bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Badala ya elimu bure, serikali igharamie chakula cha mchana kwa shule zote za sekondari za kutwa na shule za msingi

    Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni ndio anapata chakula cha mchana, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba; watoto wa shule huwa wako...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Mungu bila kumuamini Mtume wake Mohamed ni kazi bure kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِ‏ّ شَىْ‏ءٍ عَلِيماً “Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.” (33:40) "Muhammad si baba wa yeyote...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Angalia mapesa ambayo yanapotea bure kutokana na report ya CAG (picha) 822.5 BILLIONS

  4. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yaijibu Yanga "Hakuna points 3 za bure"

    Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points 3 za bure,na kuwa wamevunja kanuni kwa kukaidi agizo la bodi la kuahirisha mechi kwa kupeleka timu...
  5. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TANESCO 180 SIYO YA BURE INAKATA MUDA WA MAONGEZI

    Nimepiga simu Tanesco kwa namba yao mpya namba 180 ambayo walisema ni bure. Lakini cha ajabu imekata muda wangu wa maongezi. Tusifike mahala tukawaita majina mabaya kuweni realistic. Asante sana
  6. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Badala ya vijana wanaomaliza Form Six kwenda Jeshini Waende VETA Bure

    Bado tukiwaza Hili la Mtedendaji Mkuu wa Serikari kusema Vijana walio Maliza Elimu ya juu waende VETA Nimewaza ya kwangu pia kwa Taifa langu. Kwanza Naona maono ya Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa kushauri VIjana waliomaliza vyuo vikuu ni namna ya kuongeza ujuzi na sio dharau. Ila nimefikiri Badala...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi yakabidhi bure hati miliki za kimila kwa wakazi 360 Bahi, Dodoma

    Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wakazi 360 wa Kijiji cha Mpinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, bila malipo yoyote. Hatua hii ni sehemu ya juhudi za serikali kupunguza migogoro ya ardhi na mipaka vijijini. Utoaji wa hati hizi...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndugai atoa hoja utaratibu kumwona daktari kwa Tsh. 10,000 ufutwe

    SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona daktari. Ndugai, alisema hayo juzi jijini hapa, wakati akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati ya...
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Msameheni Bure wasomi wetu.....

    Juzi nilimsikia mheshimiwa rais mama samia suluhu hassan akisema vigogo waliopo serikalini kama Wana Nia ya kugombea nafasi yoyote basi waseme mapema ili mama atafute watu wengine wakujaza nafasi hizo, Kuna baadhi ya vigogo wakubwa walitamani wasikie mama samia aseme sigombei tena ili wao...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni mtaji wa Serikali mnawalaumu TFF na Bodi ya ligi Bure tu

    Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni. Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa masa 3 mbele kisa birthday ya mwinyi yanga akachomoa bettry na hakufanywa kitu. Leo yametokea...
  11. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Mallerina mi nakupenda bure

    Dondosha jina la mtu anayekufurahisha JF anavyoandika nyuzi zake au replies. Mallerina unanifurahisha sana na majibu yako kwenye threads. Najua siwezi kukuanzishia nyuzi bure bure my future President, nakuletea pepsi baridi.
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Je, Bima ya Afya Inapaswa Kuwa Mali ya Serikali ili Huduma za Afya Ziwe Bure?

    Huduma za afya bure ni ndoto ya kila taifa linalotaka kuboresha ustawi wa wananchi wake. Tanzania inaweza kufanikisha hili ikiwa kila Mtanzania atachangia kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kupitia bima ya afya ya umma. Mfano, ikiwa kila raia atachangia TZS 2,000 kwa mwezi, makadirio yanaonyesha...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu body spray na perfume zisambazwe bure kama kondomu maana kwenye madaladala humu tutakufa

    Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua? Najua wanaume hatupaswi...
  14. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Pamba Acheni Kumfurahisha RC Mtanda Mtashuka Daraja Bure na Hamtapanda Tena Kizazi Hiki

    Timu ya Pamba ni kama imesha jitambua hasa mzunguko huu wa pili na kuna dalili inaweza kuepuka kushuka daraja na watu wa Mwanza waliopambana kuipandisha wakabaki na furaha. Lakini sasa limebaki tishio la mlezi wenu RC Mtanda kutaka kuitumia timu hii ya wana Mwanza kwa manufaa yake binafsi na...
  15. G

    JamiiForums Tanzania ELIMU BURE

    Kwanini serikali isifute sera ya Elimu bure ili iweze kupunguza gap la kugharamia elimu nchini??
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wagumba Tukuka JamiiForums mmepewa Mbinu ya bure hii ichukueni upesi tafadhali ili muijaze dunia

    "Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba ukijitunza kwa siku zote hizo ili mbegu zako ziwe nyingi na zenye nguvu" Dkt. Nathanael Mtinangi, Daktari...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ya fisi 17 wenye chapa kuuliwa sio bure kuna sehemu na namna mitambo ilitingishwa.

    Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose. Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa wamefanya hii kazi vizazi na vizazi bila ya kuwa exposed kirahisi rahisi hivi. Inakuwaje mtu...
  18. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya kubebwa Ligi kuu si bure miaka yote timu inaishia robo fainali haijawahi kuvuka wala kupata hata medali CAF

    Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya...
  19. detected

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI - MWANZA

    Nafasi: Wasaidizi wa Kukusanya Data za Wateja Eneo: Mwanza Mjini Muda wa Kazi: Mwezi Mmoja Mwisho wa Maombi : 27-02-2025 CollectTech Limited inatangaza nafasi za muda kwa vijana wanaoishi Mwanza Mjini kwa ajili ya kazi ya kukusanya data za wateja. Sifa za Mwombaji: • Awe mkazi wa Mwanza...
  20. Bujoro

    JamiiForums Tanzania Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000/=

    Habari wanajukwaa wenzangu najua mko poa, kama kichwa cha tangazo kinavojieleza nauza kabati langu la mninga lina mwaka mmoja tu toka nilinunue na nilinunua bei kubwa sana nadhani wengi mnafahamu mbao ya mninga ulivo imara na bei kubwa ni 6 ×5 ,lina milango mitatu juu na chini na drow bei ni...
Back
Top Bottom