ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla

    Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla akiomba kura kwa wananchi.
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM sasa basi imetosha, ondokeni hatutaki longolongo

    Msitafute kuondolewa kwa nguvu mnatakiwa muwaelewe wananchi ya kwamba wanataka mageuzi ya kuongozwa,hawataki tena kutawaliwa na CCM wanataka kuongozwa na Vyama vingine. Msiwalazimishe wananchi kuwapigia kura kwa nguvu ,kubalini kistaarabu ,wananchi wataona yupi mkweli na anaefaa chaguzi ni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheria ya Gharama za Uchaguzi inasemaje? Nimepata mashaka baada ya CCM kufika Kigoma

    Hili swali halikuwahi kunifika mpaka mgombea urais wa CCM kufika Kigoma. Mambo yalikuwa hivi: *Magari kama Coaster na mabasi yalikodiwa kuchukua wananchi kutoka vijiji mbalimbali. Nina rafiki yangu ambaye gari zake zote zilikodiwa kwa kazi hiyo! * Wananchi wote waliopakiwa kwenye magari hayo...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama. "Wanaohama CCM...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: CCM yaanza kutumia maudhui ya kanisa kuomba kura, wadau wasema ni kejeli kwa Mungu

    Hii hapa jionee mwenyewe
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wajitokeza kuiaga CCM

    Sio siri tena ,wananchi wengi hujitokeza kuiga CCM kwa sherehe ,sherehe ambazo zinatokea kwa kufanywa matamasha ya muziki,asie na mwana abebe jiwe kumuona Raisi wa mwisho wa CCM, muungano wa vyama viwili vilivyotupatia uhuru. Wengi wakisema mwaka huu kila kitu ni historia hivyo kushiriki kwake...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaanikwa Zanzibar -Wakuu wa Jeshi, polisi na vyombo vingine vya usalama kuweni nayo makini Itawazamisha

    Kwa sasa sio siri hakuna mpango wowote wa CCM kwa upande wa Zanzibar usio julikana kuhusiana na mipango ya kuchezea daftari la wapiga kura. Mitandanoni kumejaa ushahidi uliowazi na wa kuaminika kabisa kuwa waajiriwa wa vyombo husika hapo juu wanapangwa kutumiwa ili kuiletea ushindi CCM,mambo...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyakazi Serikalini Zanzibar Walazimishwa Kuichagua CCM

    Salaam, Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini! Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao wa kazini kwamba ni lazima wamchague Magu pamoja na Mwinyi kwenye uchaguzi huu. Kwa mujibu wa...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anajaribu kuifutia CCM dhambi zake

    Tanzania ilipata Uhuru kutoka kwa mkoloni miaka karibu miaka 60 iliyopita. Miaka 60 Ni mingi sana, inatosha kwa wananchi wote kupatiwa maji, umeme, viwanda, hospitali, shule, mabwawa ya umeme na umwagiliaji, reli, barabara kutokana na wingi wa rasilimali zilizoko nchini. Kwa miaka 60 CCM...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA inahitaji political strategists kuishinda CCM

    CHADEMA inahitaji wataalamu wa stratejia ya siasa (Political Strategists) kuweza kuitoa CCM madarakani kwa urahisi. Vyama vikongwe na vyenye dola kama CCM vinahitaji kufanyiwa mkakati maalumu ambao hauhitaji nguvu. Kama ningepewa fursa ya kutoa ushauri wa kimkakati wa kuitoa CCM ningeshauri...
  12. Binti255

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya kamili ya Viti Maalum Ubunge na Udiwani kutolewa baada ya ushiriki wa kampeni - Katibu Mkuu CCM Dkt. Bashiru

    ORODHA KAMILI YA VITI MAALUM UBUNGE NA UDIWANI KUTOLEWA BAADA YA USHIRIKI WA KAMPENI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum, ambapo ameeleza kuwa, kwa upande wa Udiwani aliyeshinda kura za maoni ndio...
  13. mama D

    JamiiForums Tanzania Maneno wasiyopenda kuyasikia CCM

    Huu ndio ukweli wa watanzania kama wawakilishi walivyowakilisha
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

    “Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya Mnadani Igunga,Tabora.
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Msemaji wa CCM aisifia CHADEMA mbele ya mama Samia Suluhu

    Haya sasa, msemaji mwingine kaunguza mboga huku!
  16. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Kigoma leo Septemba 18, 2020. Updates zote zitawekwa hapa: Video: Ngoma ya kinamama wa kabila la Wabembe wa kata ya Kitongani Kigoma mjini wakitumbuiza katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo katika kunogesha mkutano wa kampeni wa JPM leo...
  17. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Sisi CCM ndo wenye Serikali, kama imekuuma jinyonge kwa udenda, Magari yetu na Wanachama ni wetu

    Salaam, Nashangaa watu wanalalamika eti CCM inabeba watu kwenye Malori. Kwahiyo mtu kumsaidia kufika sehemu husika tatizo liko wapi? Sisi tunajali wanachama wetu na hatutaki wapate tabu. Hivyo tutawabeba kwa kila aina ya usafiri tuitakayo. Iwe lori, Guta, Basi au Baskeli muhimu wafike eneo la...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM atukana viongozi wa dini nchini, asema washike adabu zao!

    Katika hali inayoonekana kulewa madaraka na utovu wa nidhamu nchini, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Kheri James ametoa maneno yasiyo na staha kwa viongozi wetu wa kiroho nchini kwa kuwaambia kuwa washike adabu zao. Hii inafuatia baada ya viongozi hao akiwemo Sheikh Ponda, Baba Askofu Niwemugizi...
  19. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

    Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua. Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya? Je, kama nikweli, kwanini tozo...
  20. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuseme ukweli maendeleo yaliyoletwa na CCM siyo ya kubeza. Tukumbushane kisha tuwapigie kura ya ndiyo CCM

    Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi nchi imebadilika hususani kwenye maeneo yafuatayo: 1. Uwepo wa Mtandao wa barabara DSM - Mwanza-...
Back
Top Bottom