ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud Othman: Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda?

    Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo na Makamu wa kwanza wa Rais Zazibar Othman Masoud Othman anaeleza kuwa "Kwenye Tume ya Haki Jinai nilipendekeza Polisi wasiongozwe na wanasiasa. Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda...
  2. C

    JamiiForums Tanzania CCM mnakataa usemi wenu?

    Wakati ninakua ile miaka ya 1971 nikiwa shule ya msingi kulikuwa Kuna hype kubwa ya kauli na maazimio mengi ya kisiasa. Na wakati ule kujiunga na TANU youth league ilikuwa kama ni lazima fulani hivi. Kauli au ahadi mmojawapo ya TANU ilikuwa "nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko"...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CCM ndio taasisi kubwa kuliko zote Africa mashariki

    Kama unabisha Fanya Utafiti utujuze taasisi gani iwe ya umma au NGO inaizidi CCM 1. CCM ina rasilimali kila Mkoa na Wilaya hadi kata 2. CCM ina Wanachama kila mtaa 3. CCM ina mbunge kila jimbo pale iliposhindwa kwa Kura imeweka wa viti maalum 4. CCM ina viwanja vikubwa vya michezo kila...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Walishindwa kuidhibiti Chadema kupitia support kwa Mbowe, baadae G55 na kesi feki ya uhaini, na sasa wameamua kumtumia Msajili wa vyama vya siasa

    Kuna vitu vingine vinafanywa na serikali na CCM na serikali yake hadi vinatia aibu. Kila mtu anajua wakati wa uchaguzi wa Chadema Lissu Vs Mbowe, serikali na CCM walifanya kila wawezalo ili Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa Chadema, ikashindikana. Kisha wakaanza kuwatumia wafuasi wa Mbowe ndani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niwaulize CCM na mashabiki wake; Wabunge wanawajibika kwa Rais? Kama ndivyo, wanawezaje kuisimamia na kuikosoa serikali inayoongozwa na Rais?

    Wakati fulani, Prof. Mwandosya na wengine walipendekeza kwamba mtu anapokuwa Rais, basi kama alikuwa mwenyekiti wa chama, akome kuwa na hiyo nafasi; kwamba tusiwe na raisi mwenye kofia mbili; Rais na mwenyekiti wa chama, ili chama tawala kiweze kuto mwongozo kwa serikali yake. Wengi hatukuelewa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025. https://www.youtube.com/live/IocFOWt2uqY?si=7h0fUD6dBWpUH3Nc
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla asema siri ya CCM kushinda uchaguzi kila mwaka ni kwakuwa wanakwenda na wakati, hawatulii kama jiwe

    Wanabodi https://www.youtube.com/live/_ZEl6lsHc4c?si=osZPZ2LFfZc6ACe3 Naangalia TBC live mubashara, Katibu Mwenezi wa CCM, CPA Amos Makala, ametoa siri ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi, CCM kushinda kwenye chaguzi mbalimbali na kuendelea kuishika Ikulu yetu mwaka hadi mwaka, sababu ni moja...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania The Defining Moments for CHADEMA: Watanzania wazidi kuikataa CCM na hila zake za kuiua CHADEMA. Maamuzi ya Msajili kuzuia ruzuku yapingwa kila kona

    Sasa ni dhahili, CCM imeazimia kuiua Chadema kwa kutumia vyombo vya Serikali/ dola baada ya hila na mbinu zote za kisiasa kufeli. Walianza kutoa hela kwa wajumbe wa Chadema ili Lissu na Heche wasiwe viongozi wakafeli, Wakatoa mabilioni ya shilingi kuhonga mamluki ili wajiondoe Chadema mradi huo...
  9. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Hii mbinu ya CCM kujigawa mara mbili nimeipenda, itawatoa mchezoni CHADEMA mchana kweupe

    Habari wakuu Inahitaji utulivu mkubwa kuweza kusoma mchezo, sasa hivi CCM wanakosoana wenyewe kwa wenyewe huku watu wakishangilia na kusifia viongozi wa CCM wanaoikosoa CCM. Mtoto wa nyoka ni nyoka, na mwana CCM ni mwana CCM, once a CCM always a CCM Hii mbinu imetumika sana miaka ya nyuma...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imesomba vijana mitaani kwenye vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia aibu

    CCM imesomba vijana mitaani na kuwaweka mbele ya vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia haibu sijui ulaya na dunia itakapoona itakuwaje ? Nina asilimia kubwa kuwa hawa vijana wamekusanywa na kusombwa tu mitaani na kulishwa maneno na mtu kisha kuja mbele ya vyombo vya habari...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wapo watu wasiopendezwa na rais Samia sema wanasubiri kuona kama kuna wengine kama wao ndani ya CCM sasa wataanza kuibuka

    Nina wasi wasi wapo watu wasiopendezwa na rais Samia hasa utawala wake kuwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu sema wanasubiri kuona kama kuna wengine kama wao ndani ya CCM sasa wataanza kuibuka. Je, wapo wengine ukiachana na kina mpina na gwaji boy na yule Basilla wa hawaungi mkono tena...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hatari iwazi, watawala wa CCM vitendo na kauli zao kuwapeleka mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC The Hague

    Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku si nyingi tutaona vigogo wakiwekewa vikwanzo na pia waranti ya INTERPOL kuwatia nguvuni kisha...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote, Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?

    Wakuu Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook == Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii? Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
  14. mshale21

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dar watoa msimamo kuhusu Gwajima, wataka akamatwe akaisaidie polisi kuhusu utekaji

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025. Msimamo huo umetolewa siku ya...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CCM kwisha kabisa

    Yaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu Kujibu sio...
  16. Bila bila

    JamiiForums Tanzania CCM tuambieni kwanini watu wakiongelea utekaji mnachachamaa?

    Imekuwa kawaida Sasa. Mtu akitoka akasema Polisi inateka au inanyamazia utekaji badala ya Polisi kujibu CCM ndo wanaibuka kujibu. Mtu akisema vyombo vya Dola cinanyamazia utekaji CCM wanaibuka kupinga na kuleta mifano ya 1983. Sasa tokeni hadharani atuambie tuache kuvisema vyombo vya Dola...
  17. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania CCM chungeni ndimi zenu

    Wabunge wa CCM wanatumia vibaya Bunge kuanzisha mgogoro wa kidiplomasia na Kenya bila sababu za msingi. Kauli zao ni za kiholela, hazizingatii athari za kiuchumi wala kijamii, na zinaweza kuumiza raia wa kawaida wanaofanya biashara au kuishi pande zote mbili. Maneno ya chuki dhidi ya raia wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

    Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake. Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Cicil Mwambe: Jimbo la Ndanda limetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85

    Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Mheshimiwa Cecil David Mwambe, amesema kuwa hadi kufikia sasa, utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020 umefikia asilimia 85 katika jimbo hilo. Akizungumza leo Mei 25, mbele ya mabalozi wa mashina wa CCM katika...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Shangazi na Kingu wakipongeza chama cha walimu Tanzania kuahirisha mkutano wao kupisha mkutano wa CCM

    Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, na Mbunge wa Mlalo ambaye pia ni Katibu wa Wabunge wa CCM Bungeni Rashid Shangazi, wamepongeza uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa hatua ya kuahirisha Mkutano Mkuu wao ili kupisha Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Back
Top Bottom