G Gwamanga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2021 Posts 247 Reaction score 472 Feb 26, 2025 #1 Kwanini serikali isifute sera ya Elimu bure ili iweze kupunguza gap la kugharamia elimu nchini??
Binti wa zamani Platinum Member Joined Nov 19, 2011 Posts 14,935 Reaction score 36,265 Feb 26, 2025 #2 Khaaa 😳 kijana umekula leo?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,559 Reaction score 89,156 Feb 26, 2025 #3 Mh! kwanza ilikuwa inatakiwa na afya wafanye bure tu!
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,166 Reaction score 54,594 Feb 26, 2025 #4 Elimu sio bure hapa nchini
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,406 Reaction score 102,509 Feb 26, 2025 #5 Mkuu una jua usi waze kwa kufikiria nafsi yako tu, Kuna watu hata hela ya Panadol Ina washinda sembuse ada ndo wataweza? hiyo elimu bure ime fanya hata wasio kuwa na uwezo, na wao wapeleke watoto shuleni.
Mkuu una jua usi waze kwa kufikiria nafsi yako tu, Kuna watu hata hela ya Panadol Ina washinda sembuse ada ndo wataweza? hiyo elimu bure ime fanya hata wasio kuwa na uwezo, na wao wapeleke watoto shuleni.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,406 Reaction score 102,509 Feb 26, 2025 #6 Mkuu tembea uone, Kuna watu hawana hata uwezo wa kununua yeboyebo kwa ajili ya kuvaa. mtu mlo 1 kwako ni zaidi ya utajiri.
Mkuu tembea uone, Kuna watu hawana hata uwezo wa kununua yeboyebo kwa ajili ya kuvaa. mtu mlo 1 kwako ni zaidi ya utajiri.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,939 Reaction score 1,252,111 Feb 26, 2025 #7 Inashangaza sana