ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa. Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane. Chanzo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

    Familia moja inayoishi eneo la Kimara imepoteza watu 5 yaani mama na watoto wake wanne waliokufa kwa kukanyagwa uwanja wa uhuru wakati wa kumuaga hayati Magufuli Kamanda Mambosasa wa kanda maalumu ya Dar es salaam amesema atatoa taarifa kamili ya yaliyojiri kama kuna vifo na majeruhi siku ya...
  3. JamiiForums Tanzania Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  4. JamiiForums Tanzania Demokrasia inavyohujumiwa CCM. Mwenyekiti hana mshindani

    Kiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii si sawa kabisa na wala hakuna demokrasia hapo. Kwanini kusifanyike uchaguzi ili wanachama wenye...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa?

    Wakuu, Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho. Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo. Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

    Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja. Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya ametengwa au amejitenga na siasa za CCM na s=Serikali

    Waziri mkuu mstaafu Cleopa Msuya imekua nadra sana kumsikia wala kumwona katika shughuli mbali mbali za cha chama na serekali. Tangu nafuatilia siasa enzo za Rais Kikwetu sio mtu wa kuongea wa kushiriki jambo lolote la kitaifa Tofauti na wenzake akina J.S.Warioba, J.S Malecela, E.N Lowassa na...
  8. JamiiForums Tanzania CCM ya Matumaini

    Ninafarijika, CCM imerudi kwenye Mikono salama, Angalizo Pamoja na CCM kukiuka baadhi ya Misingi 2015-2020 ila rushwa ya hadharani haikuwepo, Nisingependa Kusikia 1. Wizi wa keki ya Taifa 2. Ubaguzi wa wengine 3. Tukubali Kukosolewa 4. Wapinzani ni ndugu zetu 5. Isimamie Serikali kuleta umoja...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuitisha mkutano mkuu wa taifa wa dharura haraka iwezekanavyo kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa taifa iliyo wazi.

    Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki. Hivyo basi mkutano mkuu utaitishwa wakati wowote kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama
  10. JamiiForums Tanzania Mzee John Malecela: Mafisadi wote watakaojaribu kuivuruga CCM watashughulikiwa. Miradi yote aliyoacha Dkt. Magufuli ikamilishwe

    Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma. Mzee John Malecela ambae aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na balozi nchini Uingereza amemtakia kheri Raisi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Katiba ya JMT inaruhusu mfumo wa vyama vingi basi ni wakati muafaka kwa CCM kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani. Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
  14. JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

    Leo chama cha mapinduzi kimetoa taarifa rasmi ya kifo cha Dkt. John Magufuli ambae amekuwa mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Taarifa hiyo imesomwa na Humphrey Polepole. ======== Polepole: Chama cha mapinduzi, safu yake ya uongozi na wanachama tumepokea kwa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Polepole atoa taarifa rasmi ya CCM kuhusu kifo cha Rais Magufuli. Kamati Kuu ya Chama kufanya kikao maalum Jumamosi, Machi 20, 2021

    Mkutano na waandishi wa habari utaanza saa 8 mchana kutokea ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba ========== UPDATES: Humphrey Polepole: Chama cha Mapinduzi kinatoa aarifa rasmi ya kifo cha ndugu yetu na mpendwa wetu, John Pombe Joseph Magufuli, ambaye amekuwa Mwenyekiti wetu wa Chama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

    Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia. Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia. Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa Namuona Mzee...
  17. JamiiForums Tanzania Ni nani kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi baada ya kifo cha Dkt. John Magufuli?

    Rejea kichwa cha habari. Je, ni nani atachukua mikoba ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi aka chama tawala?
  18. JamiiForums Tanzania Je, CCM ni chama kisichopenda Watanzania wawe na maisha bora? Tangu kitawale nchi hakuna mtawala aliyewaacha vizuri wananchi

    Tangu tupate Uhuru CCM imekuwa initawala hii nchi. Hakuna mtawala ambae kama Rais wa nchi alishawaacha watanzania na maisha bora. Awamu ya Kwanza ya Mwl. iliacha watanzania wakiwa na hali mbaya sana ya kimaisha. Watu walivaaa masempele. Mahala pa kulala palikuwa hovyo kabisa. Awamu ya pili...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kulialia, hizi ndizo siasa chafu mlizochagua

    Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu. Lissu alipopigwa risasi serikali ilizuia watu kumfanyia maombi waliojaribu walikamatwa, wabunge wa CCM...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Maendeleo ya taifa letu yameletwa na Dkt. Magufuli kama " individual" siyo chama, CCM ilikuwepo miaka yote!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana. Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…