Cars for sell

Mar 3, 2019
23
2
NISSAN X-TRAIL VS TOYOTA HARRIER
CAPACITY; harrier ina uzito mkubwa zaidi kwa kuwa na maximum weight ya 2700Kg lakini x-trail ina uzito wa 2170 Kg lakin x-trail ina nafasi kubwa ya kubeba mpaka uzito wa 1773Kg ambapo ni asilimia 11 zaidi ya harrier na ina roof kubwa kuliko harrier.

ENGINES; engine power ya harrier ni 183kw lakin x-trail ni 127kw kwahiyo harrier ina nguvu zaidi na kwenye kuspeed up inachukua sekunde 7.9 kuto 0-60mph na x-trail yenyewe ni sekunde 10.

UTUMIAJI WA MAFUTA;ulaji wa mafuta wa x-trail upo vizur ukilinganisha na harrier ambapo kwa mjini x-trail utumia chini ya asilimia 41 na chini ya asilimia 5 kwenye highway ya mafuta yanayotumika kwenye harrier.

Kwa ujumla ukitaka gari ambalo ni strong na lenye speed basi chagua harrier ila kama unataka linalokula mafuta kidogo na uwezo mkubwa kubeba mzigo x trail ni safi.
2000-2003_NISSAN_X-TRAIL.jpg
Nissan_X-Trail_T30_002.jpg
nissan-x-trail-1.jpg
nissan-x-trail-2006-nissan-x-trail-bonavista-edition-4x4-low-km-bonavista-4x4-yellow_6870499653.jpg
photo_2019-01-18_00-41-12.jpg
toyota_harrier_2005_toyota_harrier_alcan_2_4_a_power_boot_electronic_seat_200508_used_68101245...jpg
toyota_harrier_2008_petrol_2008_black_automatic_toyota_harrier_7890133556129057177.jpg
toyota_harrier_1534498309_02033dbe0.jpg

kwa hayo na mengine mengi ni KIMOMWE MOTORS (T) LTD MAGOMENI MAPIPA, WAAGIZAJI MAGARI KUTOKA JAPANI, DUBAI, SINGAPORE NA UK.
SIMU 0714349142 / 0762178477
 
Back
Top Bottom