bwawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea. ==== Pia soma: TANESCO...
  2. Ujenzi wa Bwawa Jijini Dodoma Umefikia Wapi kwa Maendeleo ya Kanda ya Kati?

    Wakuu Kama mada ilivyowekwa mezani kwa utaratibu wa swali nikiwa miongoni mwa wananchi wa Tanzania ambao pia eneo la Dodoma, Singida, Manyara Na Tabora ni mojawapo ya sehemu ninazoweza kutembelea lakini pia wakazi wa maeneo hayo pamoja na serikali kuu mradi huu wa ujenzi wa bwawa kubwa kwa...
  3. Maharage: Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaelekea kufikia 91%, matarajio ya kuanza kuzalisha umeme ni Juni 2024

    Sehemu ya Mradi wa JNHPP katika Tuta Kuu ambapo ujenzi unaendelea. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi na tathmini ya Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (The Julius Nyerere Hydropower Project - JNHPP) uliopo Rufiji. Akizungumza baada ya ukaguzi huo uliofanyika...
  4. R

    Viongozi wa dini watembelea Bwawa la Nyerere

    Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), limesema mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakuwa na manufaa makubwa manne ambayo ni kufua umeme, uvuvi, utalii na ufugaji. Kauli hiyo wameitoa leo wakati wanazungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kumaliza ziara ya...
  5. Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

    kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID. Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
  6. Leo ndio nimejua kwanini TANESCO wamegoma kushusha bei ya umeme hata baada ya Bwawa kuanza kazi mwakani

    ========================== Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa la Nyerere na kuingizwa kwenye Gridi bado eti umeme hautashuka bei, nimekuwa nikiwaza sana...
  7. Mbunge Martha Mariki Aipa Tano Serikali Mradi wa Bwawa la Nsekwa - Mlele

    Mbunge Martha Mariki Aipa Tano Serikali Mradi wa Bwawa la Nsekwa - Mlele MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameipongeza Serikali Kwa Kuleta fedha Shilingi Bilioni 2.4 kwaajili ujenzi wa Bwawa la Maji litakakalo saidia upatikanaji wa Huduma ya Maji katika Kijiji Cha Nsekwa na...
  8. Uzinduzi wa Bwawa la Maji la Muko (Bilioni 1.9) Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo Jimbo la Momba

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso tarehe 01 Agosti, 2023 amezindua mradi wa Maji wa Bwawa la Muko wenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.9 lililopo katika Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo ndani ya Jimbo la Momba. Bwawa la Maji la Muko lina uwezo wa kuchukua Maji Lita Milioni 166,386,474 na kuhudumia...
  9. Bwawa la umeme likikamilika sitegemei Dar iwe na barabara za giza hata kwa bahati mbaya

    Kwa sasa Tanganyika inatumia Takriban Megawatt 1,500 za umeme, ukijumlisha na zile Megawatt 100 wanazopewa bure wala urojo inakuwa MW 1,600. Bwawa la Nyerere likikamilika litazalisha Megawatt 2,100, na kufanya jumla ya Megawatt kwenye Gridi ya Tanganyika kuwa 3,700. Kwakuwa umeme unaozalishwa...
  10. Ujenzi Bwawa La Nyerere wafikia asilimia 90, uzalishaji kuanza mwezi Juni 2024

    WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asimilia 90 huku shughuli ya kufunga mitambo ya kufua umeme pamoja na nyumba yake ikiwa imefikia asilimia 70 Akizungumza wakati akiongoza viongozi wa Baraza la Jumuiya ya...
  11. Viongozi wa Dini Wakoshwa na Bwawa la Nyerere

    Wakati mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukifikia asilimia 90 ya ujenzi wake, viongozi wa dini wamesema watakwenda kuwaelezea waumini wao umuhimu wa kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu. Viongozi hao kutoka Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu...
  12. Afrika Kusini na Congo DRC zasaini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Umeme la Megawati elfu 70 mto Congo

    Nchi za Afrika Kusini na Congo DRC zimetiliana saini ya mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa bwawa la umeme la Megawati elfu 70 ama GW 70 katika maporomoko ya mto Congo. Mradi huo unaoitwa Grand Inga Dam Project uko mto Congo na unakadiriwa kugharimu Dola Bilioni 80 hadi kukamilika kwake na...
  13. Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli? Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
  14. Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

    Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115. Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
  15. Ester Bulaya: Mkandarasi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere anataka kushtaki alipwe nyongeza wakati mradi haujakamilika

    Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu. Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza...
  16. January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

    Hatimaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme, Mambo tayari huko 🔥🔥🔥 Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba ======= Picha: WAZIRI wa Nishati, January Makamba Serikali imetangaza kuwa, wiki moja ijayo kina cha maji katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere...
  17. India wagida bwawa lote kupata simu iliyotumbukia wakati wa Selfie

    Kiswahili sanifu kugida ni kuruhusu maji kutoka ndani ya chombo kidogo kidogo. Hivyo ndivyo ilivyotokea huko India baada ya bwawa moja kukaushwa ili kuipata simu iliyotumbukia humo wakati wa kupiga selfie. Simu hiyo ilikuwa ni ya aina ya Samsung yenye thamani ya dola 1200 mali ya bwana Rajesh...
  18. U

    Dk. Samia tunaomba mradi wa Bwawa la Nyerere uitwe Magufuli HEPP

    Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu...
  19. TANZIA Mlinzi wa mstari wa Buccaneers, Shaquil Barrett, Binti yake Arrayah Barrett wa miaka 2 azama kwenye bwawa

    Arrayah Barrett, binti mwenye umri wa miaka 2 wa mlinda mstari wa Tampa Bay Buccaneers Shaquil Barrett, alikufa maji Jumapili asubuhi kwenye kidimbwi cha kuogelea cha familia hiyo, kulingana na Polisi wa Tampa. Maafisa waliitikia wito kuhusu mtoto kuanguka kwenye kidimbwi siku ya Jumapili...
  20. Maji Bwawa la JNHPP Yafikia Ujazo wa Mita Bilioni 6

    MAJI BWAWA LA NYERERE (JNHPP) YAFIKIA MITA ZA UJAZO BILIONI 6 Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema wanaridhishwa na kasi ya ujazaji maji Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere Hydro Power (JNHPP) ambapo kwa sasa ujazo wa maji umefika mita za ujazo Bilioni 6. “Zimebaki mita kumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…