business

  1. D

    JamiiForums Tanzania Niagize business cards nikuletee mpaka ulipo Dar (free delivery) 25,000/= kwa 100pcs (design+printing+delivery)

    Habari? Je unahitaji BUSINESS CARDS? wasiliana nami leo niweze kukufanikishia.. Business cards 100 kwa Tsh 25,000/= tu UNAHITAJI VIPEPERUSHI? Kwa mahitaji ya Vipeperushi pia unaweza wasiliana nami ili niweze kukufanikishia PCS 100 KWA TSH 40,000/= TU.. Wasiliana nami: Whatsapp/ 0765 680 241
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania How Tanzania Plans to Benefit From Carbon Credits Business

    Tanzania yesterday started a journey aimed at reaping financial benefits from the carbon credit business following the signing of the Memorandum of Understanding (MoU) between the government and a foreign investor. The MoU was entered into by the Tanzania Wildlife Management Authority (Tawa)...
  3. athumani mfaume jr

    JamiiForums Tanzania Business manager mfumo wa biashara

    Business Manager (BM) ni sytem inayomuwezesha mfanya biashara kuweza kuiongoza biashara yake kwa kuweka sawa hesabu zake mapato na matumizi pamoja na faida na hasara. kutunza taarifa za wateja na bidhaa kwa ujumla. System ina lugha mbili kiingereza na kiswahili inayomuwezesha mtumiaji kuitumia...
  4. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke alikuwa anaonyesha u-wife material ila baada ya kumwambia sitafuti business partner nataka mke basi kaanza kutafuta njia ya kuondoka

    Wanawake jifunzeni basi, hata kama mme wako nakushirikisha mara chache kwenye deals zangu za biashara usijiweke uhusika ambao sijakupa. Kuna mwanamke nimezaa nae na anakaa kwenye nyumba yangu huko mkoani, mimi nipo zangu hapa Town nimeajiriwa ofisi fulani na nimepanga ila mara kwa mara huwa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tusinunue ndege bila kuwa na business plan. Rwanda Air waanza safari za Paris

    Tumekuwa tukifurahia kununua ndege za gharama kubwa na serikali yote kufurahia kwenda kuzipokea uwanjani kwa bashasha na sherehe kubwa. Kinachofuata baada ya hapo ni kupaki ndege viwanjani miaka kadhaa baada ya kuzinunua. Lakini jirani zetu Rwanda wana business plan na ndege zao. RwandAir to...
  6. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Nahitaji business partners biashara ya dhahabu

    Wakuu Habari, Kama heading inavyosema, nahitaji watu wa kushirikiana nao katika utekelezaji biashara ya madini aina ya dhahabu. Biashara hii nimeifanyia utafiti wa masoko hasa Dar es Salaam na pia sehemu ambapo naweza kupata dhahabu nzuri purity 99%. Nahitaji partner wakushirikiana nae katika...
  7. Benny13

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Kozi ya Business Administration with Education

    Habari wanajamvi! Kuna mdogo wangu ni Mwalimu wa ngazi ya Diploma katika Shule ya Msingi. Ameajiriwa miaka ya karibuni. Anataka kujiendeleza kielimu Open University katika kozi ya Bachelor of Business Administration with Education huku masomo ya kufundishia yakiwa ni Bookeeping na Commerce . Ila...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Pharmacy business consultant required

    Anahitajika hired consultant kwa ajili ya kuendesha biashara ya duka ya pharmacy wholesale na retail Mae so ya Amana
  9. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania The most profitable business idea (ufugaji samaki)

    Habari zenu wakuu Kwanini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza? Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka...
  10. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Business plan ya restaurant

    Habarin wana jf..... Mimi ni kijana wa miaka 22 ni mwanachuo nina business plan kuhusu mgahawa hivyo napend kupata mtu serious amabe tutaweza kueka plans ili kufanikisha iwe kama partnership. If interested pm me nikupe business plan niliyoandaa ili tuweze kuwekan sawa Pia nahitaj ushauri...
  11. lumwetuli

    JamiiForums Tanzania Do you want to design your website or create a website for your business? Check us

    Attention all business owners! Are you looking to establish a strong online presence for your brand? Look no further than our website design services at KIKIWEB LTD! Our team of expert designers and developers will work closely with you to create a stunning website that reflects your brand...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Business Insider: Tanzania Inaelekea kuwa kivutio na kitovu cha Uwekezaji Duniani

    Jarida maarufu la masuala ya biashara Afrika na Duniani limeitaja Tanzania kuwa Moja ya Nchi zinazoelekea kuwa kimbilio la wawekezaji Duniani. Hongera sana Rais Samia na Tanzania, haya ndio mambo tunapenda kuyasikia.. ======= Idadi ya miradi iliyosajiliwa nchini Tanzania iliongezeka kwa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Business registration

    Kipi kinatangulia ukifungua biashara between kuwa na eneo na kuregister . Yaani mfano unafungua duka kwanza then ndo umaregister ? Au vice versa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja na Business Partners

    .
  15. isackkallindi

    JamiiForums Tanzania Florent Ibengé means business 💥

  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya business cards

    Habari, ninatoa huduma ya kudesign business card na kuprint gharama ni Tsh 25,000/= kwa pisi 100 ukihitaji unaweza kupiga kwa 0767330618
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO University of Dar es Salaam Business School (UDBS), kuvuja kwa mtihani (test) ya Information Management Systems (IM 305), uliofanyika tarehe 18/01/022

    Wakuu, Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi baadhi walionekana kuwa na huo mtihani kwenye simu zao, ukionekana kupigwa picha mapema kabla ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Over 400 EU Companies to Take Part In the EU-Tanzania Business Forum

    23 January 2023 Dar es Salaam, Tanzania The European Union Delegation to Tanzania is planning to jointly organise the EU-Tanzania Business Forum with the government of the East African nation in a move aimed at allowing investors from the EU to come and explore the opportunities available in...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wajue Matycoon, richest business men in Dodoma

    Kama Tunavyojua, Nchii hii imebarikiwa kuwa na wafanyabiasha wakubwa sana na wanafahamika nchi nzima, wakiwemo Kina MO, Rostam, Marehemu Mengi, Patel, etc. Sasa Leo tupate Fursa ya kuwajua wafanyabiasha wakubwa na matajiri ndani ya Mkoa was Dodoma, Japo ni mkoa upo nyuma Kimaendeleo lakini Kuna...
  20. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa Business Plan kwa urahisi

    Kwa maneno machache mno , Business plan ni andiko la kibiashara ambalo unaelezea wapi uliko kwa sasa, na wapi unataka kwenda (Future),ukielezea mikakati (strategies) utakayotumia kufika huko kwenye malengo (Goals) uliyojiwekea. Business plan ya biashara moja hupishana na ya mwingine kulingana...
Back
Top Bottom