ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2020 Ni CCM kila kona, Wagombea Vyama vingine wako wapi?

    Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k? Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja...
  2. GE2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama wake amesisitiza kuwa dhamira na uamuzi wake wa kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. GE2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

    Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu. Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote. === Aliingia...
  4. Kwanini Mwenyekiti Taifa wa CCM anaogopa Watu Kuchafuana na Kupeana maneno ya Shombo Kipindi hiki cha kuelekea Kuanza kwa Kampeni za CCM?

    Nimeona amerudia zaidi ya mara mbili au tatu hivi Kuwaomba wale Watia nia hasa wa Nafasi za Udiwani na Ubunge pamoja na kwamba amewaruhusu kuanzia Leo hii waanze Kujipitisha huku na kule na pia kujua taratibu zingine wasiwe tu Wanachafuana na Kuumbuana kwa Matendo yao mabaya. Kwanini Mwenyekiti...
  5. GE2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

    Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana. DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil. 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea...
  6. J

    Shibuda: Wapinzani tushirikiane na CCM kwani Ukuni na Ukuni ndio huivisha chungu

    Mwenyekiti wa chama cha Tadea mh John Magale Shibuda amewataka Wanasiasa kushirikiana ili kudumisha maendeleo yaliyopatikana. Shibuda amewataka Wapinzani kushirikiana tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kwani Ukuni na Ukuni ndio huivisha chungu. Shibuda amesema hayo wakati wa mkutano wa...
  7. T

    GE2020 Kuna kila dalili mwaka huu CCM inatoka madarakani

    Wananchi wetu ni wanafiki sana. WanaCCM ni wanafiki zaidi. Yaani ukiangalia tu watu wanavyoshangilia kwenye Mikutano ya CCM - watu wamechoka yaani wanalazimisha hivi. Clip zilizotoka na hata leo kwenye lile tukio la Mgombea wao kurudisha fomu chamani hakukuwa kabisa na nyuso zenye furaha...
  8. Mbona CCM wanaanza kampeni mapema, tena wanapigiwa na wakuu wa mikoa na wilaya? Huu ubaguzi unajenga chuki na chanzo cha kulipiza kisasi

    Huu ubaguzi unaofanywa na tume ya uchaguzi na wahusika wake wanaojiita serikali ya CCM mwisho wake sio mzuri. Kiukweli, hata mnaposikia magaidi hawakuamka na wakawa magaidi bali ni kuminywa na kunyimwa haki katika nchi zao mwisho wa siku ndio bora tukose wote. Hii naona hali inajengeka kwa kasi...
  9. GE2020 Jimbo la Singida Magaribi CCM tunaweza kulipoteza kwenda CHADEMA 2020

    Naomba nilizungumze hili kwa moyo wa dhati kabisa na kwa mapenzi makubwa kabisa ya chama changu. Bado tunaamini kwamba chama chetu hakijapata mbadala wake na bado hakuna dalili hizo kwa maneno ya mzee wangu makamu mkuu wa chuo cha UDSM Prof Mukandara. CCM chama changu pendwa, kuna malalamiko...
  10. J

    GE2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

    Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
  11. Kipanya anataka nini JM au CCM ?

  12. J

    GE2020 CHADEMA teteeni nafasi yenu ya KUB na ACT Wazalendo watoe Makamu wa Rais Zanzibar. Nafasi ya Rais CCM haipingiki

    Nitoe tu angalizo kama ambavyo maalim Seif wa ACT Wazalendo ameona ni heri akainyemelea tena nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. CHADEMA pambaneni muitetee nafasi mliyonayo Bungeni ya KUB kwa sababu bado hamjawa na uwezo wa kutoa Rais wa JMT. Kwa sasa Rais Magufuli hapingiki kwa...
  13. I

    GE2020 Hatima ya CCM Babati Mjini

    Katibu mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally anatakiwa kuwa makini katika harakati za kumteua mwakilishi wa CCM katika uchaguzi wa Oktoba mwaka 2020. Anatakiwa kuhakikisha na kumleta Mgombea ambaye atawafaa Wananchi wa babati na siyo mtu anayempenda yeye au anayependwa na chama au wajube wa...
  14. CCM na Watanzania Kuweni Macho; Jamaa Anajiandaa Kuwatoka

    Huu ni uchambuzi mdogo. Msingi wa uchambuzi huu ni matukio yenye shaka katika utawala na siasa za Tanzania kuanzia 2016. Kuna muda, ndani ya kipindi hicho, wakongwe ndani ya CCM, wakiwemo Pius Msekwa na Benjamin William Mkapa, wamewahi kuonya. Kwamba haifai kwa mtu mmoja ndani ya CCM...
  15. GE2020 Wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio watakuwa wasimamizi wa uchaguzi 2020

    Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu? How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika? Tusikilize majibu #ChangeTanzania
  16. GE2020 Hivi inakuwaje kuanza kwa kampeni kwa CCM kuwa ruksa na kwa wapinzani kuwe haramu?

    Jeshi la Polisi nchini linatekeleza majukumu yake kwa "double standards" Lile linaloonekana haramu, likitendwa na CCM linaonekana halali kwao na likitendwa na vyama vya upinzani linaonekana haramu na linachukuliwa hatua Mara moja! Mfano halisi ni hivi majuzi tu wakati kiongozi wa chama cha ACT...
  17. J

    Mbunge aliyehukumiwa kwa uhujumu uchumi na kulipa faini ashangiliwa na wanaccm kwa kutekeldza vizuri Ilani ya CCM!

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM. Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…