ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI John Heche amesema CCM ya Rais Samia ndiyo yenye unafuu zaidi

  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM tokeni hadharani Mlaani kauli ya Kapteni Tesha

    Chama changu CCM kimenisikitiisha sana. Kwanini wameshindwa kutoka hadharani kulaani kauli za uchochezi za kuvunja amani ya Nchi za Kapteni Tesha? Yaani hata Murilo Kaufyata!? Ni huzuni Huyu afande anasema yoyote ajitokeze alite fyefyefye au fyofyofyo.. Anasema wapo kwaajili ya kulinda Nchi
  3. Sales man

    JamiiForums Tanzania Nadhani huu ndo uchaguzi Mgumu sana kwa ccm kuwahi kutokea.

    Naona Ccm Kama watatoboa safari hii kurudi ikulu, basi sioni Kama ccm itatoka madarakani kirahisi tena.
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge (CCM) Kigoma Kusini, Nuru Kashakari aahidi kujenga kituo cha Afya kwa fedha zake mwenyewe ndani ya miezi 6 akipewa ridhaa

    Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Kusini, Nuru Kashakari (Kandahari), ameahidi kujenga kituo cha afya ndani ya miezi sita baada ya kuapishwa, akitumia fedha zake binafsi, ili kusogeza huduma za afya karibu na wananchi ambao kwa sasa wanalazimika kusafiri zaidi ya saa...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ajichanganya! Atoa salamu ya "people's power” badala ya “CCM hoyeeee”

    Kada wa CCM Iringa ambaye hapo nyuma alikuwa ni kiongozi wa juu wa chadema ngazi ya mkoa na kanda ajikuta akiishiwa pawa na kuipiga salamu ya “Peopleeeees power” badala ya ile ya “CCM hoyeeee”
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati Kuu CCM kukutana usiku huu. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta

    Baada ya TAMKO la Capt. C. J. Tesha kuwa amemuandikia CDF Jeshi lichukue nchi kabla mambo kuharibika. Tumeona pia Kaimu msemaji wa JWTZ akiongea kwa CODEX kuhusu tamko hilo. Zipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo Serikali ya nchi fulani sasa inataka kuamua ni nchi gani iantaka kuishi nayo ya kuendelea. Naona wanaomba China na Urusi

    CODE DMZ: Kuna chama sasa kinaona kinaelekea kuwa msituni kuangalia upepo wao kuishi madarakani mpaka mayai yao na hiki chama? Kinachoelekea ni hatari sana.Siwezi kuwa muwazi kuna meri zitakuja na zengine zipo wakizani wanalindwa.
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHAUMMA, ACT na CCM mtandao na polisi muda wowote kuitisha press , kujaribu kumponda captain Tesha !!

    Tunaendelea kuwaonya ,Wote wanaotumika kuwakamdamiza Wananchi. Nyinyi mnaojifanya Wasaniii, kuita vyombo vya habari, kujaribu kuwasonga songa watu wanaosimamia Kweli. Jishikilieni Jishikilieni !!.
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: CCM inalenga kuboresha maisha ya watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
  11. Swahili_Patriot

    JamiiForums Tanzania Dalili za awali wa anguko la CCM

    Sasa sio siri tena, watanzania tumechoshwa na uonguzi uliokebehi uonevu, ufisadi na an oppressive one. Mungu isaidie tanzania. Mungu tuongoze. Revolution is a process, itachukua muda ila ikianza hakutokuwa na solution hadi tutapofikia matakwa yetu ya uongozi thabiti. Kwa haya yanayoendelea...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa CCM kuhusu utekaji, uuaji na machafu katika taifa letu

    1. Utekaji na Uuaji Kwa nini viongozi wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari wanapotezwa au kutekwa, halafu serikali yenu inakaa kimya bila majibu ya wazi? Mnaogopa nini hadi kufikia hatua ya kuua na kuteka watu wanaohoji mfumo wenu? 2. Utawala wa Sheria Kama kweli mnajivunia...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Olengurumwa: Katiba mpya inakwamishwa na CCM mtandao wanaonufaika na mfumo

    Wakuu Je, Olengurumwa aliyasema maneno haya au amemezeshwa? kwamba Katiba mpya inakwamishea na CCM mtandao wanaonufaika na mfumo.
  14. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hali inazidi kuwa mbaya kwa yule mama yule mgombea wa kiti cha Urais chama kile cha hadaa

    Kuelekea tarehe 29.10.2025 itakuwa ni birthday ya mwamba yule anaye sadikika kuwa alufanyiwa figisu Morogoro na wana mtandao kisha kukatisha uhai wake. Jamii baada ya kutonywa na yule kijana mjanja wa shule ya uongozi wananchi wameapa kutoshiriki haramu tarehe tajwa ,siku hiyo wengi itakuwa ni...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yalaani waliochana mabango ya mgombea urais Samia

    Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mabango ya mgombea wao wa urais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambayo yamebandikwa maeneo mbalimbali ya Mji wa Musoma na kudai kitendo hicho hakikubaliki. Hayo yamejiri ikiwa...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Awamu hii Vijana Wanahasira sana wamefika huku, CCM ijitafakari mara mbili

    GT Jionee mwenyewe mbogamboga wanalazimisha tu mambo hali ni mbaya sana.
  17. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Battle Kali: KUTIKI vs MAANDAMANO. Hakuna CCM vs CHADEMA tena, ni CCM vs Maandamano

    Nature acha iitwe nature. Kama ulishawahi sikia dunia hii ina kitu kinaitwa "Natural Laws of the Universe" ndiyo hiki sasa. Kwa ground battle ni kali sana la Oktoba Tunatiki vs Oktoba Maandamano linaendelea nchi nzima. Siku zote Universal Phenomena ikikosa balance, basi nature inajiamulia...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Gen Z Tukiamua CCM na police wao ni Wepesi sana. Huwezi kupambana na umma kwa risasi ukashinda hata siku moja

    GT. Wazungu wanasema "You can't defeat the mass" umma ukiamua we mtawala dharimu lazima ukubali kuchutuma maana umevuliwa nguo na hutakiwi kuwa na hasira. Sasa Police wetu huwa wanajisibu kwamba eti kama kuna mtu anataka.kufa ajitokeza kufanya vurugu.ah ha 😄 😆 huwa nawaangalia nawashangaa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havikuanzishwa vije kupambana na CCM

    Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kashakari: Nitahakikisha Kigoma kusini mnapata daraja Mto Malagarasi na Barabara ya lami

    Ahadi tulizozoea kusikiliza tukidanganywa kama hatuna fikra na kubaki kuwa ndoto kwa wananchi kutoka kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kwenye Kampeni Kigoma Kusini ----------- Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakari maarufu Kandahari, amesema...
Back
Top Bottom