business

  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Business Development Manager at Boomplay January, 2024

    Position: Business Development Manager Company: Transsnet Music Tanzania limited (Boomplay) Location: Dar Es Salaam Tanzania Position Summary We are looking for an ambitious and energetic Business Development Manager to help us expand our clientele. You will be the front of the company and...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naomba utaratibu wakubadili tin number kutoka non businesses kwenda business

    Samahani nilikua naomba kazi kampuni x vigezo vikawa tin number nikampa mtu anitengenezee yeye akatengeneza ya non businesses Sasa imekataliwa nafanyaje kubadili msaada jaman
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je, biashara ya Uwakala inalipa? Nina milioni 2, inatosha kuanzia?

  4. jaomjazymee

    JamiiForums Tanzania Business plan and proposal of simple Hotel

    Habari za muda huu wadau. Pole kwa majukumu Niko hapa naomba ushauri kuhusu biashara ya min Hotel. ningependa kujua kuhusu; -jinsi ya kuandika business plan na proposal -location kwa mkoa wa dar - mtaji kiasi gani kwanzia kiwanja, kujenga, na all necessary equipments. -risk zitokanazo na...
  5. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania BRELA ni kero kuanzia kufungua kampuni mpaka kwenye jina la biashara

    Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni. Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Business Development Officers 2 Posts at AMMIEL & SONS November, 2023

    Position: Business Development Officers (2 Posts) A Petrol Station located in Vikindu, Mkuranga, is currently looking for 2 business development officers. The candidates will work to boost sales in the fuel business and service bay. Office is located at Vikindu, Mkuranga. Duties &...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

    Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia. Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe. Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara kufahamiwa na mtu mmoja tu kwenye familia akifa yeye na yenyewe inakufa naye unabaki mgogoro wa mali...
  8. Investaa

    JamiiForums Tanzania PS5 Business Idea!!!

    Habari wana JF. Kuna idea imekuja gafla hapa nikasema ni share na wana kama niaje unaweza niambia kama its possible or day dreamer. Nowadays nimeona kwa DAR watu wengi wanapenda kucheza PS ila si kwa faida bali waste of time. Nikaona what if PS kitu ambacho wengi wamekizoea na wanashinda nacho...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 1.5 unaweza kufanya biashara gani ambayo kwa siku unaweza kuingiza faida ya Tsh. 20,000/-?

    Wakuu, Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil? Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
  10. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business?

    Hivi ni Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business? Ina faida sana ama ni biashara ndani ya biashara.
  11. KalutaWings

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa awali wa pointi za matumizi 1,000 zenye thamani ya $10 million kwa bei ya TZS 300,000 tu

    Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu. Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nafanya international business

    Habari wakuu Nahitaji kufanya international business Yani kununua bidhaa kutoka kwenye kampuni zlzo nje ya nchi mfano UK, Austria, South Africa n.k. Naomba kujua Ni njia gani za kufanya malipo ambzo Ni salama Zaid ambazo ztailinda pesa yangu ispotee pale inapotokea muuzaji akawa si muaminifu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wiki ya AZAKI: Kodi kubwa ni kikwazo katika maendeleo ya Dijitali

    Topic: Masterclass: Business and Human Rights in Digital Era. Speakers: Jovina Mchunguzi, Godfrey Munisa and Maxence Melo (JamiiForums) JamiiForums inashiriki katika CSO week inayofanyika Arusha ambayo inatarajiwa kuisha leo, Oktoba 27, 2023. Siku ya leo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums...
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Internet Business

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama kabisa na harakati zenu za kujenga Uchumi binafsi na watanzania huku mkiendelea kupambana kupata mgao wenu wa Keki ya Taifa ambapo kwa wakazi wa Dar es Salaam wanapambana angalau wafikishe pato la Milioni 4.8 kwa mwaka na kwa...
  15. tovuti website

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Biashara ya Mtandao Inauzwa-Online Business for sale

    Nature of Business: Ecommerce/Online,Softwares/System/IT Nature of Products: Webhosting Services/CRM and ERP Systems Annual Revenue Potential:5,000,000-25,000,000 What you Get: Training and Products Orientation Full website with products and Emails Full Marketing Support(Branding and Promotion)...
  16. Chale david

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kozi yenye ajira kati ya Business Administration na Accountancy?

    Naombe msaada kujuzwa kozi nzuri kati ya Bussness Administration na Accountancy ipi yenye ajira zaidi?
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Business Development Representative at AB InBev September, 2023

    Position: Business Development Representative Key Responsibilities: Retail Drive retail sales in the specified area through the implementation of the Key Sales drivers (Visibility; Availability; Price; Promotion; Quality) Management of the assigned territory through retail calling to pre...
  18. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Franchise Business Model

    Mfumo wa franchise ni mfumo wa biashara ambapo mmiliki wa biashara au kampuni (inayojulikana kama "franchisor") hutoa leseni kwa mtu au kampuni nyingine (inayojulikana kama "franchisee") kuruhusu kutumia jina lake, bidhaa, huduma, na mfumo wake wa biashara. Hii inaruhusu franchisee kuanzisha...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Business Services Coordinator at Qatar Airways

    Position: Business Services Coordinator Term: Temporary Contract Key Accountabilities Able to follow and understand local payroll practice, processes, requirements, local labor law changes all in cooperation with outsourced consultant Assist in verifying all commercial support related invoices...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Fundraiser / Business Developer at The Accessibility Institute

    Position: Fundraiser / Business Developer The Fundraiser / Business Developer will · Research for prospect donors: Family Foundations, CSR Programs, HNWI who focus on disability, and/or poverty alleviation in East Africa. Initiate, develop and manage the relationship with these donors ·...
Back
Top Bottom