Naweza sema CCM ya leo inaangamia kutokana na watu wake ama kukosa maarifa,au kutokana na wao kukataa tamaa na sasa wanaamua waende tu hivyo hivyo ili mradi tu bado wana dola mkononi.
Kwa maneno mengine,kipimo cha namna gani mambo yao yanaenda vizuru sio tena ni namna gani wanakubalika kwa...