Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.
Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.
CC: Wasirra
Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwete
Wapenda...
WASIRA APOKELEWA SIKONGE, AWASILISHA UJUMBE WA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora na kushiriki mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya wilaya hiyo.
Wasira amewasili wilayani humo leo Aprili 17, 2025 akiwa...
Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini.
Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf...
Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge.
Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali.
Yale ya wajibu wenu...
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu.
Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM...
Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China.
Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class.
Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
Tume Imeonyesha wazi kwamba reforms zinazopiganiwa na CHADEMA zinahitajika. CHADEMA inadhihirisha ni chama chenye watu wenye weredi mkubwa sana na ni wakati sasa Watanzania wajitafakari sana kuhusu hatma ya nchi ambayo imepokwa na kikundi kidogo.
Msikilize Wakili Emma kupitia link hii akiwapa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusogeza mbele ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, baada ya kupitia ushauri kutoka kwa wanachama wake.
Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza.
Mbunge huyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi...
Ni kwasababu ya sera zake nzuri za kitaifa na kimataifa na mipango mikakati yake bora na muhimu sana inayolenga na kukusudia mabadiko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote kote ulimwenguni?
Ni kwa sababu ya umadhubiti, bidii, uadilifu na umahiri wa viongozi wake...
Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini.
Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
Wakuu,
Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya.
Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0
Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa kuungana na Lissu kwenye ajenda ya No Reforms No Election
Msikilize hapa:
Wakuu,
Awali April 10, 2025 walitangaza mchakato huo ungeanza Mei Mosi mpaka Mei 15 ambako ingechukua siku 15 kwa wagombea kuchukua na kurudisha fomu lakini sasa itakuwa ni siku 15 pekee ambako itakuwa ni siku moja baada ya bunge kuvunjwa June 27, 2025.
Pia soma: Pre GE2025 - CCM yatangaza...
Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA
Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani.
Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
Watanzania wanaofurahia madhila ya CHADEMA hawajui kwamba anayepoteza sio CHADEMA Wala Lissu ni watanzania kwani tunapokosa mtetezi mwenye nguvu kama CHADEMA basi ccm wanapata nafasi ya kufanya watakalo Tena mabaya kwasababu hakuna mtetezi.
Hakuna mtetezi kwasababu;
1. Bunge wamelitia mfukoni...
Huyu mtu hana mandate yeyote kutoa matamko kukemea jambo lolote, Kwa sababu uwepo wake katika kusimamia uchaguzi si halali. Mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa CCM atawezaje kukemea CCM pale inapokosea?
Hiyo nafasi ilitakiwa apatikane mtu ambaye atakuwa neutral asiyekuwa...
Kuna wanachadema wanaumia sana kila Chadema inapotajwatajwa na wanaCCM mikutanoni
Niwatie tu moyo wawe wavumilivu kwani kwetu CCM wale CHADEMA ni sawa na shetani mbele ya Walokole ni lazima akemewe na kupondwapondwa kila wakati hasa mwaka huu wa uchaguzi
Tunamkataa shetani na kazi zake zote...
Chama cha Mapinduzi hakifikirii kuiachia dola kwabsabu uwezo wa kuihudumia nchi wanao, Katibu wa Siasa , mafunzo na Uenezi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Abraham Urio, alipokuwa akizungumza na Banana FM Kupitia Kipindi cha Banana Breakfast anaeleza sababu hizo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.