ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete CCM ina Wazee unawaita Wazee kwenye hili angalia hatua zako mbele kuna shimo kubwa

    Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya. Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna nini CCM? Kile kikundi cha hamasa kinacholipwa kodi za Wananchi kumshangilia Mwenyekiti anapokuwaga kwenye ziara leo kilikuwa wapi?

    Kwa msiojua hii ndo Modus Operandi ya CCM katoka kuendelea kuwalaghai Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Wanapendwa nchini ( Wana Popular Support). Wanajua kabisa hawawezi kujaza mikutano yao kutokana na Wananchi kutowakubali. Hivyo wanachofanyaga siku zote Wanawaamuru Wakuu wa Mikoa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja Mapungufu ya CCM, Kwenye Sekta ya Afya Serikali ya Awamu ya Tano na Sita zimefanya vyema. Waongeze Wahudumu wa Afya zaidi

    Habari za jioni ndugu wana JFs Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kabisa kaa Serikali ya CCM ya awamu ya tano na hii ya sita kwa kazi nzuri waliyofanya kwenye sekta ya afya. Mambo ni mazuri tunakoelekea na kiukweli kwenye miundo mbinu kwa sasa ni bora kwa viwango vinavyokubalika( healthcare...
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Mlao: UVCCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi

    MNEC Mlao: Umoja wa vijana wa CCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi, twende kuwasemea vijana wenzetu wenye sifa ya kuwa viongozi kwenye vikao vya maamuzi
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya wananchi Tanzania wanaiombea CCM kiurithi uzima wa Ikulu milele na milele ili waendelee kufurahia AMANI

    Baada ya maafa ya mlipuko wa mabomu mbagala na kuteketea kwa makazi ya watu wakati kwa ajali hiyo ya mabomu ya mbagala 2009, kwa wakazi wanaoishi mbagala, amani ilikosekana kabisa, na kufikia mpaka wakazi wa eneo hilo kudiriki kusema, kama vita mfano wake ndio huu, afadhali chama kilichopo...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa sana kumpa Samia kuwa mwenyekiti wa CCM juzi hapa amevunja katiba ya chama hicho vijana chipukizi wanajifunza nini?

    Makosa makubwa sana kumpa samia kuwa mwenyekiti wa CCM juzi hapa amevunja katiba ya chama hicho vijana chipukizi wanajifunza nini ? Kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi hakufuata katiba ya chama hicho inamaana wajumbe na mwenyekiti wame baka katiba ya chama, labda ni kwa vitisho vya...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais, nakuomba hata kwenye viti kumi vya ubunge unavyoteua, usimuweke Mpina, hafai, ni wa kufukuzwa CCM

    Mh. Rais, nakuomba sana, mfute kabisa katika ramani ya siasa za CCM na nchi kwa ujumla. Hatuwezi kufuga majoka, tuyalishe halafu yatake kutuuma. Asante. Natanguliza shukrani
  8. J

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina hana uelewa sahihi wa Katiba ya CCM, yeye ni tofauti na Aida mbunge wa Chadema Mpina ana vikao vya Chama Wilayani na mkoani!

    Ahadi zote za maendeleo ziko kwenye ilani ya Uchaguzi ya CCM hata zile zinazoahidiwa na Rais kwenye mikutano huinguzwa kwenye ilani Mbunge wa CCM ni Mjumbe wa vikao vyote vya maendeleo wilayani na mkoani ambako ndiko utekelezaji wa ilani hujadiliwa Wabunge wa Chadema na Upinzani kwa ujumla...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawapa Saa 12 kutoka sasa Uongozi Simba SC kutangaza Kutocheza tarehe 25, Juni, la sivyo naenda kuishitaki Serikali FIFA ili Tanzania tufungiwe

    Sasa kama mnadhani GENTAMYCINE ninatania endeleeni hivyo hivyo. Simba SC tangazeni haraka Kutoicheza hiyo Mechi.
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wana JF juu ya nembo ya TUNATIKI yafanyiwa kazi na CCM

    Pamoja na tofauti za kimtazamo juu ya siasa za Tanganyika haina maana ya kwamba unapoona upande pinzani kuna jambo unaweza kushauri .. Tafadhali fanya Ushauri huwa ushauri si shuruti.. Mshauriwa ana wajibu wa kuuchukua ama kuuacha This time around nimefurahi kuona ccm wakichukua ushauri wetu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwita Waitara aitwa kamati ya maadili CCM Tarime

    Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili. Miongoni mwa tuhuma hizo ni; 1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake. Kabla ya kufika...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Said Goha: Mnaowatumia Wapambe Kufanya Kampeni, Kanuni ziko wazi Vikao Vya Uchujaji

    Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Said Goha alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Mkoa ambapo alikuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuwa "ni kweli CCM Imezuia kampeni kabla ya wakati, je CCM inasema nini kuhusu wapambe hao?" Katibu Goha alieleza kiundani...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Katika Afrika hii tuyoijua hakuna Chama kikubwa kuliko CCM

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ameeleza mambo mbalimbali yanayoifanya CCM kuwa idumu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka kwa Mwana CCM, Nao wanataka Reforms

    KAMA HUYU NI MWANA CCM, wako wana CCM wangapi wa namna hii? Ukurasa wangu hupokea maoni mengi kutoka pande zote za sarafu, CCM, Wapinzani, Wasio na Vyama kama mimi, Maadui zangu na marafiki zangu. Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka Mwana CCM. Nauleta kama nilivyoupokea na mwisho nitaweka...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mangungu kwakuwa unautaka mno Ubunge ukaamua Kulainishwa na Samia pamoja na Kikwete ili Simba SC ikubali Kucheza Yanga?

    Kwahiyo Mwenyekiti Mangungu kwakuwa unautaka mno Ubunge ukaamua Kulainishwa na Samia pamoja na Kikwete ili Simba SC ikubali Kucheza hiyo Mechi ili tuaibike tena? Simba SC tunaenda Kufungwa Magoli ya Kuhesabika safari hii hiyo Juni 25, 2025 kwa Mkapa. Mangungu ulichokitafuta kwa muda kwa wana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama kweli haya ni mapokezi halali ya Samia Simiyu CCM inaogopa nini kuicha Tume ya uchaguzi kuwa huru?

    GT Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%. Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyikiti wa UVCCM Mohamed Ali Kawaida: Ushindi wa CCM ni sawa na Kifo

    Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu...
Back
Top Bottom