ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania JWTZ na kiapo cha kuilinda katiba wanatumika kutetea maslahi ya CCM lakini vipengele hivi wao hawavioni

    1. Haki ya Uhai – Ibara ya 14 Ikiwa kuna mauaji, matumizi kupita kiasi ya nguvu, au vifo visivyoeleweka vinavyotokana na vyombo vya dola—hili linagusa moja kwa moja Ibara hii. 2. Haki ya Usalama wa Binafsi – Ibara ya 15 Inakataza: Kutesa Kuteka Kufungwa kiholela Utekaji au kushikiliwa bila...
  2. Mhaini

    JamiiForums Tanzania CCM walijua Geoffrey Mwambe atalamba Miguu, Mnamtesa bure. Hawezi

    Vyombo vyetu vya habari vimekaa kimya. Japo Mimi sio CCM ila Mwambe ni Hazina ya taifa. Ni mwanasiasa anayejali watu wa vyama vyote. Mtanzania halisi asiye na unafiki Kwa mara ya kwanza nilionana naye akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Nilienda na Wanahabari, but...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama CCM ilipata kura milioni 32; Je, hao wasanii wanataka sapoti ipi tena? Hao watu mil 32 si wanaweza kujaza show

    Ikiwa Chama CHETU kilipata kura Mil 32 Maana yake hawa ni watu wazima karibia nusu ya watz wote Ikiwa Kazi ya mziki n.k ni ushawishi na uliwashawishi watu mil 32 je hawatoshi kusapoti muziki wako Naitafakari hoja ya Majizo.!
  4. digba sowey

    JamiiForums Tanzania CHADEMA malalamiko ya kisiasa hayana tija na yametosha kwa sasa, hebu njooni na mikakati. CCM wameshalegea!!!

    Habari wakuu!! Niende kwenye hoja yangu Kila kukicha CHADEMA wanakuja na mambo yale Yale waliyoyatamka juzi ,Jana nk huku wakiwaacha wananchi hewani bila kujua ni kipi kifanyike, CHADEMA wanapaswa kutambua wao ni chama cha siasa na sio vizuri kuja na matamko kama ya TEC ambayo mara nyingi Huwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dunia inaenda kwa kasi Sana: Akifa mbunge wa CCM, GEN Z wanashangilia lakini Akifa GEN- Z anazikwa kishujaa na Kwa maandamano

    Nini kimetokea siku hizi. Akifa Mbunge wa CCM Hawa Gen Z wanashangilia Sana lakini Akifa GEN- Z mwenzao wanasikitika na wanaenda kumzika kishujaa kwa maandamano. Fundisho: Wabunge wa CCM mjitafakari hali ni mbaya Sana, GEN-Z hawataki hata kuwaona mkivaa hizo T-Shirt zenu za Chama
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM imeparaganyika, hofu imetanda ndani yao

    Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika. Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapiga kura Mil. 31 wa CCM wasiwasapoti wasanii waliowaburudisha kipindi cha kampeni?

    Wasanii walishiriki kampeni upande ambao ulipata kura mil. 31, ushindi mkubwa kabisa huu!. Sasa hawa watu ambao ni nusu ya watanzania kwanini wasiwasapoti? Kama waliweza kwenda kupiga kura hatika tension ile wanashindwa kuingia youtube kuwasapoti? Hakika uongo una lifespan ndogo sana, Huyu...
  8. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila mara

    Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa Nimefuatilia historia ya CCM ya zaidi ya miaka thelathini iliyopita Niligundua jambo moja kubwa sana Tangu mfumo wa...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Jana na CCM ya Leo katika picha!!

    Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja. Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni viongozi wakuu na waandamizi Kwa vyama vyao. Kutoka kushoto mstari wa Mbele ni Stephen Wassira, William...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bila kufanyika mapinduzi tusijidanganye kwamba CCM watatukabizi nchi.

    CCM Jina Chama Cha Mapinduzi. Kama ujaelewa Maana ya Mapinduzi basi kutoka madarakani ni ngumu.
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa, bila serikali CCM imekufa!

    Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo. Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM anaweza kuweka kifua mbele kuwa ameshinda. Hapa inaelekea ni serikali ilikuwa inajipigia debe...
  12. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uteuzi wa Wagombea CCM umeacha vinyongo, ipo siku wanaoumia watachoka kufunika kombe

    Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepita, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilikamilisha kazi yake kwa kutangaza washindi wa Ubunge, Udiwani na Urais. Upande wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya, Chama cha CCM Mkoa kimeshinda kwa kura katika maeneo mengi lakini bado kumekuwa na mijadala kuhusu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza ya Maandamano CCM tumeshashindwa vibaya mno. Hivi hatuna watu wa strategies Lumumba? Hawa Gen Z mnawapaje ushindi kirahisi?

    Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation, wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%

    Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%. Je hii ina maana gani kama nchi 1. Mzunguko wa Pesa umepungua na utapungua kwasababu uwekezaji umepungua, watalii wamepungua na uwekezaji utapungua. Kwa mfanya biashara sasa atapata riba ya juu sana kama anakopa bank za nje kuja...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM watakaa na watu wa kundi gani kufanya maridhiano na kuandika hata katiba mpya ya mchongo?

    Nauliiza hivi kwasababu naamini: 1. CHADEMA watakataa kushiriki 2. ACT nao hawatakubali kushiriki 3. CUF hawatakubali kushiriki 4.TEC hawatakubali kupeleka mwakilishi/wawakilishi 5. Kanisa la Uzima na ufunuo hawatakubali kupeleka mwakikishi/wawakilishi 6. Shura ya Maimamu hawatakubali kupeleka...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii dhana ya CCM kuwa watu wanatumwa inatokana na nini?

    Kwani Watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka wawe wanafanya mambo kwa kutumwa ana kuchochewa na wengine? Wao CCM huwa wanafanya mambo yao kwa kutumwa ama kuchochewa na nani?
  17. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Nawashauri CCM wabadili jina la chama chao

    Hili neno MAPINDUZI linawapa sana joto chama cha mapinduzi. Kwao kuliitumia ni sawa. Wengine kulitumia ni kiashiria cha uhaini. Mnaonaje mbadili jina la chama chenu ili neno hilo liweze kuharamishwa? So far kwa kuwa mnalitumia, wacheni na wengine wajinasibishe nalo. Bahati nzuri hawajalitamka...
  18. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kaburi la CCM limeandikwa: DOB 05/02/1977, DOD 29/10/2025

    Kaburi la CCM linasema tarehe ya kuzaliwa ni 05/02/1977 na tarehe ya kifo ni 29/10/2025. Leo 08/12/2025 ilikuwa 40 ya kuadhimisha kifo cha CCM. CCM imeishia kule kule vyama vingine vya aina yake kama Ba'ath Party vilipokwenda, kwenye jalala la historia.
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CCM watu wabaya sana. Pamoja na Zitto Kabwe kuwa kibaraka wao wamemnyima ubunge.

    Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu! Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo! This CCM hapana
  20. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hebu tuongee ukweli nani anayoiharibu Tanganyika, Ni CCM au Wapinzani?

    Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume ya uchaguzi ya mchongo. Kama uchaguzi ungekuwa huru na haki kuna mtu yeyote angeingia barabarani...
Back
Top Bottom