ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM Ina mizizi mikubwa ukiamua kuhama hakuna athari zozote zitakazo tokea ni kujidanganya tu walikuwepo wakubwa walihama na wakarudi wenyewe tena CCM

    Ukiwa CCM ujue kuwa wewe ni Kama chembe ya aladani (kapunje kadogo sana) huna madhara yyte kwa chama hata ukiamua kuhama Leo hii. Ukiwa CCM upo kwenye chama ambacho falsafa zake zipo na zinajiongoza hata bila uwepo wako wewe. Ujue Kuwa walikuwepo wanachama wa CCM maarufu walihama na CCM...
  2. JamiiForums Tanzania CCM mnataka maridhiano ya nini? Kuna kipi kibaya mlifanya?

    CCM watuambie makosa waliyofanya.. Sioni sababu ya wao kupiga magoti kuomba maridhiano bila kusema walipokosea.. CCM watuambie nini walifanya, sio kushinikiza maridhiano. Unataka kuridhiana na nani? 29.10.2025 tutaikumbuka Daima..
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Leo CCM wanalilia Maridhiano nini kimetokea.

    Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani. Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano. Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima...
  4. JamiiForums Tanzania Tukisema polisi na Tiss nyie ndio mnasimamia CCM sasa mnaweza kubisha .Maana kesi zenu mlalamikaji ni nani ?.

    Kwa sasa ukiwa mpinzani unaweza shangaa umefunguliwa kesi kuwa wewe ni bra bra bra. Sasa aliyefungua kesi hiyo ni nani?. Ina maana sasa chama cha CCM kimejivisha kazi yenu kiujumla.
  5. JamiiForums Tanzania Ni wazi, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100% ndio kero na changamoto

    Mabeberu hawataki kabisa kuskia au kuona taifa letu linajitegemee au kufadhili mambo yake ya ndani kama vile uchaguzi kwa 100% Hii inawakera sana, sio tu vibaraka pekeyao, bali pia hata mabwenyenye ya magharibi yenyewe yanayowafadhili vibaraka hao humu nchini. Nawasihi sana viongozi wangu na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa sasa wanaona rahaa na kufurahi mambo ya utekaji. Ila kuna siku mtoweza kulizuia na litakuwa mpaka kwenu

    Muharibufu wa nchi duniani wa kwanza ni serikali kisha wengine tunafata. Kwa mwendelezo huu ambao unaendelea kwa matendo na vyombo vya ulinzi vikakanusha. Hivi mnajua matokeo yake au mnataka kuonesha kipi. Utekaji na watu kupotezwa asilimia kubwa ni vyombo vya ulinzi na asilimia ndogo ni kama...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania bara, ni lini mtaamka na kutambua kwamba mgogoro wa CCM dhidi ya CHADEMA ni wa kutengenezwa kuwagawa Watanzania bara?

    Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua. Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa CCM dhidi ya Chadema na suala la Katiba, ni mambo yalipangwa na yanaratibiwa ili kuwagawa Watanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Mch Peter Msigwa: Wengi wa viongozi wa CCM na Serikali yao wanaonekana kucheka mbele ya kamera, lakini ndani wamejaa hofu, wasiwasi na upweke mkubwa

    ================== Kadiri miaka inavyokwenda, nimejifunza jambo moja muhimu sana: Maisha ya bandia ni maisha ya gharama kubwa sana. Gharama yake si fedha tu, bali pia ni gharama ya kiroho, kihisia, kisiasa na hata kimahusiano. Ukweli ni rahisi kuishi nao. Uongo, kwa upande mwingine, unahitaji...
  9. T

    JamiiForums Tanzania CCM siyo tena chama cha siasa bali ni ni kikundi cha wahuni. Huo ndiyo ukweli

    CCM imepoteza mvuto kabisa na sasa kimekuwa sio tena chama cha siasa. Ni kikundi cha watu wahuni. Ndio maana unaona wanavamia na kuiba mali za CHADEMA. Wanateka, wanaua na hata sasa eti wanajaribu kuwaonga mabeberu!! Hayo mambo sio siasa kabisa. HAYO MAMBO NI UHUNI Na hata watu ambao bado...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kwamba serikali ya CCM imejiingiza rasmi kwenye cryptocurrency kuogopa miamala yao mpaka kufikia kujisema wanaolipwa ni wapinzani.

    Mchezo uliopo sasa kila CCM na UVCCM wanahisi wanacho tumwa kuwa kinafanywa na upinzani. ila watambue CCM imefikia sasa mtashangaa pesa zimepotelea wapi na zimeama nchi gani. Singapore,dubai na russia ndio watu wazuri wa miamala ya cryptocurrency. Na ili litawasaidia CCM kupeleka pesa zao ili...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kagoda,Deep green, Escrow,Richmond,ubinafsishaji wa bandari,mikataba mibovu kwenye madini,utekaji na mauaji,CCM haiwezi kukubali katiba mpya kamwe

    CCM kukubali katiba mpya ambayo italeta tume huru ya uchaguzi ni kujisogeza kaburini hii ni kutokana na hali halisi ilivyo na mwamko wa wananchi hasa vijana Katiba mpya itaifanya CCM isikae madarakani zaidi ya miaka kumi na tano toka mwaka itakapoanza kutumika. CCM ikipoteza hatamu hapo kila...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna jambo linatisha na kutisha:Kampuni ya META inakuwaje kurespond kutoka CCM ndio META wapate ruhusa.

    Kuna majaribio ambayo naona wengi watakufa na kweli mtakufa .Hii serikali inawezekana kuna pesa zina kwenda META. Leo data analysis inaonyesha META kabla ya kufanya kuijadili CCM inapita CCM ku verify na kama ukiripoti fanyeni majaribio mnapata kizingiti cha CCM ni kama CCM ni mamraka ya TCRA...
  13. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Nuhu anajenga safina kundi la wengi lilimuona kichaa na kusababisha wengine kuumia. Ndio waliomo CCM na chawa wake

    Sitaki kuingia kwenye dini sio sehemu yangu. Hapa na zungumzia wale wakina Nuhu wakutaka kuwajengea safina. Wanaopigania nchi na vizazi vyenu kwa mislahi yenu mnawaona sio wazarendo,vibaraka,waihini na wengine kupotezwa kabisa. Kwa nyie CCM na chawa siku galika likifika mtawakumbuka wakina...
  14. JamiiForums Tanzania CCM hawana hofu tena, wameshinda vita!!

    Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania. Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo kimya, wahofie nini tena? Hakuna ufisadi ambao CCM hawajafanya, lakini wanaona watanzania wamejawa...
  15. JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho

    Hamjambo! Moja ya athari za kupotea kwa Humphrey Polepole ni kuwadogodesha hata wale waliowahi kufikiri ni wakubwa ndani ya CCM iwe kwa nafasi walizowahi kuzishika au wanazozishika hivi sasa. Ni wanaccm wachache sana waliowahi na watakaowahi kufika level ya kisiasa aliyofika Humphrey Polepole...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila, CCM, wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho

    Chalamila, na wengine wowote wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho. Hiki ni kizazi kipya, ni tofauti sana na sisi.
  17. JamiiForums Tanzania PNA: Viongozi, Waenezi wa Vyama, Heshimianeni, Tumieni Lugha za Heshima!, Mwenezi CCM ni Kenan Kihongosi, Sio Kenan Kikaragosi. Brenda Omba Radhi!

    Wanabodi, Nimeisikiliza Press Conference ya Mwenezi wa Chadema, Brenda Rupia. Amemuita Mwenezi wa CCM, Kenan Kikaragosi badala ya Kenan Kihongosi, nikaona kauli hiyo inatakiwa kufanyiwa PNA. Kwanza msikilize Brenda https://youtu.be/lscfiTCe69o Kwa sisi waandishi wa habari wa broadcast...
  18. JamiiForums Tanzania CCM inaogopa watu, isiwaudhi

    Miji ni michafu sana, biashara kila sehemu kila aina. Shagalabagala kila kona kasoro Ikulu tu. CCM wanadhani kwa kufanya hivi itaepuka lawama la wananchi kumbe ndio inabeba lawama. Raia mwenye akili timamu anajivunia kitu kizuri na safi kama vile masoko, mashule, barabara zilizopangika...
  19. JamiiForums Tanzania CCM hoja za Mh. Heche hazijibiki, mtafutieni bilioni 2 anyamaze

    Akikataa bilioni 2 basi tafuteni kamgodi au kakitalu mpeni anyamaze. Ila kumjibu kwa hoja ni ngumu sana Watangazaji wameulizwa kimoja ambacho CCM wameweza wameshindwa
  20. JamiiForums Tanzania CCM Imepwaya Kwenye Itifaki Zake

    Sasa hivi upepo wa kisiasa unavyovuma ni dhahiri kiwango Cha kukubalika kwa viongozi wengi wa CCM kimeshuka miongon mwa watanzania na sijuhi kwanini hawajashutukia hili suala Tangu Chadema irudi kwenye uwanja wa kisiasa baada ya kile kifungo imekuwa imara kuliko hawali Na uimara huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…