Naona itakuwa ngumu kununua gari la ndoto yangu, Land Cruiser Prado! Je TZS 47 Million itatosha kununua gari la aina gani kama hilo?

T

Terace

Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
26
Likes
27
Points
15
T

Terace

Member
Joined Jun 13, 2017
26 27 15
Habari wakuu,

Nimejikusanya muda sasa kuweza kumiliki gari la ndoto zangu. Tatizo ni budget yangu kwani nimefuatilia kuhusu my dream car naona mfuko haujajaa linapokuja suala la TRA.

Je, waweza nishauri gari gani linaloweza kuwa;
- Economy,
- Confortable,
- Attractive,
- Unique,
- Stand out on its own (Yaani sio la kulinganishwa linganishwa)
- Family car (preferable 7 seater)
- Modern and stylish

Sifa hizo juu nilikiwa naziona kwa my dream Car ambayo ni Toyota Land Cruiser Prado za kuanzia 2013...kama picha hapa chini...

screenshot_20190212-000351-jpg.1020208

Je waweza nishauri gari linaloweza compete na hiyo hapo Prado kwa sifa tajwa? Pia nisije liacha pale TRA?
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,644
Likes
43,619
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,644 43,619 280
Katika hiyo 47 naombanipatie nusu ya hiyo 7 ya mbele nikamilishe ka ada mkuu.. mkopo ulitupiga chenga

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mchoraji Cyper255

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Messages
1,478
Likes
5,171
Points
280
Mchoraji Cyper255

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2012
1,478 5,171 280
Katika hiyo 47 naombanipatie nusu ya hiyo 7 ya mbele nikamilishe ka ada mkuu.. mkopo ulitupiga chenga

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Jichange nawewe kama Mtoa Mada upate hiyo nusu.
Mtu kajichanga anataka atembee huku amekaa na bado anaona kapesa hakatoshi. We unataka umpunguzie tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,891
Likes
12,903
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,891 12,903 280
Huyo mnyama hapo juu TRA tu inakiwa Tsh.32.5mil,si mchezo though prado sijawahi kuzipenda.

Kwa 47 mil hapo unapata landcruiser vx v8(100 series),ila shida ukitaka magari ya miaka ya karibuni hapo ndipo shughuli ni pevu mkuu

Hata Landrover discovery 3 unapata mkuu.

Nb:Kibongo bongo hata gari za 2013 ni latest kabisaaa.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
10,538
Likes
6,864
Points
280
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
10,538 6,864 280
Huu mgari huwa siukubali kabisaa,bora hata series zake za nyuma zimekaa vizuri.
 
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
3,214
Likes
5,997
Points
280
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
3,214 5,997 280
Huyo mnyama hapo juu TRA tu inakiwa Tsh.32.5mil,si mchezo though prado sijawahi kuzipenda.

Kwa 47 mil hapo unapata landcruiser vx v8(100 series),ila shida ukitaka magari ya miaka ya karibuni hapo ndipo shughuli ni pevu mkuu

Hata Landrover discovery 3 unapata mkuu.

Nb:Kibongo bongo hata gari za 2013 ni latest kabisaaa.
Upo sahihi, si kibongo tuu, ila gari za 2013 bd zimesimama
2013-ford-fusion-jpeg.1020633
2013-nissan-pathfinder-jpeg.1020634
mr-2013-hyundai-santa-fe-familyover30-jpeg.1020636
 
luvcyna

luvcyna

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2009
Messages
1,477
Likes
1,153
Points
280
luvcyna

luvcyna

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2009
1,477 1,153 280
Mi nikushauri kitu mkuu
Nilichokuja kugundua ndoto zetu za kununua magari ya ndoto mara nyingi hufifishwa na ushuru.

Mimk nilivunja ukimya na kutimiza ndoto ya kumiliki ndinga langu kwa njia hii nyepesi sana

Cha kwanza usitishwe na calculator ya TRA, kuna alternative ya ku appeal kwa kumuandikia kamishna barua na kuomba azingatie Invoice price badala ya calculator. Hapa kama ulinunua kwa CIF lets say USD 10,000 utajikuta umelipa kodi ya karibu m19 au mil 22 tu of which naona imo ndani ya bajeti yako.

Japo majibu yanaweza kuchelewa ya appeal ila kama ni mzuri wa kuloby haikuchukui siku 4 utakua ushamaliza kazi hao unaokoa karibu mil 10 nzima

Kwa ushuhuda tu niliagiza gari yenye ushuru wa mil 33 lakini nilifanikiwa kulipa 19 tu

Mkuu, latest Prado ambazo mashavu sio ya kubandika zipo juu sana gharama zake. Ukisema zile prado za 2007 kurudi nyuma zipo chini na hata ushuru nao upo chini.

Macho ya Paka hii ni hatari ushuru wake...unag9nga almost same cost kama CIF
 
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
851
Likes
1,741
Points
180
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
851 1,741 180
Sio mbaya. Unaweza ukaanza na model ya nyuma yake. Ukipata pesa za kuongezea utauza hii ya nyuma na kununua hiyo. By the way, tofauti kati ya hizo gari mbili ni body tu. Engine na makoro koro mengine ni sawa.
Chukua hii kama utaielewa...

BE FORWARD : 2005 TOYOTA Land Cruiser Prado
 
Charles Dotter

Charles Dotter

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
1,636
Likes
1,175
Points
280
Charles Dotter

Charles Dotter

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
1,636 1,175 280
uchaguzi unakuja jipange ingia kwenye siasa mkuu, utamiliki gari kama hizo tano kwa kila mwaka kununua moja. Umesikia juzi kati lissu kalamba ngapi... hiyo ndo njia sahihi
 
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
3,214
Likes
5,997
Points
280
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
3,214 5,997 280
Mkuu hizi pic mbili za mwisho unaweza nambia model ya gari niigoogle?

Nilipenda prado kutokana na sifa tajwa nilizosema...je hizi gari zinazo hizo sifa pia?

Thanks in advance.
Boss ni km unavyoona hapoo
20190212_183045-jpeg.1020785
 
Forum statistics

Threads 1,262,368
Members 485,562
Posts 30,121,318