cag

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021/22: Huduma za Hospitali ya Mloganzila haziridhishi

    Tathmini iliyofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) umeonesha Hospitali hiyo ina Utendaji Duni uliosababisha kuzorota kwa huduma za Afya, hivyo kushusha mapato. CAG alibaini gharama matumizi zinazidi mapato kwa 7% hadi 19 kuanzia mwaka 2018/19 na 2021/22 kiasi cha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kila aliyeelekezewa kidole na CAG asibakizwe ofisini

    Tuna nchi nzuri yenye fursa nyingi iliyogeuzwa kuwa mali binafsi ya wachache wenye kufahanika kwa kutokushiba kwao. Maisha yamekuwa magumu. Mzigo wa kodi na tozo umekuwa usiomithilika. Wakati serikali yenyewe ikiwa imelenga makusanyo tu, bila kujali kuvuja kwa mifuko yake wala kama wananchi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021/22: Hizi ndio Wizara 5 zilizofanya ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 212 za UVIKO-19

    Ripoti hiyo ya CAG imeibua hoja nyingi zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha hizo zilizopelekwa kwenye wizara mbalimbali za serikali (Afya, Elimu, Utalii, Maji na Watu wenye Ulemavu). Jumla ya thamani ya hoja zote za ukaguzi zinazoashiria kuwepo kwa matumizi mabaya zinathamani ya Shilingi...
  4. misasa

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kumhusisha hayati Magufuli ripoti ya CAG

  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG

    Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CAG tunaomba repoti za mwaka 2021/2022. Hizi za Magufuli kwanini haukuzileta mwaka jana?

    GAG tunaomba report za mwaka 2021/2022 tu. Nimekuwa nafatilia report ya CAG toka itangazwe karibu wiki moja iliyopita. Nilitegemea CAG atatupatia report ya Mwaka huu 2021/2022, lakini CAG anatupatia mpaka report za nyuma kabisa za Magufuli. Swali langu ni je, kwanini hizi report CAG hakuzitoa...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

    Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali. Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania CAG: Vifo watoto wachanga vimeongezeka Mbeya

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali amesema kuwa katika Mwaka 2021/22 aligundua uwepo wa ongezeko kubwa la watoto wachanga katika Mamlaka mbili ambazo ni Halmashauri ya Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya. Katika Ripoti yake CAG anaeleza kuwa takwimu zimeonyesha kuwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania CAG: Watumishi Halmashauri ya Ngara warejeshe Milioni 45.99

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) ameitaka Ofisi ya Rais TAMISEM kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa kwa watumishi waliohusika na upotevu wa fedha za mapato ya ada za leseni, ikiwa pamoja na kuhakikisha jumla ya Sh. Milioni 45.99 zinarejeshwa kutoka kwa watumishi husika na...
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ripoti za CAG na Ufisadi: Ni kipindi cha TAKUKURU kutajirika

    Majuma 2 yaliyopita yalitawaliwa na mijadala ya ufisadi kutoka kwenye ripoti ya CAG kwa mwaka 2021/22. Sina haja ya kuingia ndani kuhusu ni nani wanahusika na ni fedha kiasi gani wamepiga. Kwanza nawapongeza CAG na timu yake kwa kufanya kazi ILIYOTUKUKA. Inawezekana katika Taasisi za kujivunia...
  11. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Madudu ukaguzi maalum wa CAG upande wa REA 2015-2020

    UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili; Shirika la Kimataifa la Maendeleo Sweden (Sida). Kwamba Machi 2016, Tanzania na Sida waliingia mkataba wa ufadhili wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tusisahau ripoti ya CAG imekuwa wazi kwasababu ya maelekezo ya Rais

    Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa...
  13. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

    Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG?? Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi? Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga...
  15. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Kwanini uvccm wamejificha kujadili report ya CAG?

    Yaani mpaka mwadawa mtoto wa hayati Bob analia kuhusu ufisadi lkn uvccm wala hawana habari!!
  16. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais alipaswa kujiuzulu baada ya report ya CAG

    Baada ya report ya CAG kuweka wazi wizi na madudu yanayoendelea huko serikalini, Kiongozi makini na mzalendo alipaswa kukaa pembeni kupisha uchunguzi. Lakini tujiulize, Kiongozi aliyeteleza kwa kuzungumza hadharani, iwe kwa ukweli au kwa uongo kwamba "kuna siku nchi itapigwa mnada kwa madeni"...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe anakwepa kuwagusa vigogo waliotajwa ripoti ya CAG

    Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji. Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania CAG kwenye viroba vya mihogo ya futari agundua vipande vya miti badala ya mihogo-waathrika waenda kwa mganga kuroga

  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wenje: Magufuli angekuwa hai, asingekubali"ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Mhe. Rais baada ya kukwazwa na riport ya CAG kitaondoka na wengi

    Mhe. Rais ameweza kujenga Ofisi yake kwenye standard ambazo hakuna msaliti anayepata mwanya; hii imepelekea mambo yafuatayo kwenda kama Ofisi ya Mhe. Rais inavyopaswa kuwa 1. Ofisi yake Kwa sasa imeweza kuwa na Siri kubwa; hakuna Siri kuvuja kama ilivyokuwa awamu za nyuma. Hii imefanya akina...
Back
Top Bottom