cag

  1. R

    Nimesikitishwa kusikia wanasiasa wanawaza kubinafsisha utengenezaji wa mifumo ya TEHAMA ya vyombo vya ulinzi na Haki jinai kwa makampuni ya nje

    Baada ya ripoti ya CAG kuonyesha watumishi WA umma na mashirika yanayomilikiwa na serikali yameshindwa kufanya vizuri na hivyo kuiletea hasara nchi wanasiasa wapo busy kusoma ripoti na kutengeneza mahusiano ya kibiashara na makampuni ya Kigeni kuja kuchukua hizi fursa wapate ten percent Maeneo...
  2. J

    Hayati Magufuli aliwahi kumfunga kiongozi yoyote kutokana na ubadhirifu kwenye ripoti ya CAG?

    Sifurahishwi na ubadhirifu unaoonyeshwa kwenye ripoti za CAG wala siutetei kwa namna yoyote ile Lakini nataka kusema tuache siasa na unafiki, ama hata ripoti za CAG zinaweza kuwa zinatolewa kisiasa kama tunazijadili kisiasa Kuna baadhi ya watu ambao wamekosa hoja ya kutetea siasa zao...
  3. T

    Nakusudia kupanga maandamano hadi bungeni kushinikiza Ripoti ya CAG ijadiliwe sasa

    Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!? Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja tufanye maandamano ya amani ili kuelezea hisia zetu kwa ajili ya kulilazimisha bunge ili lijadili...
  4. Upekee wa bajeti ya kwanza ya serikali ya rais Samia mwaka 2021/2022 iliyokaguliwa na CAG

    Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti. Kwenye vitabu vyake, CAG ameonesha kwamba ingawa serikali...
  5. Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema serikali haitalazimika kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

    SPIKA wa Bunge Dk. Tulia Ackson amesema serikali haitalazimika kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wakati wa Mkutano wa Bajeti unaoendelea na kwamba Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na Mbunge kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu Mkutano wa sasa wa Bunge ni wa...
  6. Haja ya Ripoti ya CAG kuchunguza Mitaala ya Kozi za Vyuo vya Tanzania

    Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa. Wengi wanaamini kuwa moja ya changamoto kubwa ni mitaala ya kozi za vyuo vya Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na wito kwa...
  7. CAG abaini wanafunzi 23,000 kukatisha masomo kwa mimba, Kinondoni kinara

    RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini katika Mamlaka 19 za Seri kali za Mitaa, , wanafunzi 23,009 wamekatisha masomo yao shule za sekondari kutokana na ujauzito, huku Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikiongoza. Katika shule za msingi...
  8. Kamati za Siasa za CCM Mkoa na wilaya nchi nzima, kama njia ya kupinga ubadhirifu, washughulikie taasisi na watumishi waliotajwa na CAG

    CCM ndio wenye serikali, ilani ya CCM haikubaliani na matendo ya ubadhirifu. Ni wakati Sasa chama kijibainishe kwamba hao wabadhirifu wanawajibika binafsi, na chama hakikuwatuma, tena karibu wote, si wanachama wa CCM kwa mujibu wa ajira zao. Kuanzia ngazi ya wilaya, hawa wabadhirifu tuwaandame...
  9. J

    Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  10. Zitto Kabwe: Bunge lisizuie mjadala, acha Watu waongelee hoja za CAG, huo ndio mchakato wenyewe

    Ameandika Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo: CAG akishatoa ripoti yake AMEMALIZA. Ripoti yake ni ya mwisho. Ni FINAL. Kazi inayofuata ni ya Bunge. Umma ujue kwamba, kabla CAG hajatoa ripoti yake Serikali hupewa nafasi ya kujibu hoja za Ukaguzi. Baada ya Ripoti kutoka majibu sio kwa...
  11. B

    Wito butu wa mgomo kufuatia ripoti ya CAG

    Ni vigumu wito wa kiongozi wa chama kutenganishwa na chama: Ingekuwa vyema tukapeana uthibitisho ili japo kujua tunaposimama. "Ikumbukwe kodi za kufikia nusu ya kwanza ya mwaka huu zilikwisha lipwa kufikia 31/3/2023." Hivyo: 1. Wito huu unategemewa kutekelezwa vipi? 2. Kwanini vyama hivi...
  12. Ripoti ya CAG, kuna uwezekano Watanzania ni wajinga kushadadia kutibu matokeo badala ya kushughulika na chanzo?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni jinsi Watanzania wanavyoishadadia Ripoti ya CAG ya mwaka huu kushangalia ufisadi, as sasa ndio kuna ufisadi saana, kumbe kwa miaka 10 mfululizo ripoti za CAG zinaonyesha ufisadi na tena...
  13. S

    Hivi mbona zamani tulisikia neno ma-auditor lakini neno CAG halikulisikia kabisa?

    Wakuu JF nielezeni na nifafanulieni, Miaka kama 20 iliyopita wahasibu wa maofisini walikuwa wanaogopa sana ma-auditor. Lakini woga uliishia kwao tu. Hatukuwa tunajadili kabisa suala la CAG na kwa kweli hicho cheo binafsi nilikuwa hata sikijui. Hivi kumetokea nini hadi leo nchi nzima...
  14. 2017-2018 CAG alibaini TTCL inaidai Wizara ya Ujenzi Bilion 20.63, Imekuwaje Ripoti ya 2021 waseme hawamjui wanaemdai?

    Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa. 2021 CAG Report inasema TTCL inadai Tsh Billion 21 ila haijui inaemdai! Imekuwaje tena hapa?
  15. Madudu ya Vyama vya Siasa kwenye Ripoti ya CAG

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)amebaini kasoro katika vyama vya siasa vikiwamo visivyo na bodi za wadhamini zenye ufanisi. Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Wananchi (CUF) na Democratic Party (DP) na CCM. Hayo yamo kwenye...
  16. Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

    Pamoja na mazuri ninayohisi yamefanywa na CAG, najiuliza ni nani anayemkagua katika utendaji wake? -------- Michango------- SubiriJibu anasema, Mleta mada, Ukiachilia mbali wanaokubeza kwa mada yako inabidi nikupongeze kwani umeleta kitu kikubwa kilichojificha kutokana na wengi wetu nikiwemo...
  17. Ripoti ya CAG 2021/22: Huduma za Hospitali ya Mloganzila haziridhishi

    Tathmini iliyofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) umeonesha Hospitali hiyo ina Utendaji Duni uliosababisha kuzorota kwa huduma za Afya, hivyo kushusha mapato. CAG alibaini gharama matumizi zinazidi mapato kwa 7% hadi 19 kuanzia mwaka 2018/19 na 2021/22 kiasi cha...
  18. B

    Kila aliyeelekezewa kidole na CAG asibakizwe ofisini

    Tuna nchi nzuri yenye fursa nyingi iliyogeuzwa kuwa mali binafsi ya wachache wenye kufahanika kwa kutokushiba kwao. Maisha yamekuwa magumu. Mzigo wa kodi na tozo umekuwa usiomithilika. Wakati serikali yenyewe ikiwa imelenga makusanyo tu, bila kujali kuvuja kwa mifuko yake wala kama wananchi...
  19. Ripoti ya CAG 2021/22: Hizi ndio Wizara 5 zilizofanya ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 212 za UVIKO-19

    Ripoti hiyo ya CAG imeibua hoja nyingi zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha hizo zilizopelekwa kwenye wizara mbalimbali za serikali (Afya, Elimu, Utalii, Maji na Watu wenye Ulemavu). Jumla ya thamani ya hoja zote za ukaguzi zinazoashiria kuwepo kwa matumizi mabaya zinathamani ya Shilingi...
  20. Tuendelee kumhusisha hayati Magufuli ripoti ya CAG

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…