StarTime kwanini mmefunga Channel za Bure

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,833
2,790
Nasikitika sana hawa StarTine wamenifungia Channel zote isipokuwa TBC tu.
ITV hakuna
STAR TV hakuna
Channel Ten hakuna na nyingine
Nilipowapigia wakaniambia wanafanya ukarabati kisha watarejesha baadaye ila tu naweza kulipia kiasi ili niweze kuziona Channel hizo. Ujumbe huu ukanifanya nielewe kuna kusudi iliyofanyika.
Kwanini wanaenda kinyume na tamko la serikali? Au ndiyo mmewa takukurua?
 
Huu ndio msimu wao wa biashara, wewe mwaka mzima hujawahi kulipa hata kidogo unafsidi bure channels za free on air wakati wao wanatumia garama kukutushia channel hizo hata msimu huu wa kombe la dunia unashindwa kulipa mwezi mmoja tuu?
 
Back
Top Bottom