ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

    Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia. Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia. Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa Namuona Mzee...
  2. JamiiForums Tanzania Ni nani kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi baada ya kifo cha Dkt. John Magufuli?

    Rejea kichwa cha habari. Je, ni nani atachukua mikoba ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi aka chama tawala?
  3. JamiiForums Tanzania Je, CCM ni chama kisichopenda Watanzania wawe na maisha bora? Tangu kitawale nchi hakuna mtawala aliyewaacha vizuri wananchi

    Tangu tupate Uhuru CCM imekuwa initawala hii nchi. Hakuna mtawala ambae kama Rais wa nchi alishawaacha watanzania na maisha bora. Awamu ya Kwanza ya Mwl. iliacha watanzania wakiwa na hali mbaya sana ya kimaisha. Watu walivaaa masempele. Mahala pa kulala palikuwa hovyo kabisa. Awamu ya pili...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kulialia, hizi ndizo siasa chafu mlizochagua

    Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu. Lissu alipopigwa risasi serikali ilizuia watu kumfanyia maombi waliojaribu walikamatwa, wabunge wa CCM...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Maendeleo ya taifa letu yameletwa na Dkt. Magufuli kama " individual" siyo chama, CCM ilikuwepo miaka yote!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana. Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

    DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa: Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye. Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama...
  7. J

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu. Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji...
  8. JamiiForums Tanzania Katika vitu ninavyopata shida kuviamini ni utetezi wa mwanaume anapochelewa kurudi na utetezi wa viongozi wa CCM

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwini Mollel amesema kwamba Corona kwa Tanzania imedhibitiwa, Serikali imetumia Bill. 28 kwaajili ya kununua vifaa vya Maabara kwaajili ya kupambana dhidi ya Corona. "Ugonjwa huu wa Corona kwa kawaida hauonekani kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Wananchi tunataka haki ya kumuondoa mbunge asiyefaa kabla hajamaliza muda. Kwanini wana-CCM wasiopenda haki mnaipinga?

    Ni utaratibu mzuri tu ambao unatakiwa kuwekwa kwenye katiba ya JMT ili wananchi tusiporidhika na ahadi tulizopewa na mbunge tuliomchagua tuwe tuna uwezo kuweka azimio na likishapita huyo mbunge anatolewa kwenye nafasi hiyo na uchaguzi unaitishwa. Wabunge wengi wanaunga mkono sera na hoja ambazo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM kuna wakati wanachekesha sana, Hamis Taletale atoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi

    Kuna wakati huwa najiuliza kama hawa wabunge waliopita bila kupingwa wana tija yoyote kwa Chama na jamii kwa ujumla. Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale ametoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule moja ya msingi jimboni kwake. Babu Tale amesema msaada...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu mpya wa CCM: Mwendo wa kupandishwa vyeo, wapya wataharibu 'formula'

    Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara. Uteuzi wake ambao utafanyika wakati wowote kuanzia juma...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025, Hii ndio safu Mpya tunaypoitaka CCM baada ya Dkt. Bashiru kuondoka

    Kwa siasa za sasa ni dhahiri tunahitaji Katibu Mkuu anayekijua Chama from the scratch. Aliyekulia ndani ya Chama na aliyepikwa ndani ya Chama. Tumeona madhara ya kuchukua watu juu kwa juu. Ndio maana sasa tunatumia jukwaa hili kushauri namna mpya ya kusuka Chama Cha Mapinduzi. Kwa kuteuwa watu...
  13. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

    M. M. Mwanakijiji. Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM. By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms stand for ‘Mimi Mzee’. Imagine you wake up on Monday morning and you hear news come over the wire...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

    Leo nitawaongelea vijana watano (5) Wenye Umri chini ya Miaka 40 ambao naamini wanafaa kwa nafas hii kubwa kabisa nchini. Nimeona nijadili vijana kwa sababu utawala wa JPM umejielekeza zaidi katika kujenga Taifa imara kiuchumi na vijana ndio nguvu kazi ya Taifa. Inawezekana wasipate lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

    Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ? Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
  16. JamiiForums Tanzania Kwa CCM mnaoratibu mipango ya Maandamano Rais aongezewe muda, kumbukeni na haya.

    Wanaccm mnaoratibu mipango ya kufanya maandamano ili Rais aongozewe muda wa kusalia madarakani kumbukeni na haya, muwe makini msije mkachafua hali ya hewa tukatafutana. 1.Mnakumbuka kwamba kumekua na matamanio ya baadhi ya wanasiasa, viongozi wa dini na wanaharakati kadhaa kutaka kuitisha...
  17. JamiiForums Tanzania Waliowashawishi kuhamia CCM wanaondoka bila ahadi ya vyeo kutimia. Nani alaumiwe?

    Humphrey Polepole ambaye ndiye aliyekuwa ofisa mazungumzo (manunuzi) siku yoyote ataachia kiti cha uenezi kwa vile kishaingia bungeni. Huku mlipaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Mh Bashiru Ally akiteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi wa Ikulu, na bila shaka ataondoka kwenye Ukatibu Mkuu wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je, Paul Makonda anatosha kurithi kiti cha Dkt. Bashiru CCM?

    Najua Wapinzani hawatafurahia swali hili lakini chini ya jua lolote linawezekana. Nawaona komredi Polepole na ndugu Makonda wakipiga jalamba kurithi mikoba ya Dr Bashiru aliyehamia Ikulu kama Katibu mkuu kiongozi. Kwa mbali namuona Dkt. Mwigullu Nchemba naye anatroti. Ufipa kaeni chonjo...
  19. JamiiForums Tanzania Watumishi wasiopenda ilani ya CCM waondoke

    Musoma. Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato amewataka watumishi wa umma wasiopenda ilani ya Chama cha Mapinduzi kuacha kazi mara moja kwakuwa kufanyakazi ya umma huku wakichukia ilani hiyo ni kupoteza muda. Byabato ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Februari 26, 2021 wakati akizungumza na...
  20. JamiiForums Tanzania Meatu: Komred Mpogolo awaongoza waombolezaji mazishi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu, Ndg. Enock Ng'wigulu Yakobo

    Meatu-Simiyu KOMRED MPOGOLO AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU. Naibu Katibu Katibu mkuu wa CCM Bara, Komred Rodrick Mpogolo amewaongoza maelfu ya Wananchi na na Wanachama wa CCM katika mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…