ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Napata shaka, kuna kikundi ndani ya CCM kinaratibu kumkwamisha Rais Samia 2025

    Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama cha watu waoga wanaotegemea nguvu ya dola kubaki madarakani

    Huu ndio ukweli kuhusu CCM ya leo ambayo imepoteza uhalali wa kisiasa na sasa inategemea nguvu za dola kubaki madarakani. Uchaguzi wanavuruga na kuupora na sasa hata mikutano ya ndani ya vyama vya siasa wanaiogopa yakiwemo makongamano ya kudai katiba mpya. Kwa mfano, CHADEMA wamekuja na hoja...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini kinaitwa Chama cha Mapinduzi? Ni mapinduzi gani kimeyafanya?

    Hili swali najua wengi tumekuwa tukijiuliza bila kupata majibu sahihi. Chama Cha Mapinduzi kiliundwa tarehe 05 February 1977 kutokana na kuunganishwa kwa vyama vikuu vya Tanu kwa Tanganyika na ASP kwa Zanzibar. Mpaka hapo hatujaona mapinduzi yoyote kufanyika. Kama kuna anayeweza kuelewesha...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

    Eid El Adha! Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya. Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kuna Siku CCM watalia na kusaga meno

    Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao. Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa. Sijawahi kusema neno na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira, ugumu wa maisha na Katiba Mpya ndio vitakavyoiondoa CCM madarakani

    CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani. Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
  7. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Kama mikosanyiko ni haramu, mbona viongozi wa CCM hawakamatwi?

    Wasalaam. Nawakumbusha jeshi la policcm kuwa kama mikutano ya vyama vya siasa ni haramu ni vema sasa na ccm wasikusanyike. Inashangaza jeshi la police kufanya kazi bila weledi kwa kukamata ovyo watanzania wenzenu na kuwabambika kesi, haya ni mambo ya kijinga ipo cku mtaleta machafuko nchi hii.
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isitumie nguvu kubwa kuwabana wapinzani wanaodai katiba mpya, tukipata katiba mpya wanufaika wakubwa ni wafuasi wa CCM wenye hali duni

    Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi. Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni. Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naichukia sana CCM, naombeni msaada wa kisaikolojia

    Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ikileta vurugu, CCM itakuwa ndiyo chanzo kwa kukataza mjadala

    Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya. Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na kwa vipi watu kujadili Katiba mpya kulete vurugu? Na Katiba mpya na uchumi vinaingilianaje? Kwani...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania CCM kwenye marufuku ya mifuko ya plastiki (rambo) ndipo mlipofanikiwa

    Sijaona mafanikio yoyote ya maana kwa miaka kumi iliyopita zaidi ya kupiga vita matumizi ya mifuko ya Rambo hapo ndipo nilipowakubali na kuona kweli mmefanya kitu akili zilitumika ila kwingine kote naona hakuna ustawi. Sijui labda pengine kwa kuwa Mimi sio mzungukaji sana kwahivyo sijatembelea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wapewa somo zito, CCM haiko tayari kutenda haki katika chaguzi

    ACT walidhani kuwa maadam wamo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, basi labda CCM wangeanza kuwatreat fairly. Lakini wakasahau kuwa CCM kimeshakuwa chama cha dhulma, kama kiliwadhulumu mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu n. k kitaendekea kuwadhulumu mpaka itokee nguvu ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Konde Pemba

    Ndugu Shekha Mpemba Fakhi kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba. Ikumbukwe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka kupitia taarifa kwa umma aliyoitoa hapo jana...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaiharibu CCM nchi nzima, wachambuzi wa siasa waifananisha na Operesheni Sangara ya 2012

    Taarifa ya sasa duniani na hasa baada ya ccm kurudia makosa yale yale ya miaka yote , ya kukubali kushindwa hoja na kuamua kulitumia Jeshi la polisi kudhibiti Chadema badala ya viongozi wake wa chama akiwemo Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa uenezi na itikadi , zinadokeza kwamba hii Operesheni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tunataifisha mpaka viti na meza za CCM - 2025 ushindi lazima uende kwa Upinzani

    wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mapolisi msiikumbatie CCM, fuateni sheria na weledi mliofundishwa -Wananchi watawaelewa hata mkifukuzwa kazi

    Polisi muache kujipitisha kwa kuikumbatia CCM hata mnafika kuvunja sheria ,mkae mkijua kikinuka Miccm haitawasaidia kitu na watakaa mbali sana na nyinyi,mnamuona Sabaya? Mnawaona wale mapolisi ambao miezi michache walitesa watu kule Zanzibar na kuwagaragaza ,waliokuwa wakilindwa (CCM) wote...
  17. S

    JamiiForums Tanzania CCM ni jino lililoanza kulegalega

    CCM inazidi kuanguka na sasa wananchi walio wengi zaidi ya uchaguzi uliopita, wameshaliona hilo kuwa CCM haina maslahi na wananchi zaidi ya wale walio kwenye viti na meza ambao hutembea na ladu na kashata kuwalisha wananchi. Ahadi kedekede zenye matumaini yasiotabirika, sasa walio wengi...
  18. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Je, tozo za miamala ya simu ni matokeo ya wabunge wa CCM waliopelekwa Bungeni kinguvu?

    Tuna wabunge dhaifu na wengi wasiojielewa hawa wa CCM waliopita bila kupingwa na kulindwa na Mamlaka. Bungeni hawana uwezo wa kujenga hoja na wala hawana uelewa wa mambo ya Uchumi na Maendeleo. Tuna wabunge wapiga meza na makofi Bungeni, Hawaelewi ipi ni "a" ndogo na ipi ni "A" kubwa. Wabunge...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kukuza mtandao na kuwa waaminifu kutatuepusha na madhila ya tozo mpya ya CCM

    Ndugu zangu tupo vitani kwa Sasa, Vita hii ni Kati ya watawala wanaolishwa na Kodi zetu dhidi ya watawaliwa. Familia chache zinazotawala nchi hii zimetuletea Kodi kubwa pamoja na tozo huku wakijinadi kwamba TUTAZOEA TU. Hatuna budi kushikamana na kupeana mbinu zakushinda Vita hii, nawaletea...
  20. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Ni CCM tena CHADEMA yapigwa bao mchana kweupe

    Tukiwa wadogo tulionywa na wazazi pamoja na jamii kuwa katika jambo lolote ni lazima ujipange ili ufanikiwe na waswahili wakaongeza kwa kusema "Asiyekubali kushindwa si mshindani." CHADEMA wamekuwa wakisahau methali hii ya wahenga na kuwa wahanga katika mengi kwa sababu Chama Cha Demokrasia na...
Back
Top Bottom