ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA inaimarika huku CCM ikiporomoka kwa kasi 2024/2025 hapatatosha

    umofia kwenu Misimamo na utahibiti katika kujenga hoja ni eneo ambalo limeifanya CHADEMA kuinuka kwa kasi kubwa baada ya kujeruhiwa vibaya na dola kipindi cha jiwe. Mbeleko na kupoteza mwelekeo kwa makada na viongozi wa CCM kumepelekea jahazi kuzama kungali mapema Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kama CCM itaendlea kubaki Madarakani kuna hatari Tanzania kuongozwa na familia zilizoshindwa kuleta mabadiliko

    Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani. CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia zaidi. Kila amayestaafu anahakikisha kapanda mbegu ndani ya chama ili mirija ya ulaji isipotee...
  3. JamiiForums Tanzania Kadi za CCM zimeanza kurudishwa. Je, ni kwa sababu ya mambo yanayoendelea awamu hii ya sita?

    Je, wapinzani wajiandae kisaikoloji? Je, CCM imeanza kugawanyika kuanzia viongozi wake hadi wanachama wake?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Habari ya Maridhiano kati ya CHADEMA na CCM ilishakufa baada ya CCM kukataa mapendekezo yote ya Katiba Mpya

    Akizungumza kupitia mjadala kwenye mtandao wa kijamii, Tundu Lissu amesema CCM wamekataa maridhiano, kwasababu CHADEMA ilipeleka mapendekezo mazuri juu ya kila kitu kinachohitajika kufanyika ili kupatikana kwa katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025, mapendekezo ambayo yalikataliwa yote kwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya rudisha kadi za CCM fukuza DC inaratibiwa ndani au nje ya chama?

    Huduma zimekwama kwenye halmashauri, wenyeviti wa vijiji viongozi wa kata hadi wilaya wapo ofisini hakuna anayekwenda kutatua kero za wananchi. Viongozi wengi wa vijiji awakuchaguliwa na wananchi bali walipitishwa kinyemela 2019. Leo hii badala yakuhudumia wananch wanajihudumia. Hali hiyo pia...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Moshi: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM adaiwa kuwatapeli Vijana waliotaka connection za ajira Serikalini

    Hii ni video ya mmoja wa waathirika akisimulia mkasa huo. Kama ni kweli TAKUKURU fanyeni kazi yenu kwa watoaji na wapokeaji https://youtu.be/0FShyxkzsLY?si=ZnTW2Uee3bRbNQks
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi hizi kweli wana-CCM wanazitekeleza?

    Hizi ni ahadi 10 za wana-CCM, ipi wanayoitekeleza kwa vitendo zaidi? Au ni kinyume chake? 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa tamaa kubwa ya Vyeo CCM Kwako, nakushauri uwe Unawaficha wale Uwapendao na unaotaka kuwa nao kuanzia 2025

    Labda nikuambie tu Rais Samia kuna Uteuzi Mmoja wa Kimkakati umeufanya Jana ila sasa Umeshamsababishia matatizo Mhusika kwani kama hajarogwa awe Mweusi kuliko alivyo sasa ili Usiwe unamuona au Kumkumbuka kama yuko basi wanaweza Kumaliza Shughuli kabisa na hiyo 2025 asiione au akiiona atakuwa si...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria. Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo. Kanda ya Ziwa...
  11. JamiiForums Tanzania CCM mmekosa watu wenye sifa za kuwateua kuwa Mawaziri hadi mrudie walioshindwa?

    Bila kupepesa macho Makamba amefeli kila idara, huku kwenye nishati nchi nzima leo haina umeme. Yeye ndiye aliyesema kwamba kwenye mradi wa bwawa la Nyerere uzalishaji ukianza umeme usishuke bei. Huyu Kamshange, badala ya kuwekwa benchi anahamishwa wizara? Nini nafasi ya vijana wetu wasomi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi la wana CCM lajipanga rasmi kuhamia Upinzani

    Disclaimer: Hizi ni Tetesi Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa. Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM. Wana CCM...
  13. JamiiForums Tanzania Kinana Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Wilaya ya Hai

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdulrhamn Omar Kinana anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Hai ambao Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe atawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM kuanzia Oktoba 2020 - 2023. Mkutano wa CCM Wilaya ya...
  14. JamiiForums Tanzania CCM ni Sawa na Mwanamke Aliyewalisha Limbwata Watanzania

    Kama.huamini katika limbwata na mambo hayo basi tafuta sentesi sahihi.amabayo unaweza kuitumia juu ya haya tunayotendewa na CCM. Ukiritimba wa CCM kwa Watanzania umevuka mipaka na si wa kuvumilia......... Imagime hadi wanavunja sheria za nchi lakini wapi... tupo tumetoa macho tunalumbana...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema upinzani utapata tabu sana kushindana na kuishinda CCM kwa nusu karne ijayo tunamaanisha haya

    Kufuatia mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano wa CCM na ambayo yanaendelea kufanywa na Mwenyekiti wa Sasa wa CCM, sioni kabisa wa kuweza kuishinda CCM iwe ni chama na mgombea binafsi kama utaratibu huo ukiruhusiwa na kuanza kutumika kwa nusu Karne ijayo kuanzia 2025 mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania Kukabidhi kadi za CCM kunaondoa changamoto? Wananchi tubadilike Serikali inawapenda

    Jf members! SALAAM! Ifahamike kwamba tunaishi ktk dunia inayokabiriwa na changamoto mbalimbali za kimaisha - kwamba changamoto hizi hutokana na kasi na mabadiliko ya ukuaji wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. Sasa wananchi tujiulize JE unapokutana na changamoto kadhaa suluhu la kudumu kwetu...
  17. JamiiForums Tanzania Kikwazo cha Katiba Mpya yenye mfumo wa vyama vingi ni CCM

    Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977. Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi ndani yake. Kwa ufupi tuna vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja - CCM. Kamwe CCM hakiwezi kuleta...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaohudhuria mikutano ya +255 ya CHADEMA nusu ni CCM, wanawachora tu

    Mzee Kishimba yupo zake kwenye mkutano wa Lissu, kasimama na wana anakula zake Muhindi. Safi sana Mzee anamiliki Dar Free market, zile supermarket za Imalaseko, utitiri wa nyumba za kupangisha, magorofa kibao, mbunge wa muda tu, lakini yupo simple, anaishi na watu wake.
  19. JamiiForums Tanzania Picha: James Lembeli, kada wa CCM anayeungana na CHADEMA kupinga ufisadi wa CCM

  20. K

    JamiiForums Tanzania Ganzi ya CCM kwa sasa haisaidii taifa

    Chama tawala cha CCM ni kama wamepigwa ganzi. Kwa mazoea mabaya ya miaka michache iliyopita wamepigwa ganzi kwenye haya 1. Hawawezi tena kuja na hoja za muhimu wakati wenzao wapinzani wanatoa hoja za muhimu sana bila kujibiwa. 2. Tabia ya kusingizia fujo za upinzani ili watumie Polisi haziugwi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…