ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitaahirisha uchaguzi ng'o

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali iliyoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Kizamani unaotumiwa na CCM kujaribu kuwadanganya wapiga kura ambao wengi walizaliwa 1990-2007

    Zamani CCM ilikuwa inatumia watu wa vijijini wasio na elimu na uwezo wa kuhoji wala kujaji chochote, walikuwa wakiaminisha watu kuwa bila wao CCM basi Tanzania haitakuwa na Amani, Na ninashangaa kwa kutumia wazee wa zamani , bado wanaendelea kutumia staili na propaganda za zamani ambazo ni...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bwege: Walinipa kesi ya uongo kuwa mimi nataka niwaue viongozi wa serikali na CCM Mahakama ikatupilia mbali

    Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe. Selemani Bungara (Bwege) akielezea maisha yake akiwa Bungeni na nje ya Bunge na hata kwenye kipindi hiki akiwa mpinzani.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nia Ya CCM Katiba iliyopo na NEC Mbovu ni kutawala milele, watoto wao na vitukuu viendelee kuongoza nchi, na kula pesa, hakuna uzalendo

    Natoa hoja nyepesi , lakini kama kuna ukweli juu ya hoja hizi. Nimekaa nimejiuliza nini mantiki ya CCM kuwa na katiba mbovu na utaratibu ,mbovu wa Uchaguzi, je toka wamekabidhiwa nchi na wakoloni inamaana ni kama walipewa hii nchi milele, na kwamba Nchii hii ni mali ya chama cha CCM na Familia...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA adui yenu ni CCM au CHADEMA? mmesahau kama mmeahidi kuiondoa CCM lakini kutwa ni CHADEMA, mmekula pesa ngapi?

    Wakuu CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Audiences Wake Walio Wengi Ni Vijana Wasio na Uelekeo wa Kimaisha na watu maskini na wasiojua kesho yao

    Katika siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na maswali mengi kuhusu hadhira yake na jinsi inavyoshughulikia masuala ya kijamii. Ni dhahiri kwamba vijana wengi, hasa wale wasio na uelekeo wa kimaisha, pamoja na makundi ya watu maskini, ndio wanaoonekana mara nyingi katika...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aliwahi kutoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuungana na CHADEMA, unadhani ni kwanini vyama vyote vya siasa vilipuuza wito huo wa lissu?

    Je, walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe? Au ni kwasasababu uropokaji, kukosa maono kwa Lisu, kukosa hekima na busara kwa huyo mtoa wito asie aminika na mwenye...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mlio karibu na Mwigulu Nchemba mfikishieni ujumbe wake; Propaganda zake mfu aishie kuwalisha wasiojielewa huko UVCCM

    Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania. Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM tumewachoka Sasa! Rudisheni nchi yetu kwa Vijana

    Matatizo yote ya Taifa letu mmesababisha nyie wazee. Mlisoma bure mpaka chuo kikuu Leo mnawanyima vijana mikopo. Mlipewa ajira bure bila interview au pesa Leo mnawanyima ajira vijana na kuwapa ajira kwa rushwa. Mmewageuza vijana machawa kwa ulafi wenu wa madaraka. Vijana ndio waanga wa...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Niwaonye CCM, msitume UVCCM kwenye mikutano ya CHADEMA kupiga kelele za 'Oktoba Tunatiki'

    Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!. NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!. Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Sio mwaka huu wala mwakani ila mageuzi yako njiani kwenye hii nchi, hatuna miaka 3 mbele, tuna muda mfupi sana

    Haitakuwa mwaka huu wala mwakani ila hatuna miaka 3 mbele kabla hatujashuhudia movement za kutisha katika Taifa hili ambalo linaaminika kwa uoga ukanda huu wa EA. Pamoja na kwamba tuko stage za awali ila belive or not Movement iko njiani sana na kwa watu wanao jua kusoma alama za nyakati...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania TRUMP Atumia Jeshi kudhibiti maandamano !

    Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa niliyoyaona leo Dodoma na yanayoendelea Mitandaoni, Kama wewe ni Fisadi wa CCM fanya haya haraka sana

    Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma. Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 O kwenye bango la kuhamasisha kumchagua Samia inamaanisha hamna kitu (0)? CCM msimdhalilishe Mwenyekiti wenu!

    Kwa watu waliobobea kwenye mambo ya matangazo na uhamasishaji, utengenezaji wa tangazo la kiuhamasishaji kila kitu huzingatiwa kwa makini Sana CCM wametoa bango lao la kuhamasisha watu wapige kura kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025 wenye kila dalili kuwa watanzania wenye akili timamu hawatashiriki...
  15. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama wenyewe wanakiri kabisaa "Oktoba tuna-tik Tu", kuna haja gani ya uchaguzi?

    Huko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo? Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje? Kuna haja ya kupiga kura ilhali wenyewe mnakiri hadharani kuwa hatupigi Kura zaidi ya kutick kwenye makaratasi...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Reforms: Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025-2030 imeahidi kuleta katiba mpya. Mnaotaka mabadiliko fursa hiyo. Pigieni kura CCM ifikapo Oktoba 2025

    Hivi mnadhani CCM hawataki mabadiliko? Aaahhh wapi! Waliotengeneza ilani ya CCM waliona mbali, wameenda mbali si tu kurekebisha sheria za uchaguzi, CCM imeahidi kutupilia mbali katiba ya sasa na watakuja na katiba mpya! Acha kuhangaika na ka sheria kamoja ka uchaguzi, CCM wanatupa injini yote...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya Taifa CCM imakinike sana na vijana

    Ni lazima na ni muhimu sana wasome upepo ulivyo kwasasa.. Na kundi la kuchunga sana ni hili kundi la vijana... Lina ndoto nyingi.. Lakini pia changamoto za maisha ni nyingi na halioni mwanga mbele. Tofauti na makundi mengine hili ni kundi ambalo halina cha kupoteza maana bado halijafikia mahali...
  19. A view to a kill

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kumrudisha mzee Wassira kwenye siasa za majukwaani ni dhahiri hata CCM inahitaji reforms

    CCM twende na wakati ,kila nyakati na watu wake na changamoto zake, kijana wa 1960s sio wa kijana wa leo, wengi wameenda shule na wanajua kinachoendelea duniani,
  20. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania CCM na mkakati wa ushindi 2025

    GTs, Wadau, hakika CCM mpaka sasa iko vizuri mno, maana maadui zetu wamesambaratika, yaani wameishiwa sera mpaka wanasema hawataki uchaguzi. Tuendelee kuiunga mkono CCM.
Back
Top Bottom