ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ampiga Mume wake kisa Kuichagua CCM

    AMPIGA MUMEWE KISA KUICHAGUA CCM Na, Robert Heriel Unaweza kufikiri ni utani, au mzaha au ni uongo, pengine wengine Mkafikiri ni Propaganda. Lakini ni ukweli kabisa. Mimi mwenyewe niliyeshuhudia sikuamini. Hivi mnaanzaje kupigana kisa vyama vya siasa, tena mnadundana haswa, mnachapana...
  2. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi iliyokusanya maoni ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi mkuu kwa asilimia 85, inachekesha na kusikitisha

    MAANA YA UTAFITI Utafiti ni njia ya kupata utatuzi wa suala fulani katika jamii na mazingira ya binadamu kwa njia ya uchunguzi unaotumia nadharia za kitaaluma na kisayansi. Aidha utafiti ni njia maalum inayofuatwa ili kufikia ujuzi au taarifa muhimu inayokusudia kuchangia katika usomi wa kina...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: John Heche akishangiliwa na wananchi wa kata ya Nyanshicha kijiji cha Nyantira kwenye kampeni, CCM kwaherini

    Mbinu pekee ya CCM kushinda Uchaguzi huu ni miujiza tu, hali yao si tu ni mbaya bali ni dhooofuli hali. Jionee mwenyewe.
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kyela: CCM yazindua kampeni zake kwa nuksi, hospitali ya wilaya yaungua wakiwa mkutanoni, wazee waitabiria anguko kubwa sana

    Kwa mujibu wa ratiba ya CCM Wilaya ya Kyela , Leo tarehe 11/9/2020 ndio siku iliyopangwa kuzindua kampeni za uchaguzi, ambapo Mgombea ubunge wake aitwaye Kinanasi ambaye inasemekana miezi 6 iliyopita alikuwa hajui kusoma wala kuandika angetambulishwa rasmi akiwa pamoja na wagombea udiwani wa...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA hakuna

    Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja. Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani. Huoni zile...
  6. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM kwenye kudumisha Muungano

    Na Bwanku M Bwanku CCM kwa miaka 56 toka kuasisiwa kwa Muungano wetu adhimu wa Tanganyika na Zanzibar imeendelea kuthamini na kudumisha Muungano wetu huu wa mfano kote duniani, wa kihistoria na wa kipekee sana kwa kuzidi kuulinda, kuuenzi na kushughulika na changamoto zake zote ili uendelee...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole ni wa kupuuzwa, eti CHADEMA haina hospitali, kwani Muhimbili ni ya CCM?

    Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo. "Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa Wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima...
  8. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijue vipaumbele kwenye Ilani ya CHADEMA vinavyoitesa CCM

  9. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM sio kila hoja ni ya kupinga, namna nyingine ya kupinga hoja ni kuiboresha zaidi

    Alichokifanya Polepole leo, ni kitendo cha aibu na kudhalilisha watanzania wenye maono ya kuona nchi yao inavuka kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine. Dunia isingeweza kufanya mapinduzi makubwa ya maendeleo kama kila jambo lingekuwa linapingwa tu, eti kwasababu limetolewa na mtu usiyempenda...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nakuomba Tundu Lissu wewe binafsi uingilie kati sakata la viongozi wa Bavicha wanaosoteshwa Magereza na DPP anayeitumikia CCM

    Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo. Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu...
  11. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Kwanini wagombea wa CCM hulindwa na Usalama wa taifa wakati wa kampeni

    Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Raia waliokwenda kumsikiliza mgombea Urais kwa ticket ya CCM wakiondoka uwanjani baada ya mkutano

    Hawa ndiyo wamehubiriwa ujenzi wa flyover, barabara, reli ya standard gauge na bwawa la Stiglers George.
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

    Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi. UPDATES: Zanzibar 2020 - Maalim...
  14. Trubarg

    JamiiForums Tanzania CCM akili zenu za kuchafua Miundombinu mtaziacha lini

    Ni aibu kwa chama kikongwe Kama CCM kufanya haya wanayoyafanya.
  15. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu kwa CCM

    Ni saa 10 na nusu alfajiri na nimewaza sana usiku Huu, Kwa hiyo ninatamani kuwauliza wanachama wa CCM maswali machache! Kuna wamachama wengi sana wa CCM wenye akili, busara, Ufahamu na uwezo lakini ninaona kama wameacha uwezo wao wa kufikiri mahali! Maswali: - Mmekuwa na dola (serikali kwa...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakurugenzi waliowaondoa Wagombea wa Upinzani kwa maelekezo ya CCM wafutwe kazi, wana ajenda yao wakiachwa wataleta machafuko

    Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa. Hawaaminiki tena na wala hata wao...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sugu aendelea kuiteketeza CCM Mbeya Mjini, aanzisha operesheni Kata kwa Kata, hebu angalia mtiti wake

    Hii hapa ni kata ya Igawilo jioni hii Kumbuka hilo ni jeshi dogo tu la Mbeya mjini akiwemo kamanda John Mwambigija
  18. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli atakosa kura za wana CCM toka familia hizi

    Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli. 1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti. 2. Watumishi wa umma wana CCM ambao walitakiwa kupandishwa madaraja Julai 2020 hawajapandishwa mpaka sasa. 3. Watumishi wana CCM waliofuzwa...
  19. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25 kwenye kupambana na umaskini na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku. Baada ya mafanikio makubwa ya awamu ya kwanza ya miaka mitano ya Serikali ya CCM katika kupambana na umaskini na kuwawezesha wananchi ikiwemo kusaidia vikundi vya wajasiriamali kimafunzo, kisera na kimikopo, wafanyabiashara wadogo na kuwawezesha vijana pamoja na mpango wa...
  20. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Chama cha Mapinduzi ni kinga? | Bendera ya CCM ni mbadala wa "Plate Number"?

    Hii inamaanisha nini? Wanaofanya hivi wanajua Askari wa Usalama barabarani lazima "atamezea" kosa lolote watakalolifanya barabarani kwasababu ni gari la chama Je, wahalifu hawawezi kutumia mwanya huu wakajinufaisha? Kwanini CCM waache chama chao kitumike namna hii? FYI: Ukiachana na gari...
Back
Top Bottom