bwawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Rais Samia: Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere kujaribiwa mwakani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya kuimarisha Gridi ya Taifa na usambazaji wa umeme Vijijini iliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023. Kwenye hotuba yake Rais Samia anasema wakati anakabidhiwa madaraka jambo lililokua linamuumiza kichwa ni...
  2. Replica

    Rufiji Kumenoga: TAZARA yanunua behewa la tani 200 kubebea mitambo bwawa la Mwalimu Nyerere isiyobebeka kwa barabara

    TAZARA imesema imenunua behewa lenye uwezo wa kubeba tani 200 litakalotumika kubeba mizigo ya bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere iliyozidi uzito au upana wake unazidi kiwango cha upana unaopaswa kusafirishwa kwa barabara. Msemaji wa TAZARA amesema behewa hilo limenunuliwa kwa dola za kimarekani...
  3. JanguKamaJangu

    Ujazwaji maji Bwawa la Julius Nyerere wafikia mita 108

    Ujazo wa maji katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi Januari 9, 2022 ulifika mita 108.31 kutoka usawa wa bahari. Ujazaji maji katika bwawa hilo linalotarajiwa kuzalisha megawati 2,115 za umeme likiwa na uwezo wa kuhifadhi lita bilioni...
  4. V

    Kukithiri Kwa vitendo vya rushwa mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere (Julius Nyerere hydro power project)

    Habari zenu Wana jukwaa la JamiiForums Kwanza napenda kuipongeza serikali kusimamia utekerezaji wa ujenzi wa bwawa hili kubwa nchini la kufua umeme na kutoa fursa za ajira Kwa vijana wengi wa kitanzania Lakini mradi unapoelekea kumalizika kumetokea tatizo kubwa sana la urasimu upande kupata...
  5. saidoo25

    Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

    WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37. Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa...
  6. U

    Stereotype kuhusu Zoezi la ujazwaji maji Bwawa La Nyerere (JNHPP)

    Mods Msitoe huu Uzi. Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi. Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
  7. The Burning Spear

    Leo nalibatiza bwawa la kufua umeme Mto Rufiji

    Asanteni JF Kwa maua maua kuelekea mwisho wa mwaka Na ikawe heri next year panapo majaliwa Bwala la mto Rufiji dedication ni kwa Magufuli na Nyerere. Hawa Ndiyo washika maono wetu. Wamechukua maamuzi magumu kuhakikisha Tanzania iwe na umeme wa uhakika. Bwawa hili Nalibatiza Kwa jina la "...
  8. Lycaon pictus

    Takwimu za bwawa la Nyerere zinastaajabisha sana

    Nafikiri toka uhuru hatujawahi kufanya mradi mkubwa namna hii. Kukamilika kwake kutatujengea roho ya uthubutu kwenye miradi mikubwa. Eneo la ziwa litakuwa na ukubwa wa karibu km za eneo 1,350. Hii ni kama mara mbili ya ukubwa wa Mtera. Na kwa eneo litakuwa la tano nyuma ya ziwa Rukwa. Japo...
  9. mike2k

    Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme. JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi...
  10. saidoo25

    Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali. Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
  11. Roving Journalist

    Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  12. Allen Kilewella

    Bwawa la Nyerere likikamilika umeme utapanda bei ama utashuka bei?

    Kutokana na uwekezaji kwenye Bwawa la Nyerere kuhusisha na mikopo pia, je, lile bwawa likikamilika, bei ya umeme itapanda ama itashuka?
  13. Roving Journalist

    Rais Samia: Bwawa la Kidunda ni suluhisho la kudumu la tatizo la maji Dar

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza chanzo na jinsi ya kukabiliana na mgao wa maji jijini Dar es Salaam. Rais anaeleza chanzo cha upungufu wa maji Dar ni kupungua kwa kina cha maji katika Mto Ruvu kilichosababishwa na athari za tabia nchi. Mheshimiwa Rais pia ameeleza hatua zilizochukuliwa na...
  14. Replica

    Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

    Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo. Kenya wamewahi kwa...
  15. M

    Kashfa ya Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere mbona Zitto Kabwe uko kimya kulikoni?

    BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo. Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
  16. saidoo25

    UFISADI: Mpina aibua tuhuma za upigaji wa Sh. Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama malipo ya CSR na faini kuchelewesha mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa miaka miwili kinyume cha...
  17. FRANCIS DA DON

    Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

    Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?! Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
  18. Suzy Elias

    Bwawa la Nyerere ni uamuzi mgumu na wa kijasiri uliofanywa na Magufuli!

    Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika alikuwa kinara kwalo. Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu (Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa...
  19. M

    Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

    Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
  20. R

    Maji ya kujaza Bwawa la Nyerere yatatoka wapi?

    Tanesco wametutaarifu kuwa vyanzo vyote vya mabwawa yanayofua umeme yamepatwa na upungufu wa maji na hivyo uwezo wa kuzalisha umeme ni mdogo. Consequently jana tulikuwa hatuna umeme (total blackout) kuanzia saa 4 usiku hadi saa 2 asubuhi ya leo. Sasa hizo hela kwanini tunaziharibu na kuharibu...
Back
Top Bottom