanikiwa kuongoza kwa idadi ya kura. Inafahamika kwamba Jackson Kangoye na Mwita Waitara walitengeneza muungano ili kusaidiana...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa Kazi tu ni CCM, Kazi na Bata ni ACT-Wazalendo na Kazi na Uhuru ni CHADEMA

    Tupate Maoni, tujitambue, tujuane 1. Hapa Kazi Tu (CCM) 2. Kazi na Bata (ACT) 3. Kazi na Uhuru (CHADEMA) Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini. Wewe Ukowapi katika hizo?
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ni ukomavu wa kisiasa m-CCM kuwatia shime upinzani

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Inavutia Colin Powell a staunch republican 'kum' endorse Joe Biden a staunch Democrat kwenye uchaguzi ujao: Colin Powell: 'Biden will be a president we will all be proud to salute' Jamani eeh upinzani si ugomvi. Hata huko CCM kutoa...
  19. JamiiForums Tanzania CHAMWINO: Taarifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kuhusu kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu

    Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
  20. JamiiForums Tanzania Maendeleo huja kwa kodi au deni atalolipa mtanzania. Je ni sawa CCM kujinadi inaleta mendeleo?

    Hakina maendeleo yanayofanyika bila juhudi ya mwananchi. Wananchi tunachangia katika bajeti ya nchi ili kuletaaendeleo ila cha ajabu vyama vya siasa vimekuwa vikijinadi na kuvuka mipaka utafkiri hela zimetoka mifukoni mwao. Mfanyabiashara atafanya biashara yake kwa kigezo alipe kodi ya leseni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…