Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kichwa cha mada chajitosheleza. Hii inaleta picha kuwa hatuna cha kujadili juu ya nchi...vikao vya chama kwa sehemu zake ziko kujadili haya.
Ifike kipindi hata km tutakuwa wote ni Ccm ndani ya Bunge ni marufuku kuleta mada za chama. Hii inatujengea picha mbaya. Hatuwezi maliza mambo yetu ndani...
Mzee Msuya - sio mimi nasema - Mzee Msuya mtu wao wa system kabla hajafa alisema watu wa CCM ni wadhaifu sana kwenye kujenga hoja.
Bunge linasema:
Mtu mwenyewe ana shida jimboni
Afukuzwe CCM
Aliahidi safari Kawe-Japan
Kataja jina takatifu la mtoto wa Rais
Angeweza kuyamaliza kwa ushauri wa...
Ni kichaa tu atakayewaunga mkono Kwa matamko yenu yasiyotoa suluhisho Kwa tatizo la utekaji.
Ni Machawa wenu wasio na impact mliowaswaga wamjibu Gwajima Kwa Jambo ambalo wananchi wote wanaliona na nyie wenyewe mnaona lipo na linazidi kukomaa.
Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa...
Kama mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani jana bungeni haujawafungua akili Watanzania kuielewa CCM ni kina nani? Basi hakuna siku Watanzania watakuja kupata akili na kuielewa CCM hadi mwisho wa Dunia.
Kama Majadiliano ya jana Bungeni hayajawafungua akili Watanzania kujua CCM...
Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.
Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.
Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.
Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri,
#Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao,
Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
Wabunge wa CCM wanamshambulia Gwajima. Je, amefanya kipi kibaya?
Mwingine amediliki kusema Bungeni bila aibu kuwa vyombo vya dola vianze na wale waliopo ndani ya CCM kisha vimalizie wa nje ya CCM
Je, hichi ni chama sahihi kutawala Watanzania?
Yaani tunatawaliwa na Chama ambacho kinahimiza...
Wakuu ,huyu Mbunge wa Viti MAALUMU alotumia MIAKA 18 kusoma Elimu ya Sekondari.
Na ambaye ameanza shule mwaka 1988 lakini mpaka 2015 akawa kaishia Diploma.
Inawezekana kabisa, Kalidanganya Bunge na Serikali juu ya Elimu yake.
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING...
https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY
===
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.
Pamoja na...
Wakuu kuna mambo yanafurahisha sana kama ni uchawa basi tumefika pambaya sana
Kuna baadhi ya Mambo hata CCM yenyewe inatushangaa maana imetupa nafasi alafu tunachofanya no TOFAUTI na ilichotutuma
Katika Biashara huwa kuna Aina mbili za bidhaa kwa upande wa mauzo na masoko.
Kuna bidhaa zinazotoka sana au huitwa
Fast Moving products
Pia huwa kuna bidhaa zinazotoka taratibu Sana huitwa Slow moving products.
Hivyo ukiwa Kama mfanya-biashara ukiwa unamiliki bidhaa ambayo haitoki kwa...
Ni almost 72hrs now, hakuna hata hoja yoyote ile imejibiwa genuinely na CHAWA yoyote Yule wa CCM, leave alone police.
Usalama wote wamekenua meno kisirisiri kwa kupata msemaji wao, kawasemea kwa ufasaha.
Kila aliyejaribu kumjibu Gwajima ameishia kumshambulia personally na sio hoja zake Hadi...
Hongera Gwajima. Acha wajinga wakushambulie lakini watanzania wenye akili tumekuelewa
Gwajima ameagana na nyonga kabla ya kukimbia. Haikuwa rahisi kujitokeza hadharani kwa desturi ya nchi yetu kwa mbunge tena wa chama tawala kuzungumza jambo linalogusa maisha ya watanzania kwa kiasi kile. Na...
MSIMAMO WA SISI WATIBELI KWENYE SIASA ZA NCHI YETU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakinipigia Simu, kunitumia jumbe kwa njia za meseji ya kawaida au kupitia pm za mitandao ya kijamii, wakihitaji kujua msimamo wangu na msimamo wa Watibeli kwenye siasa za nchi...
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha...
Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na kuongea uharo mtupu. Ishu ya Gwajima ni sensitive na ya kujibiwa kiakili kwa sababu Gwajima pia ni...
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.
Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu.
"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani...
TUNAZIJUA MBINU ZA CCM, TUTAWAKABILI WATAKAVYOKUJA
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 umetokana na uzoefu wa kutosha walio nao kuhusu mbinu, ujanja na...
Vile vyama sijii 13 ambavyo ni partiner wa CCM kitu kimoja walicho nacho sio wanafiki na wanaiunga mkono CCM wazi wazi bila kificho tena mchaka kweupe..
Ila sasa ikawekwa ACT na NCCR Mageuzi au TLP ni bora kuisapoti hao kuliko ACT ambao mchan wanazuga ni wapinzania ilihali gizani wako bega kwa...
Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.