ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania CCM ijiandae kisaikolojia, mwaka huu lolote linaweza kutokea

    Najua CCM imejiandaa kushinda kwa mbinu yeyote ile, Jecha style, NEC style, wizi n.k. ila wajue Wapinzani wao nao wamejiandaa kutoshindwa kirahisi kwa mbinu zozote zile, iwe hacking, kuingia barabarani, kuwatumia mabeberu n.k. Kitu cha msingi CCM wajue kuwa wapiga kura ni binadamu siyo...
  2. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wito kwa makada wenzangu wa CCM: Wagombea wetu tuwaombe, tuwashawishi na tuwalazimishe washiriki kwenye Midahalo kuona na kupima walivyo 'deep'

    Natoa wito wenye mvuto. Kwa makada wenzangu wa CCM na wakereketwa wa chama na wananchi wote kwa ujumla wanaokiunga mkono Chama cha Mapinduzi. Wito wa kuwaomba, kuwashawishi na 'kuwalazimisha' Wagombea wetu hasa wa Urais na Ubunge waitake na kushiriki kwenye Midahalo ili kupima uwezo wao. Uwezo...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania 'Nikomoeni' ya CCM yaanza kuwatia adabu waliogombea ubunge

    Wooote waliogombea ubunge uwe na sifuri au miaka kadhaa; kwanza hakuna mshahara wa Julai na Agosti bila kujali umerudi kazini tayari, bila kujali ulikuwa masomoni, ulikuwa likizo yako, nk. Najua walimu wako madarasani wakionesha uzalendo wao wa miaka yote kuisaidia CCM. Sasa lazima waandike...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania CCM bora ya muda wote kwangu ni ile iliyoongoza mapambano Kusini mwa Afrika na ile iliyomchapa Nduli, hizi CCM nyingine sijawahi kuzielewa

    Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu. 1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini. 2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda. CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
  5. Noel france

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana ndiyo msingi wa CCM kupoteza uchaguzi huu

    Habari wanajukwaa! Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu ni wenye ushindani mkubwa sana, kwa pande zote. Kwa upande wa chama tawala, turufu yao kuu ni ununuaji wa ndege, ujenzi wa miundombinu mbalimbali, pia kuleta mabadiliko ya kiuongozi ndani ya taasisi za serikali. Kwa mfano: Katika baadhi ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: TBC ikabidhiwe kwa CCM

    Amani na iwe kwenu. Salaam Natoa pendekezo kuwa "Shirika la Utangazaji la Taifa" TBC likabidhiwe kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ndo awe mmiliki wake kwa 100%. Madhumuni ya pendekezo hili ni kuliwezesha liweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi bila kuwa na mgongano wa kimaslahi. Hatua hii pia...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Victor Njau mtia nia ubunge Arusha Mjini (CCM) aokotwa akiwa hana fahamu na majeraha mwilini, alazwa hospitali ya Mt. Meru

    Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu. Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni. Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna dalili CCM itawakata wengi walioongoza na hawataweza kwenda upinzani

    Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani. Kuna nijadala inaendelea kuwa hao watakaokosa na huku wameongoza upinzani wameshajiwekea mazingira mazuri ya kuhamia upinzani na...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

    Hatimaye siri imefichuka baada Katibu itikadi na uenezi CCM, kuwatisha wabunge washindi wa kura za maoni, sasa wabunge hao waibuka na janjajanja wasikatwe. Mbinu inayotumiwa na mafisadi wa CCM walionunua wajumbe, ni kuwatuma wafuasi wao katika misafara ya Tundu Lissu anayesaka wadhamini...
  10. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Makada wa CCM wapewe elimu kuelisha wananchi manufaa ya ununuzi wa ndege

    Kuna baadhi ya makada wapewe mafunnzo namna ya kunadi mazuri ya yaliyofanywa na awamu hii ya 5
  11. Bome-e

    JamiiForums Tanzania Kipanya na rushwa mchakato kupata wagombea CCM

    Ukimya wa CCM kwenye kuteua wagombea una jambo nyuma yake,sio bure! Kwa nyepesi nyepesi zilizoko mtaani ni kuwa majimbo karibu yote rushwa imehusika! Je, itakuwa funika kombe?
  12. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zijue sababu kuchelewa vikao Kamati Kuu ya CCM kupitisha Wagombea wa Ubunge

    Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hapa Dodoma au hata Dar es Salaam. Ajenda kuu ya kikao hicho ni kupitisha majina...
  13. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania CCM na Tume ya Uchaguzi ni kama Majeshi ya Farao, hawawezi kuona hatari mpaka watakapozama ndani ya maji

    CCM, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na pengine Uongozi wa Rais Magufuli ni kama Majeshi ya Pharao, yaliyokuwa yakiwafukuza wana wa Israel pasipo kuona hatari iliyokuwa mbele yao kwamba bahari imeachama na wangeweza kuangamia kwenye maji kwa kuendelea kuwafanyia vurugu wana wa Israel. Kwa kawaida...
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hata kama upinzani hautapewa jimbo na wakurugenzi wasimamizi wa uchaguzi, bado lipo jukumu la CCM kujitafakari

    Kinafanywa na Wananchi kwa sasa hasa vijana ni ishara mbaya kwa Chama cha Mapinduzi. Labda CCM haijafanya tafiti kujua wananchi wanataka nini au wanajua ila hawataki kutimiza. Kwa nguvu aliyotumia Rais na timu yake awamu ya tano na namna wale aliodhani wanamfurahisha wanavyofanya mitahani ni...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo kampeni za CCM zitakavyokua

  17. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani fanyeni kampeni za kisayansi Oktoba, 2020, tambueni CCM ni Constant namba

    Mada inahusika. Wapinzani wanalazimika kufanya kampeni za kisayansi sana. Tayari CCM ina mtaji wa NEC, ZEC, Polisi, Wasiri wetu na makada kadhaa. Mfumo wa nchi unawapendelea zaidi wao na ule uharibifu uliofanywa wa kutumiwa makada kuajiriwa kwenye sehemu nyeti. Makada hao si watiifu wa sheria...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tayari CCM imeshabwaga manyanga, vingunge watafute kazi nyingine

    Ndio dalili zote zinavyoonyesha, hata kamati za ufundi zimeshawaambia viongozi waandamizi wa CCM watafute la kufanya. Baadhi ya habari ni kuwa kuna kundi kubwa sana sana ndani ya CCM ambao ni wanachama wa kawaida hawa wanaonekana kuwa mstari wa mbele ndani ya CCM tena wanashangilia kwa nguvu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hofu imezidi upande wa CCM

    Baada ya Tundu Lissu kuwasili nchini na kuanza kuwaelimisha wananchi kuhusu uongo na maigizo ya awamu ya tano, pamekuwa na sintofahamu nyingi upande wa chama dola CCM. Pamekuwa na matamko toka kwa viongozi mbalimbali mfano nimesoma kuhusu mgombea ubunge wa CCM jimbo la Ruangwa ndugu Kassim...
Back
Top Bottom