bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakikataa kumfanyia ibada ya mazishi nduguyo Niite Mimi nitamfanyia bure kabisa

    WAKIKATAA KUMFANYIA IBADA YA MAZISHI NDUGUYO, NIITE MIMI NITAMFANYIA BURE KABISA. Na, Robert Heriel Kuhani Huna haja ya kuwa mnafiki Kwa kuogopa hautazikwa. Tupo ambao tunajua kuendesha Ibada za namna yoyote Ile na zikafanikiwa Kwa kiwango cha juu Kabisa. Kwanza elewa kuwa hata usipozikwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Uongozi wa Yanga

    Habari wakuuu. Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu. Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua; Ubingwa wa Ngao ya Jamii Kombe la Azam Sport Ligi Kuu ya NBC Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST). Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
  4. JamiiForums Tanzania Haya wapiga punyeto leo nawapa dawa ya kuacha punyeto bure

    Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi. Chemsha kidogo (isibadilike rangi). Kula kabla hazijapoa kabisa. Fanya hivyo kwa siku 12-16 mfululizo angalau mara moja kwa siku moja. Addiction ya punyeto itakata. Utapiga vizuri kwenye game...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  6. JamiiForums Tanzania NGO changa au vikundi vya maendeleo vichanga mnaalikwa kunufaika na mafunzo bure.

    Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba 0711860995 kujiunga na group la NGOs ili kunufaika na Capacity Building za NGO na wafanya kazi wa vikundi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CCM anapotaka Tume Huru si Bure

    Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema? Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo. Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera. Mengine ni manjonjo...
  8. JamiiForums Tanzania Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
  9. JamiiForums Tanzania Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia imeboresha lengo lake la Elimu bure

    Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu Bure Imeifikisha hapa Sekta ya Elimu

    Utangulizi Sera ya elimu bure hapa nchini ilianza kutekelezwa na Serikali ya awamu ya tano. Sera hiyo ya elimu bila malipo inahusisha shule zote za Umma za msingi na sekondari. Ndani ya miaka mitano (2016-2020) ya utekelezaji wake, Idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika shule zote hapa nchini...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa PSRS

    Juzi kati ilibidi nigombane na ndugu yangu baada ya kunipigia ghafla akiniomba nauli ya kwenda kwenye usaili wa psrs huko Dar. Kwa kifupi ndugu yangu huyu alinishtukiza na sikua na kitu mfukoni, hivyo ikabidi niingie madeni kwa kumkopea pesa mahali. Ushauri wenyewe ni huu: Nashauri kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwakinyo kubali kupigana na Twaha, anaongea sana. Sasa imetosha, mpige huyu mtoto hata bure jeuri imezidi

    Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia. Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
  15. JamiiForums Tanzania Kodi nyingi na tozo nyingi kwa wananchi bila adhabu kubwa kwa viongozi wala kodi na tozo ni bure kabisa

    Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuelekea bima ya afya kwa wote, serikali iweke tozo maalum kwenye sigara, pombe, soda ili mama na mtoto watibiwe bure

    Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kwa hali ya kimpira tuliyo nayo Tanzania, kuajiri kocha MGENI ni kumzawadia mihela ya bure tu

    Kwa yeyote anayehusika na jambo hili ikiwa ni mchengerwa au karia ama mwingine yeyote akitumia akili yake bila kuipeleka likizo atakubaliana na mimi kwamba Kwa wachezaji wa timu ya taifa tuliyonayo sasa ni uharibifu wa mali za umma kuleta kocha Toka mataifa ya kigeni. Kama wadau wako serious...
  18. JamiiForums Tanzania Ulikuwaje Ulivyokuwa Mtoto? Hivi ndivyo nilivyokuwa!

    ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA! Anaandika, Robert Heriel Shahidi! Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu. Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali kuongeza vituo 2000 zaidi vya WiFi ya bure nchini humo

    Serikali inaongeza vituo 2,000 zaidi vya Wi-Fi ya bure kote nchini katika hatua ambayo inatajwa kuongeza ufikiaji wa huduma ya intaneti katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, ikiwemo wakati wa dharura kwa watakaohitaji huduma za Serikali kama vile usajili wa Vitambulisho vya Taifa Hadi sasa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa bure wa haki za binadamu kama kazi haiwalipi acheni kuliko kufanya kazi kwa visirani kwa wateja wenu

    Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea! Wizara na serikali kwa ujumla! Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria! Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa! Wako too...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…