Bodi ya Ligi yaijibu Yanga "Hakuna points 3 za bure"

Magwangala

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,986
Reaction score
2,373
Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points 3 za bure,na kuwa wamevunja kanuni kwa kukaidi agizo la bodi la kuahirisha mechi kwa kupeleka timu uwanjani ambako kwa mujibu wa kanuni 47:18 adhabu yake wanaweza kushushwa daraja.

Na pia wamejibiwa kuwa hakuna sehemu kwenye kanuni inayoitaka timu mgeni kuwasiliana na wadau ili kutimiza takwa la kikanuni la wao kufanya mazoezi.

Ngoja tuone hili tishio la kutunishiana misuli na mamlaka za soka litaishia wapi.

Screenshot_20250317-133555.png
 
Bodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.

Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.
 
Kwani bodi ya ligi ndio huwa wanashindwa kesi kule CAS kila wanapokwenda? Uongozi wa Yanga uliwaminisha washabiki wao kuwa Kagoma ni mchezaji wao hadi kutembea na mkataba wake,mlifikia wapi na mwanasheria wenu Patrick?Vipi kuhusu Morrison?
 
Bodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.

Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.
Umeongea kinyonge kama mbwa jike aliyeingiaza mkia huko nia....je baada ya kuona madume..
 
Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points 3 za bure,na kuwa wamevunja kanuni kwa kukaidi agizo la bodi la kuahirisha mechi kwa kupeleka timu uwanjani ambako kwa mujibu wa kanuni 47:18 adhabu yake wanaweza kushushwa daraja.

Na pia wamejibiwa kuwa hakuna sehemu kwenye kanuni inayoitaka timu mgeni kuwasiliana na wadau ili kutimiza takwa la kikanuni la wao kufanya mazoezi.

Ngoja tuone hili tishio la kutunishiana misuli na mamlaka za soka litaishia wapi.

Mtu anaandika sio sababu ya Simba kugomea.

Unajiuliza maswali, kwahiyo Simba wasingegomea wao wangeaihirisha mechi kutokana na sababu ipi?
2) Walikutana kujadiliana ni nini kama sio barua ya Simba ya kugomea mechi?

Msingi wa kuahirisha mechi ni kugoma kwa Simba kucheza mechi wala wasipindishe kauli.
 
Msingi ni Yanga kupeleka mabaunsa wakafanye vurugu na kuhatarisha usalama wa wachezaji na viongozi wa Simba,kama Yanga wasingepeleka kikundi chao cha vurugu hayo yote yasingetokea maana bodi kwa mujibu wa taarifa yao wameeleza wazi wametumia taarifa ya Afisa Usalama wa mechi,je wewe umeiona hiyo taarifa ya Afisa Usalama wa mechi?
 
Mbumbumbu hamnaga akili sasa huyo binti Kazumari ndio body ya ligi?
Ndio miongoni mwa vyanzo vya kuaminiwa vya habari za soka nchi hii ndio maana baada ya taarifa yake tu kurasa nyingi zimeanza kucopy taarifa yake
 
Attachments

  • Screenshot_20250317-141409.png
    Screenshot_20250317-141409.png
    1.3 MB · Views: 28
Back
Top Bottom